Search results

  1. M

    Mtaje Mwalimu aliyekusaidia na Hutomsahau

    Dogo tulikuwa wote asee
  2. M

    Karagwe: Mkuu wa Wilaya kapotea na Maaskari zaidi ya 60 Pori la Kimisi

    Hawana vyeti ndo maana wamepotea. Ben kapatikana kwani?
  3. M

    Mwigulu: Aliyemtishia bastola Nape sio Polisi

    Sawa. Hakuwa polisi. Uko sahihi. Je ni nani kumbe? Yuko wapi na silaha yake? Alitumwa? Na nani? Hawezi kufanya tukio baya zaidi uraiani? Kuna sheria inayomlinda kwa alichofanya? Nape yeye alichukulie vipi jibu lako? Je aachwe tuu? Yes aachwe kama wavamizi wengine!!!! Now naelewa. Yes...
  4. M

    Rais Magufuli Yuko sawa Kweli?

    Chinekeeeeeooooo. Tumeolewa wa...
  5. M

    Kauli kama hizi kutoka kwa Kiongozi wa Nchi ni hatari sana kwa ustawi wa demokrasia

    Nimekuelewa saaana. Yes. Upinzani sasa basi. Ndiyo. Vyama vifutwe. Sahihi. Tubaki na chama kimoja. Ni sawa. Tukubaliane na kila kitu. Hakika. Tusikosoe tena. Yaap. Kila kitu ni ndiyooo. Tutafanikiwa sana. Chama kimoja. Ila pia hakuna kuzalisga wasomi kabisaaaaa. Maana haina haja tena. Si...
  6. M

    Mh Rais ukiwapandisha comission wanajeshi wakumbuke na watumishi wengine wa umma

    Mimi nilishtuka mapemaaaa. Nikahama kada. Hivi sasa ni mwanajeshi na V 17
  7. M

    Mnamkumbuka Tola mchoyo?

    Sadiki na Sikiri. Aaaah rudi Nyerere. TANZANIA imebadilika babaaaa[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
  8. M

    Ridhiwan Kikwete afunguka sakata la dawa za kulevya!!a

    Mchele umepanda bei. Unga wa mahindi haramu. Kuleni makande ndg dhanguni[emoji85][emoji85][emoji85]
  9. M

    Harmorapa Fans' Special Thread...

    Fyombo kwa besenii[emoji85][emoji85][emoji85]
  10. M

    Barua ya wazi kwa RC Makonda: Nenda Ikulu, majina ya Wauza Madawa yapo mezani kwa Rais Magufuli

    Alichokifanya dingi wa bongo si haba kwa kuanzia. Ila yatakiwa marekebisho kidogo ktk hili Ilitakiwa isomeke hiviii Anafanya jitiada za kunusuru kizazi hiki ili kisiteketee kwa matumizi ya madawa ya kulevya Hapo sasa ndo angetolea mfano : 1-Chid Benz : 2-Wema Sepetu : 3-..... NK Sasa katika...
  11. M

    Ridhiwani umeshindwa kumuita Mh. Rais Dr. J Magufuli?

    Bwana Mungu je?? Nimekosea??
  12. M

    Wateja wa hizi designs ni nani?

    Mungu wangu. Roho imeniuma ujue we Faiza. Ee Mungu tunusuru. Hata kwa bhangi hii haiwezekani. Maiti yenyewe inavalishwa vazi stahiki sembuse we uliye hai
  13. M

    Uongozi wa Wilaya ya Kigamboni wawavua ukuu wa Shule walimu shule zilizoshika mkia NECTA

    Sitaki hata kusoma kilichojiri. Kama huo ndo uamuzi sahihi basi kila mtu kwa nafasi yake awajibike. Haitoshi kuwawajibisha wakuu wa shule tu. Nanyi maafisa elimu ngazi zote Kigamboni ng'atukeni. Utakaliaje hicho kiti kwa wadhifa wako ilihali mambo hayako sawa? Kumbuka utendaji wenu unategemeana...
  14. M

    Tangazo kutoka kambi ya Jeshi Lugalo, Mbuzi ameokotwa akila miti

    Kuna jamaa fulani nae ni mjeda jina lake ni mbuzi. Je yawezekana ndo Mbuzi anaezungumziwa hapa? Jamaa anaishi mitaa ya kimara baruti. Ni kauzu yule bwana loooh. Pengine ni yeye. Mama Mbuzi unaitiwa mumeooooo[emoji16]
  15. M

    Rais Magufuli, unazijua hasira zetu watumishi?

    Nimetafuta tusi likufaalo nimekosa. Katele engalo omumaziii Tafuta mhaya. Period!
  16. M

    Rais Magufuli, unazijua hasira zetu watumishi?

    Katele engalo omumazi. Tafuta mhaya akutafisirie
  17. M

    Mke ni mke tu, haijalishi wewe ni nani

    Nilikuja mbiooo looh
  18. M

    Humphrey Polepole kuwa mkweli

    Mungu anisamehe ktk hili. Humphrey Polepole sikupendiiii. Period!
  19. M

    MPESA Faida na Figisu Figisu za VodaCom 2016/2017

    Heri yako. Mwenzio nimepokea 1000.00 nilitoa macho nikaanza kuzihesabu zero kwa sindano. Nikidhani ni ka laki duuu kilinishuka shuuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom