Naomba kufahamu kuhusu vitanda vya kufanyia mazoezi ya viungo.

Rusende

Senior Member
Jul 27, 2016
120
90
Ndugu zangu naomba kueleweshwa kuhusu vitanda vya kufanyia mazoezi vinavyo tumia umeme,he ni kwa wagonjwa au hata wazima,na je,faida zake ama hasara zake kama zipo,kwani naona vimeenea karibu kila Kona hapa
Jijini dar.naomba nielimishwe wadau.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom