Search results

  1. ichumu lya

    Kwanini Wapalestina waliisaliti Tanzania na kumuunga mkono nduli Idd Amin kupigana?

    Kwanza tupe tafsiri sahihi ya neno NDULI au maana ya neno NDULI
  2. ichumu lya

    Hamas na Palestina waombe radhi au tusiwatambue rasmi!

    Umeandika nini? Unaomba watuombe radhi? Nyie UVCCM akili zenu zikoje?
  3. ichumu lya

    Makosa ya Mwalimu Nyerere ya kushindwa kutupatia katiba bora inalighalimu Taifa

    CCM INAMTAFUTA MCHAWI. Ukisikiliza hotuba ya Rais wakati akipokea Report ya CAG unaona CCM ilivyochoka akili mpaka Mh.Rais anataka kulia machozi kabla ya kutafakali kauli Rais Samia kwanza turudi kwa Mwl.Julius Kambarage Nyerere kama kiongozi aliyekandamiza demokrasia kutokana na uamuzi wa...
  4. ichumu lya

    Dar es Salaam ili uende kazini na kurudi lazima uandae elfu 10 ya usafiri pamoja na chakula. Maskini hana chake hapa nchini

    Inategemea wakati anajenga alikuwa anafanyia kazi wapi? Umetoa lawama ya jimla mkuu
  5. ichumu lya

    Dar es Salaam ili uende kazini na kurudi lazima uandae elfu 10 ya usafiri pamoja na chakula. Maskini hana chake hapa nchini

    Unachosema ni kweli hali ya maisha ni ngumu sana nauli zimepanda sana ninachoweza kushauri tafuta nyumba kulingana na uelekeo wa kazi zako kama haupangi ila kama unapanga basi inabidi uhakikishe na shemeji yetu na yeye achakalike ili mpinguze makali ya maisha. Ni ushauri tu mkuu.
  6. ichumu lya

    Kwanini Serikali ya CCM huwa haileti mrejesho juu ya tuhuma mbalimbali licha ya kusema wanafutilia

    Wewe ukituhumiwa kuwa unatembea na na rafiki yake na unajua fika unahusika unawezajiteteaje?
  7. ichumu lya

    Ni kweli TANESCO Kagera mmeshindwa kununua Transfoma inayotosha mahitaji ya wateja wenu?

    **BUKOBA Baadhi ya wakazi wa Mtaa Mafumbo na Rwome Kata Kashai Maniapaa ya Bukoba Mkoani Kagera wameendelea kuteseka na umeme maana msimu wa senene mwaka huu baada ya furaha imegeuka kuwa karaha. Wachuuzi wa senene wa usiku wanafunga taa zao za senene ili kujitafutia kipato chao ili kupata...
  8. ichumu lya

    UTI mbona imekua tatizo sana nahisi kuna ajenda ya siri

    Msiwe mnatoa maneno msiyoweza kuyasimamia swala la UTI nikubwa kiasi kwamba serikali isipotoa tamko kwenye maabara za mitaani zitembelewe na wamiliki pamoja na wahudumu wapewe miongozo ili waache tabia za kutoa majibu negative badala ya postive au postive badala ya negative. Niwakumbushe kwenye...
  9. ichumu lya

    Ujenzi wa njia nne Bukoba uendane na mitaro na kingo za mto kanoni

    Mto KANONI una historia yake ambayo kama watawala wangeamua kuifuatilia uenda ufumbuzi wa kudumu ungeishapatikana tumeshuhudia kila nyakati za masika watu wanahama kutoka Omukigusha kwenda maeneo mengine kupisha maji ambayo yamekuwa yakijaa kwenye majumba ya watu, kuziba njia za kupita na...
  10. ichumu lya

    Kwenye Siasa chochote kinaweza kutokea RC Paul Makonda anaweza kutumika kwenye Uchaguzi na baadae akaachwa

    Vyovyote itakavyokuwa atabaki muharifu na siku ikifika atasaga meno
  11. ichumu lya

    Kuna haja ya Rais kutangaza anaoandamana nao ziarani?

    Ili iweje? Hujui kuna watuliza dhoruba?
  12. ichumu lya

    Rais kawekeza pakubwa, na bado anaendelea kuwekeza

    Usisahau zinazotafutwa zinaibiwa kabla hazijafika nchini
  13. ichumu lya

    Katibu wa TEC: Maaskofu wanahitaji kuisoma mikataba iliyosainiwa, walipoitwa hawakuambiwa kulikuwa na nini

    Unajua misimamo ya TEC wewe! Tulia utaona mziki wao. Ila kusema kweli tunataka kuona huo mkataba sio maneno.
  14. ichumu lya

    Katibu wa TEC: Maaskofu wanahitaji kuisoma mikataba iliyosainiwa, walipoitwa hawakuambiwa kulikuwa na nini

    Kwanini tusiletewe kwanza? Ivyo vya kukimbizwa bungeni yatakuwa kama yale waliopitisha hewa na sasa wanarudia.
Back
Top Bottom