Search results

  1. M

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Dodoma 1 na mm nilikuwa natamani kweli kulima vitunguu lkn sikuweza kupata muongozo nipo dar lkn kwetu ni mbeya, nimeanza km mjasiliamali mdg kuprocess vitunguu saumu ambavyo bei yake inapanda sokoni kila leo ss nikawa nafikiria kulima mwenyewe, nahitaji kupata details zaidi kuhusu kilimo cha...
  2. M

    Kilimo, soko na faida za Uyoga

    Pastor my no 0715301100
  3. M

    Kilimo, soko na faida za Uyoga

    Nahitaji mtu akayeweza kufundisha ndugu zangu km watatu kuotesha uyoga!nipo dar
  4. M

    Msaada wa ushauri wa usafiri

    mkuu mm nna costa (capacity abiria 30)1 na noah new model 2 na old model 1(kila noah moja ni abiria saba) of course hazitafaa kwa trip ya mbeya lkn kwa town trip hapa dar zinafaa sana najua wakitoka huko huwa pia wanatembelea site mbali mbali tuwasiliane ukiona kuna uwezekano wa kufanya kazi...
  5. M

    Wapi ntapata machine ya kukamua mafuta ya alizeti

    Habari wana JF nataka machine ya kukamua mafuta ya alizeti for small scale industry nasikia mashine nzuri zinatoka india sababu zina uwezo wa kukamua mafuta kwa 100% je kuna watu wanaziuza hapa nchini?au km ntapata link ya hiyo co ya india!nimejaribu link ya china alibaba but cjui km ni trusted...
  6. M

    Natafuta sukari guru

    Hello wana JF! Jamani nna rafiki yupo somewhere nje ya nchi ameniambia anataka sukari guru (unfortified/unprosessed sugar)almost 1TON kuna mtu ana idea inapozalishwa hapa TZ nimejaribu kuuliza ktk viwanda vyote vya sukari hapa nchini wanasema hawana!any idea pleaseee!
  7. M

    Namna ya Kuanzisha na Kuendesha Biashara ya Kufua Nguo | Laundromat Business

    Hello wadau! Nataka kuanzisha biashara ya dry cleaning somewhere in this country lkn nataka kuanza kwa small scale ili kutest biashara!nataka kujua mtaji kiasi gani ambao unaweza kuhitajika kwenye hiyo bussiness pia ni machine gani ambazo natakiwa kuwa nazo!na hz machine zinaweza kucost sh...
Back
Top Bottom