Search results

  1. V

    Utalii wa Tanzania vs utalii wa Kenya

    Tanzania inapokea watalii 500,000 kwa mwaka na Kenya inapokea watalii 2,000,000. Kenya na Tanzania nani ana vivutio zaidi.
  2. V

    Hivi Wakenya wametushinda nini?

    Rasilimali zipi. Kuwa na rasilimali ambazo hazina tija kwako ni sawa na kutokuwa nazo.
  3. V

    CCM waleta vurugu kwenye Kongamano la taasisi ya Mwl/Nyerere, Makonda ahusishwa kumpiga Warioba

    Ccm tuna tabia nzuri, huwa hatupendi kusikiliza ukweli, kusikiliza hoja.
  4. V

    CCM waleta vurugu kwenye Kongamano la taasisi ya Mwl/Nyerere, Makonda ahusishwa kumpiga Warioba

    Najaribu kuwaza tu, hotel haina hata kaulinzi ka kuhakikisha wateja ni salama.
  5. V

    Chitanda ajiunga na CCM

    Ni sawa, ana uhuru wa kufanya hivyo, anaweza kutumia sababu yoyote, lakini ni nani mwenye maslahi binafsi. Vizuri, labda huko atafanikiwa.
  6. V

    Hivi Makamba Jr, ni lipi ulilolifanya hadi tukuamini?

    Katika nchi yetu sijui kama tunaye mtu safi, labda awe hajafanya kazi kwenye serikali hii. Hivyo tufunge macho tuchangue. Atakaye pata tule naye sahani moja. Hata ukisema tuchangue dereva aliyefanya serikalini, hizo nyoka alizowahi piga utashangaa.
  7. V

    Kigwangalla: Mbowe mjinga, mpuuzi, ametia aibu na kushikishwa adabu...!

    Kigwangalla anahitaji maombi... Jana niliona michango yote ya wabunge wa ccm, mbona sikuona walichochangia.
  8. V

    Tujenge tabia ya kufanya kazi za kujitolea.

    Ni nini kifanyike ili kuwajengea vijana wa kitanzania tabia ya kufanya kazi za kujitolea. Mfano; kijana amemaliza form four anasubiri matokeo, wakati huu anaweza kutumika, kwani hii ni nguvu kazi kama ikitumika vizuri itakuwa na manufaa kwa taifa, kumbuka hizi ni nguvu zipo zaweza kutumika au...
  9. V

    Serikali za Ugatuzi

    Nimeshuhudia barabara nyingi zinazojengwa chini ya halmashauri zetu haswa mkoa wa Dar es Salaam hazidumu zaidi ya mwaka kabla hazijaanza kuwa na mashimo, je hili ni tatizo la uwezo wa mainjinia wetu. Ukipita barabara ya Kinondoni kuelekea makaburini utaona barabara inavyotengenezwa, hicho ni...
  10. V

    Mkuu wa Wilaya ya Tanga

    Mkuu wa wilaya ya Tanga ameamuru afisa elemu wa wilaya akamatwe, kisa wametofautiana misimamo. Je huu ni utawala bora? Mawazo.
  11. V

    Kauli ya Mh. Aden Rage dhidi ya Mh. Msigwa si ya kiungwana!

    Napata shida hapa naomba msaada. Mchugaji Msingwa alisoma maoni yake binafsi au ni maoni ya kambi ya upinzani.
  12. V

    Marufuku walimu waliogoma kushiriki sensa - serikali!

    Kwani hiyo nayo dil, wakitaka wala wasituhesabu !!!! Hii nchi ni yetu sote !!!!
  13. V

    HLRC kuiburuza serikali mahakamani kuhusu NSSF

    Life expectancy at birth: total population: 52.85 years male: 51.34 years female: 54.42 years (2011 est.) Definition: This entry contains the average number of years to be lived by a group of people born in the same year, if mortality at each age remains constant in the future. The entry...
  14. V

    Zitto: Dr Ulimboka kutekwa, kupigwa na kuumizwa; Serikali inawajibika kutueleza

    Wanaaanza kijifunza kunywa damu, wakizoe itakuwa taabu, inabidi idhibitiwe!!!!!!!
  15. V

    Hivi Wakenya wametushinda nini?

    Ndugu yangu tunatakiwa tubadilike, hii culture tuliyonayo tuiache kwa sababu haitatupeleka popote. Maneno mengi vitendo hakuna. Si ajabu hapa kwetu kuingia kwenye maofisi ukakuta wafanyakazi wazongoa huku watu wapo kwenye foleni wanasuburi huduma, Sisi tunaotembea tunapita mijini na vijijini...
  16. V

    Nabii Wetu !!

    "Taifa letu tumejijengea heshima ya kupoteza fedha za umma kwa mambo yasiyo na umuhimu mkubwa. Hata hivyo, lazima tuendelee kupunguza ukubwa wa misafara yetu nje ya nchi. Aidha tusikubali mialiko ya nje kwa kuwa tunalipiwa nauli na kila kitu. Hali hiyo itatufanya tusiwe huru wakati wa...
  17. V

    Bajeti ya Magufuli Sh1 trilioni

    Sound good, but funds need to disbursed on time, budget displine is foundamental in achieving expected objectives.
  18. V

    chadema hili turekebishe!!

    Ni ushauri mzuri, nazani utafanyiwa kazi ili kukipeleka chama chetu mbele.
Back
Top Bottom