Search results

  1. kashande

    DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    Mimi naona changamoto pale Mbezi Louis. Wake askari hawafanyi kazi sawasawa, hawaangalii mistari ya abiria mpaka inavurugika ndo utawaona na pia hawana kauli nzuri ya huduma kwa wateja. Pili naona ni muda muafaka wa kurudisha kadi na Sisi tuwe tunachanja maana tumezidiwa na TERESA wao wana kadi...
  2. kashande

    Kamanda Ng'anzi: Kuweka Plate number yenye 3D sio kosa

    Kwa maelezo hayo ni kwamba hizo plate number hazitakiwi. Hao waliopewa tenda hawatengenezi hizo 3D
  3. kashande

    Clearance letter ya bodi ya mikopo

    Yangu ilichukua wiki mbili. Hiyo nazungumzia miaka miwili iliyopita
  4. kashande

    Mkasa wa doctor Mellus Tshube inaumiza sana!

    Je? Hamkuwa na watoto?
  5. kashande

    Mkasa wa doctor Mellus Tshube inaumiza sana!

    Hapo nafikiri elimu ya afya Ya akili ianze kufundishwa kwenye shule. Hii itapunguza matokeo (impact).
  6. kashande

    Mkasa wa doctor Mellus Tshube inaumiza sana!

    Kwa kweli alifanya maamuzi ya ghafla sana. Ni bora hata angempa talaka ,wanawake wamejaa wengi. Licha ya maandiko matakatifu yakituhusia tuishi nao kwa akili,inaonesha dhahiri kuna changamoto kubwa kwa mwanamke katika maamuzi yake.
  7. kashande

    SoC02 Ndoa yangu "Isininyanyase"

    Makala kwa kweli ni nzuri, naomba kujuzwa juu ya wanaume wanoteseka na kunyaswa na wake zao
  8. kashande

    INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

    Aiwa huwa wana bidhaa nzuri sana
  9. kashande

    Mtoto wa Ruge ni shidaa...

    Jamani hata kichwa cha marehemu hakijapasuka, mshaanza na ya mtoto wake....,??
  10. kashande

    Wanafunzi wa Tanzania waongoza kwenye uandishi bora wa Insha Afrika Mashariki! Mtanzania awa Jaji wa Mahakama ya Afrika Mashariki

    Suala la Somalia naomba walitupilie mbali maana hao jamaa sidhani kama tuna biashara tunaweza fanya nao. Maana wao nahisi wanafikiria tunaweza wauzia Silaha wakauwana. Hizi nchi nyingine ziwe zinakuwa vetted kabla ya kuingizwa kwenye Jumuiya.
  11. kashande

    Sh. Bilioni 13.9 kukarabati Bombardier nchini Canada

    Mara hii speedometer zimeshasoma? Ila kama umenunua chombo mpya,mtengenezaji angetufanyia bure gharama za ukarabati.Je tumepata faida kiasi gani kusudi tutoe gharama za ukarabati? Nisaidieni wenye vikikokotoo
  12. kashande

    Chahali usipotoshe, Dkt. Kipilimba hajawahi kuwa chaguo la Membe kwa Magufuli

    Umetisha Umetisha ndugu, umenena kweli.
  13. kashande

    Kagera: Kimondo chadaiwa kudondoka Bukoba

    Ni kimondo kweli au alien invasion ? Poleni sana ndugu.
  14. kashande

    Tuunganishe dots utekwaji wa Mo Dewji

    Chagua unaloweza tu mkuu
  15. kashande

    Msaada kuhusu ubora,uimara wa nissan x-trail

    Mimi nimejaribu kuuliza kuhusu hiyo Xtrail na nimepewa majibu tofauti tofauti. 1. Ila ni magari imara kama unmalitumia vizuri 2. Spea zake ni ghali kwa kuwa hakuna 'fake' 3.Unatakiwa ufanye matengenezo (maintenance) kwa wakati 4. Mafundi wanashauri unapolinunua kutoka nje, shughulikia...
  16. kashande

    Unakumbuka nini katika majarida ya zamani kabla ya magazeti ya udaku

    Mporipori kwenye gazeti la Ambha. Ila kwenye sani kulikuwa na hadithi nyingi kama za Ngome ya ole, pia kuna hadithi za Pablo Zungu., Watoto Mapacha - Itakuwa sani au tabasamu (sikumbuki hasa gazeti lipi kati yake) Wachoraji: 1. John Kaduma (nasikia ni marehemu) 2. Ras Kaka Jofu
Back
Top Bottom