Search results

  1. R

    Sheria 17 za Soka

    Habari za mchana, Wadau, naomba kuzipata Sheria 17 za Soka mtandaoni, kuuliza si ujinga jamani. Asanteni.
  2. R

    Vijana waliohitimu elimu ya msingi na sekondari 2014 - 2018 kutopata vyeti ni uonevu mkubwa.

    Habari wadau,Tamisemi kutotoa vyeti vya kuhitimu elimu ya msingi na sekondari kwa wanafunzi waliohitimu miaka hiyo na kibaya zaidi,vijana Hawa wamekua wanakosa haki yao ya msingi pindi wanapopata fusra za mafunzo mbalimbali kama vile nafasi za jkt za kujitolea,na hii imepelekea hadi vijana hao...
  3. R

    Wizara ya Elimu kutotoa vyeti vya kumaliza elimu ya msingi na sekondari kulikoni?

    Habari za leo wadau wa jamii forum,wanafunzi waliomaliza shule za msingi na sekondari mwaka 2014 hadi 2018 wizara haikutoa vyeti vya kumaliza elimu (leaving certificate),jambo ambalo kwa maoni yangu serikali haikuwatendea haki vijana hao,kwani kuna fursa nyingi wanazikosa kwani barua za...
  4. R

    Mradi wa DMDP Kata Mbagala

    Habari za mida hii wadau, wakazi wa kata ya mbagala, ambao mradi wa uboreshaji wa miundo mbinu ya barabara unaoendelea kwa sasa kwa hatua waliofikia initia moyo sana, hongereni kampuni ya jasco, ila vp kuhusu eneo la kwa serenge ambapo kuna bonde linalopakana na mtaa wa kizinga, ambapo ndo...
  5. R

    Mradi wa DMDP, Kata ya Mbagala unavyo suasua kulikoni?

    Wakazi wa kata ya Mbagala Manispaa ta Temeke tuliupokea kwa shangwe kubwa mradi huo wa uboreshaji wa miundo mbinu ya ujenzi wa barabara za kiwango cha lami, mifereji na taa za barabara ni unaofanywa na kampuni ya ujenzi ya Jasco. Mradi umekua ukisuasua kwa Madai kwamba wanashindwa kufanya Nazi...
  6. R

    Mradi wa dmdp kata ya Mbagala kuanza Julai

    Hatimae ule mradi wa uboreshaji miundombinu unaofanywa kwa ufadhili wa benki ya dunia katika kata ya Mbagala unatarajiwa kuanza tarehe 1julai 2019,hayo yametamkwa Leo na kaimu mkurugenzi wa manispaa ya Temeke katika hafla fupi ya kumtabulisha mkandarasi atakae ifanya Kazi hiyo ya ujenzi wa...
  7. R

    Ujenzi wa barabara za dmdp kata ya Mbagala utaanza link?

    Hali ya barabara za kata Mbagala in mbaya sana,ujenzi uliosemwa ungeanza mwezi machine 2018,Hadi leo bado hats ukarabati haufanyiki,viongozi idara ya uhandisi temeke kimya,wawakilishi wetu madiwani,Mh.mbunge hamuoni Kero hizi,au ndo business as usually,inasikitisha sana!!
  8. R

    Meneja wa Tarura Temeke,umeiona barabara ya Mbagala Mangaya kuelekea Serenge inavyobomoka?

    Niliwahi kuuliza kwa watu wa mradi wa dmdp kata ya Mbagala utaanza lini?,baada ya ile ahadi ya kuanza mwezi wa March 2019 kupita,ahadi ambayo ilitolewa na Afisa mradi huo Bw,Edward katika ziara ya Mkuu wa wilaya Temeke kusikiliza Kero za wananchi,hadi Leo bado na hali ya barabara ni mbaya sana...
  9. R

    Naomba kufahamu kuhusu vitanda vya kufanyia mazoezi ya viungo.

    Ndugu zangu naomba kueleweshwa kuhusu vitanda vya kufanyia mazoezi vinavyo tumia umeme,he ni kwa wagonjwa au hata wazima,na je,faida zake ama hasara zake kama zipo,kwani naona vimeenea karibu kila Kona hapa Jijini dar.naomba nielimishwe wadau. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. R

    Mradi wa DMDP kata ya Mbagala utaanza lini?

    Mradi wa ujenzi uboreshaji wa miundo mbinu unaofadhiliwa na benki ya dunia kata ya Mbagala Hadi leo haujaanza licha ya ahadi iliotolewa na afisa anaesimamia miradi manispaa ya temeke,aliyejitambulisha kwa jina moja la Edward,katika ziara ya DC wa temeke kwamba mradi huo ungeanza mwezi January...
Back
Top Bottom