Search results

  1. dendaboy

    Bei za Mafuta ya Petroli na dizeli zashuka chini

    Hao walio na hayo mamlaka ndio wamiliki wa hayo madaladala na ndio waliochagiza nauli ipande.
  2. dendaboy

    Bei za Mafuta ya Petroli na dizeli zashuka chini

    Nani wa kushusha hizo nauli sasa
  3. dendaboy

    FT | Mapinduzi Cup 2023/24: Simba SC 3-1 JKU : January 1, 2024

    Hivi wale wapemba waliokipiga na yanga jana na hawa jku wepi wakali kwa mtazamo wangu naona jku wapo vizuri zaidi kuliko wa jana wale
  4. dendaboy

    Huyu nabii ametokea wapi mbona ametrend sana?

    Mjitafakari sana ndugu zetu nambo ya utume na unabii Yalishakoma kitambo sana.
  5. dendaboy

    Je, kuna maisha mengine baada ya hapa duniani?

    Kwa ufupi sana Jaribu kuchunguza Yale yaliyomo kwenye vitabu vya mungu Halafu fatilia duniani uone kama yana ukweli ama vp Mimi nakupa moja tu la sodoma na gomola Mengine fatilia mwenyewe
  6. dendaboy

    Je, kuna maisha mengine baada ya hapa duniani?

    Fanyeni ibada sana acheni maasi na chochote utakacho fanya kinahifadhiwa na utalipwa Hii dunia na vyote vilivyomo vina mwisho wake fanya ibada halafu ukifa na ukamkosa mungu haina shida Kulikoni kuacha kufanya ibada na ukaenda kumkuta Sijui utamjibu nini
  7. dendaboy

    Watoto wa Nabii Mussa hawakuwa Wayahudi kwasababu Mama Yao hakuwa Myahudi

    Kwani nasabu inapatikana wapi kwa mama ama kwa baba?
  8. dendaboy

    Nahitaji Dereva wa Pulling na Semi-trailer

    Weka namba yako na unataka madereva wangapi
  9. dendaboy

    Kwanini wagonjwa wanaogopa Mloganzila?

    Binafsi jamaa zangu wawili na majirani watatu walipelekwa mloga kwa nyakati tofauti na wote tulizika Na kwa maongezi ya waliowengi nathani ipo shida pale kweli kabisa
  10. dendaboy

    Kizazi cha wazee vijana wasio na hekima kinakuja

    Wazee wa sasa wanapige kata .K. tu na wala hawana shaka
  11. dendaboy

    Askofu Gamanywa: Hamas ni cha mtoto, Waarabu wote wataungana kutaka kuifuta Israel lakini Watashindwa kwa mujibu wa maandiko!

    Watu wote hufa hivyo hivyo comred sio waislaam pekee na kila malaika ana jina lake na mtoa roho za viumbe jina lake ndio hilo . Ila sio kwa jina hilo ndio waislaam wanajihusisha na viumbe hivyo. I
  12. dendaboy

    Askofu Gamanywa: Hamas ni cha mtoto, Waarabu wote wataungana kutaka kuifuta Israel lakini Watashindwa kwa mujibu wa maandiko!

    Umeandika ujinga mpaka nimecheka wakati nimevimba kwa foleni ya leo mlalakuwa.
  13. dendaboy

    Kama Biblia ni kitabu cha kutungwa, nani alikitunga na chanzo na kusudio lake ni nini?

    Ushahidi wa maandiko upo wa kutosha tu comred ila kwanza naomba utuelimishe Biblia alipewa mtume gani
  14. dendaboy

    Kama Biblia ni kitabu cha kutungwa, nani alikitunga na chanzo na kusudio lake ni nini?

    vitabu vya mungu na mitume waliopewa vitabu hivyo ni Zaburi kwa daudi Torati kwa mussa Injili kwa issa Qur an muhammad Mnaposema biblia nacho ni kitabu cha muumba inabidi pia mseme mtume aliepewa kitabu hicho ni mtume gani.
  15. dendaboy

    Baisaa Ya Oman

    Hiyo hela kwa hapa bongo hawachukui hata uwe nazo kumi ambapo itakua sawa riali moja bado hawataki kiufupi hawachukui hivyo sent sent wanaanzia riali kamili
  16. dendaboy

    Watanganyika wanaoitetea DP World wana matatizo ya akili?

    Kama ni wewe mwenyewe basi utakuwa unaandoka ukiwa umepiga wanzuki maana ni weekend hii
  17. dendaboy

    Watanganyika wanaoitetea DP World wana matatizo ya akili?

    He!!! ? Hapana sio kweli Mshanaaaa uje uone huku wame hack account yako.
Back
Top Bottom