Search results

  1. E

    Makonda yuko sahihi. Kubadili jina kuko kisheria

    Ivi kwanini tusijadili swala la Mbowe kutaka asikamatwe? Au ndio anataka kukwepakwepa ili ajisafishe damu isikutwe na bwimbwi?
  2. E

    Makonda: Nisemeni, mkichoka mtanyamaza

    Walio jistukia walikimbia wenyewe watu hawajafukuzwa wapo kibao bado makazini
  3. E

    Makonda: Nisemeni, mkichoka mtanyamaza

    Hivyo vyeti unavitaka ndio vitakuletea ugali wewe na familia yako? Lipumba na uprofesa wake hajawahi hata kuvunja rekodi ya Mrema kwa ubora wa uongozi namavyeti yake. Acheni ubwege angalieni kazi nyie ndio wote wamadawa yakulevya
  4. E

    MSUMBIJI: Mwanamke wa Kitanzania abakwa mpaka kufa. Serikali imefungwa plasta?

    Ivi mbona unaandika vitu kama huna hata punje ya upeo wa kufikiria? Achana na roho ya kwanini. Huo ujambazi na unyama unao fanywa na waTanzania kule unaujua? Kosa lao wamejisababishia wenyewe hiyo hali usihusishe Raisi au balozi zetu kwa chuki zako binafsi
  5. E

    Nini kitatokea endapo itabainika Manji ni mtumia Dawa za Kulevya?

    Jamani mbona iko wazi tu kwamba madawa ya kulevya hayatakiwi nchi kibatu hata huko Jamaica tunakojua marasta yao bangi bado wanakamatwa wakivuta adharani. Hapa kwetu kila siku wanakimbizana watumiaji na mapolisi mpaka mirungi nayo nishida. Sasa kama Manji akigundulika sheria hiyo hiyo itatumika...
  6. E

    Kuandamwa kwa Makonda

    Hapo mwanzo si ndio nyie mlokua mkitaka watu watajwe na Kitwanga kwasababu kulikua na maslai yenu mlotegemea sasa imegeukia kwenu mnaona Makonda afai asinge mtaja mbowe yote malalamiko yasinge kuwepo. Kwani hao wengine walotajwa hawana jamii inayo wategemea?mpaka nao wasichafuliwe? Acheni zoezi...
  7. E

    Lowassa aache uchonganishi, hakuna njaa nchini

    Mmbea tu Eli hiyo njaa kaiona wapi mbona bei za vitu hazina tofauti yoyote yakusema kuna njaa. Kama huko Handeni washazoea kuuza chakula chote wanacho lima kisha wanaangaika na wamekata misitu kwa kuchoma mkaa ndio kaeaida yao. Huko Bukoba asijifanye ndio mwema kisa tetemeko kwa upande wangu...
  8. E

    Jengo la Bilioni 46 kujengwa kwa bilioni 10, natanguliza pole kwa watumiaji

    Anacho fanya mkulu sawa tu. Miradi mingi serikalini imepita kwa pesa nyingi lakini hakuna kilichofanyika. Vitu vingi vilikua chini ya viwango na mingine kuto fanyika kabisa. Mfano vitambulisho vya uraia. Pesa iliotumika nikubwa sana wakati watanzania hawakupata hivyo vitambulisho na bado vilikua...
  9. E

    Binti unataka mwanaume mwenye hofu ya Mungu, wewe unayo?

    Sio mtazamo wake bali ni wajamii za Kibongo au Afrika kwa ujumla. Wazungu wana mabalaa yao wala sio wakufananisha nao
  10. E

    Binti unataka mwanaume mwenye hofu ya Mungu, wewe unayo?

    Uzi haujasema wanawake ni malaya hapana hapo inazungumziwa kauli ambayo ipo kwa kinadada wengi kwamba wanataka mwanaume mwenye hofu ya Mungu. Kwaupande wangu wangetafuta jibu jingine. Mara nyingi majibu yao huwa ni general kwa wadada wengi kama wanafundishana haswa wenye uwelewa wa mjini sanasana
  11. E

    Ali kiba ni kati ya wasanii walioalikwa kutumbwiza siku trump anaapishwa

    Ila kidoti una mbwembwe na mada yako ya leo!
  12. E

    Wolper ampiga kibuti Harmonize, Afuta picha zake zote na za WASAFI

    Dogo ulimbukeni ndio unamsumbua ye angegonga akasepa sasa kujianika si ubwege uo
  13. E

    Kwenye hili la Hostel za UDSM, Dr. Magufuli mbunifu usipime.!!

    Unalalamikia pesa za tetemeko zimeibiwa zirudishwe we umetoa? Na kama zinaibiwa wale walio endelea kutoa niwapumbavu kuliko wewe unae lalamikia wakati hujatoa hata nguo za mtumba?
  14. E

    Hivi huku ndo kuinyoosha nchi au ilikuwa ni chuki tu?

    Ajira ndio swala la kupigania sio mkopo waliokopa wanakwepa kulipa mpaka wametishiwa ndio wamejitokeza sasa mwenyekosa nani hapo kama sio sisi wenyewe
  15. E

    Hivi huku ndo kuinyoosha nchi au ilikuwa ni chuki tu?

    Sasa unapandisha watu vyeo kimazoea mwisho wa siku ndio wanajichukulia maamuzi kimazoea. Mshahara hata waongeze laki shida aziishi watu walikua wanaongezwa mishahara kila mwaka na walikua hawakai ofisini. Mbona saizi wanapatikana ofisini bila kuongezwa mishahara?tulizoea mambo yakijinga hii ndio...
  16. E

    Lema alitumikie kosa lake, ila kwanini wenzie wapo uraiani?

    Alikua waziri lakini aliachia ngazi kwa lazima hakupenda. Hivyo heshima yake haina nguvu kiivyo kama unavyomchukulia kuwa alikua waziri
  17. E

    Lema alitumikie kosa lake, ila kwanini wenzie wapo uraiani?

    Eli kama anaweza akafungue kesi aone kama huyo alie mtukana hajakamatwa sasa kama yeye katulia nyie wapambe msaidieni kumsimamia kesi zake. Hata hiyo ya God lema Magu hajawahi kwenda mahakamani msiseme uonevu tu
  18. E

    Kwa Hotuba ya Kagera, ni bora angekaa kimya

    Waingereza walitoa pesa na kusema ikasaidie miundo mbinu hasa shule ndio maana kwenye jiwe la msingi walikuwepo na ndio wametoa pesa nyingi. Mbona wasiseme wajengewe watu kwahiyo nao hawana utu? Tusikimbilie mada kama huna upeo nayo, Unaruhusiwa kusoma mada za wengine we ukachuna.
  19. E

    Heri ya mwaka mpya wana MMU wote

    Tunashukuru lakini yote ni kwaneema tu
Back
Top Bottom