Search results

  1. M

    Ofisi ya Waziri Mkuu (Ajira na Kazi)

    Waziri wa Ajira na Kazi; je unajua katika taifa hili huru bado kuna namna fulani ya ukoloni na ubaguzi mkubwa sana ambao unajikita katika misingi ya rangi ya ngozi zetu. Mheshimiwa Waziri, kuna watanzania ambao kwa asili wanatoka bara lingine lakini wana uraia wa Tanzania, Watanzania hao...
  2. M

    Ushauri kwa Dodoma jiji kuhusu mnada wa nyama msalato

    Naomba kutoa ushauri kwa serikali ya jiji la Dodoma kuhusiana na mnada wa nyama msalato. kwanza nianze kutoa pongezi kwa mamlaka ya jiji la Dodoma kwa kuenzi utamaduni wa kula nyama kila siku ya jumamosi lakini naomba kutoa ushauri kidogo kuhusiana na mazingira yake ya uchomaji nyama na...
  3. M

    Tuifanye Kariakoo iwe ya Kisasa

    Karikaoo ni soko linalokutanisha watu wengi kutoka ndani na nje ya nchi na ndo sababu kuu likapewa hadhi yakuwa soko la kimataifa lakini ukweli ni kwamba mazingira na namna biashara zinavyoendeshwa ninachelea kulipa hadhi yakuwa ni soko la kimataifa. Ukiangalia miundo mbinu na namna biashara...
Back
Top Bottom