Search results

  1. Cian

    Rais Magufuli: Chuo chochote kitakachojaribu kugoma sitasita kuwafukuza, tena kwa muda usiojulikana!

    Unanikumbusha ule msemo wa kuuza ng'ombe ile kupeleka ng'ombe nyingine shule[emoji23][emoji23]
  2. Cian

    Mstari gani au verse ya FID Q umekubamba?

    Maisha ni menyu na mhudumu ni muda....
  3. Cian

    Kuwashwa njia ya haja kubwa

    hiyo n pruritis ani husababishwa na minyoo, nenda hospital kwa uchunguzi zaidi...
  4. Cian

    What's your favorite movie line/quote?

    We become alot of people before we settle into who we really are.
  5. Cian

    Wasamaria tulifanya makosa kuchangia wahanga wa tetemeko Kagera?

    People are slaves of their natures.
  6. Cian

    Zitto: Muswada wa Huduma za Habari(Media Services Bill 2016) ni HATARI

    In a democracy not only outcomes need to be fair, the process also need to be fair.... Cian.
  7. Cian

    Wachungaji wa Kike na Wahubiri wengine mnasemaje kuhusu kifungu hiki cha Biblia Takatifu?

    Umesahau kuwa watakuja watu siku ile ya mwisho wakisema "Bwana tulitoa pepo kwa jina lako" naye atawajibu "ondokeni kwangu sikuwajua ninyi"? So kuwa na upako, kuponya wagonjwa, kutoa pepo na ishara zingine zozote sio uthibitisho ya kuwa uko na Mungu au Mungu amekutuma...
  8. Cian

    Wachungaji wa Kike na Wahubiri wengine mnasemaje kuhusu kifungu hiki cha Biblia Takatifu?

    Cool down please! Mungu hajawahi kujipinga kwenye neno lake, akataze jamii moja nyingine airuhusu... watu ambao wana exception ni wayahudi tuu, ila mataifa wote tunalo Neno moja... Mtume Paulo ndiye alikuwa mtume wa mataifa kama ilivokuwa Petro kwa wayahudi... Kama ni katazo kwa kanisa la...
  9. Cian

    Wachungaji wa Kike na Wahubiri wengine mnasemaje kuhusu kifungu hiki cha Biblia Takatifu?

    Kama ni hivo basi watanzania hawana waraka wao kutoka kwa Paulo ama nyaraka za Paulo haziwahusu.... Ninachoamini ni kwamba neno la Mungu halijipingi na kama alikataza kwa wakorintho hata sasa inatakiwa iwe hivo hivo
  10. Cian

    Wachungaji wa Kike na Wahubiri wengine mnasemaje kuhusu kifungu hiki cha Biblia Takatifu?

    Ndg kuwa mtumishi haimaanishi kuhubiri tu... Halafu pia biblia haiwezi kujipinga, yani huku ikataze then kule ikubali....
Back
Top Bottom