Search results

  1. I

    Kazi: Nahitaji mtu wa marketing kwenye kampuni yangu

    Nimeanzisha Kampuni ambayo inahitaji mtu anayeelewa marketing na pia advertising vizur ili tushauriane na kufanya kazi pamoja. Aliyetayar anipigie 0713-778792 .... Awe na umri wa miaka 20-25.. Email:ibrahim_abeid@yahoo.com
  2. I

    Kilimo cha Kahawa na Majani ya Chai

    Habar wanajamvi. Kwa anaefaham kuhusu kilimo cha Kahawa na Majan ya Chai .... Maeneo ya kilimo na soko lake anifahamishe Jamani. Tusiwe wakimya tuelimishane jamani. Asante
  3. I

    Shirika la viwango (tbs)

    Za saahiz vijana wenzangu, Polen na majukumu ya kujenga taifa. Samahan naomba tafadhali mwenye kujua utaratibu mzima wa kupata nembo ya shirika la Viwango (tbs) kwenye bidhaa unayoitengeneza unafanyeje.
  4. I

    Shirika la viwango TBS

    Habari wakubwa Jaman mwenye kufahamu utaratibu wa jinsi ya kupata (tbs) kwenye bidhaa mpya anifahamishe naomba.
  5. I

    Natafuta Soko la mchele

    Habari vijana wenzangu Mi ni mkulima maeneo ya shinyanga nilietafuta soko la mchele wngu kwa muda mrefu bila mafanikio. Nimelima kiasi cha zaid ya tan52 ninaomba muongozo kwa mwenye kujua masoko ya ndani na nnje ya nnchi
  6. I

    Masoko ya Mchele

    Habari vijana wenzangu... Mi ni mkulima wa mpunga maeneo ya SShinyanga mwenye uwezo wa Kusuply zaidi Tan50 za mchele kila wiki ningependa kuuliza mwenye ufaham wa masoko ya nnje ya africa na dunia pia ili nifanye kazi bila kuhangaikia masoko
Back
Top Bottom