Search results

  1. N

    Kwani mradi wa REA una matatizo gani?

    utaratibu ni kwamba baada ya rea kuingiza umeme kijijin au mahali kunakua na kipind cha miez 6 au 3 sina hakika ipi sahihi kat ya hzo bt muda huo ni kaalum kwa watu kupeleka complains yaan labda nguzo imejatiza kiwanja cha mtu au lalamiko lolote,kipindi hicho kikipita ndo wanawasha so jua mpole...
  2. N

    Kuku aina ya SASSO wakiwa na siku 52

    mbeya sehem gan
  3. N

    Kuku aina ya SASSO wakiwa na siku 52

    unajua watu wanapenda kukurupuka kulea vifaranga kuna htaj tahadhali ya hali ya juu,andaa mazingira kwanza kabla ya kuanza fanya survey uone wenzio wanafanyaje jipe mda wa kujifunza den ndo uanze ukiandaa mazingira vzur utafurah na ukikurupuka utachukia kila breed tujipe muda wa kujifunza wajameni
  4. N

    Hydroponic fodder, Mkombozi pekee wa wafugaji wa ng'ombe, kuku, nguruwe, mbuzi na kadhalika

    kimsing hakuna specific mda maana hyomimea ikiota unaangalia ukubwa wa majan unayotaka yakikaa mda mref ndo yanakua so chakulacwapata kingi,hii ni compliment ya chakula unachowapa haisubstute so unaeza wapa chakula cha kawaida asubuh jion ukawapa hayo màjan,kuwapa majan pekee kutawanyima...
  5. N

    Agape sanctuary ministry shirika la kitapeli?

    Mi naona bado hujakamilisha,liko WAP kanisa na hyo interview iliishaje,hakuna aliye ajiriwa?
  6. N

    Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

    Mtoa mada ukute mange in hasimu wako so unamchongea atumbuliwe ili wakusaidie kulipa kisasi chako
  7. N

    Waziri wa Ulinzi na Mh Raisi tusaidieni kuhusu JKT tunaadhirika vijana wenu

    Hiv jkt wanaajiliwa eeeh,i mean kila anaepitia ni lazma aajiriwe na serikali?
  8. N

    Ushauri na muongozo kuhusu biashara ya mifuko ya plastic na ile ya karatasi

    Gunia zle zinashonwa kwa katani au unamaanisha vroba vkubwa?
  9. N

    Kibati hakilipi, mnajidanganya

    Kibati na kikoba ni tofaut[emoji4] [emoji4]
  10. N

    Bandari ya Dar es Salaam yafanikiwa kuingiza meli kubwa

    [emoji15] [emoji15] Asa ulitaka ishushe hadi makontena ambayo hayaj tanzania?hii ni sawa na safar ya mwenge mbagala,kila mtu anashuka kituo chake
  11. N

    Wanaotuhubiria juu ya demokrasia ni wanafik na wanatucheleweshea maendeleo

    Yaan ukitaka usiendelee enfekeza the so called democracy n human rights
  12. N

    Swali kuhusu ununuzi viwanja: TSh 20,000 ya fomu huwa inaenda wapi?

    Well said,ni chanzo cha mapato na pia inatumika kwenye other expenses like wino wa copy na muhuri,
  13. N

    Makamu wetu wa Rais Super Duppa!

    Nampenda huyu mama jamanii[emoji7] [emoji7] [emoji7]
  14. N

    Hii pekee ipo Rwanda

    [emoji3] [emoji3]
  15. N

    Hongera Rais Magufuli, kwa kuanza kutumia ATCL kama usafiri wa ziara za ndani ya nchi

    Ukisoma uzi vzur utaona tukio hilo linalenga kupromote.ndege hzo so sion ka ni tatizo[emoji4] [emoji4]
  16. N

    Nataka kuwa Afisa Upelelezi wa kituo cha Polisi, je nikajieleze kwa Mkuu wa Kituo?

    [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] watu na ndoto zao
  17. N

    Kutengeneza dawa ya kuku ya kutibu magonjwa yote kwa mitishamba

    ukiwaekea kuku hayo maji/dawa na wakashindwa kuimalza kwa siku husika,imwage ili kesho uweke nyingne[emoji4] [emoji4] [emoji4]
  18. N

    HOJA: Baada ya 'kumuhamisha' Mbowe, Billicanas wapangishwe UVCCM!

    Mi naona kama ni mdaiwa alipe af ndo tuanze ngonjera za kua anaonewa sio mtu kodi hulip kaz kupga kelele kwenye media ,tumchangien kamanda mwenzetu jamn
Back
Top Bottom