Search results

  1. K

    Why should Magufuli reject Sylvia Mulinge as Vodacom CEO

    Your right, it takes some serious investigation to prove what you have said. Too bad that most of our intelligence officers here concentrate a lot on politics, instead of directing it to the economy. Now we are at war with Kenya and our East African countries and its through the economy. Who...
  2. K

    Zitto: Kuwasweka ndani viongozi wa CHADEMA ni tishio kwa demokrasia

    Penda hekima na busara kuliko shari, epukana na umwagaji wa damu za watu kwani ni laana katika taifa. Kumbuka na wengine nao wanafamilia kama ulivo wewe yanayowapata wao yakija kwako hutofurahia, tafakari kabla yakuongea, jipim uone kama unatosha, mdomo wako usije kukuhukumu.
  3. K

    Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    KERO ZIFUATAZO Kuna mmiliki wa shule ya St. Patrick iliyoko maeneo ya sakina Arusha DC, ameziba njia ya nyuma ya shule hiyo ambayo amejenga jengo lake na kuziba na geti njia hiyo, vile vile anaendelea kuhatarisha maisha ya wananchi kwa kuruhusu maji machafu ya chooni kwa kuyafungulia mtaroni...
  4. K

    Wateja benki zilizofilisiwa kulipwa si zaidi ya TZS 1.5 Milioni.Haijalishi ni kiasi gani uliweka

    Kupitia kwa chapisho la gazeti la mwananchi kuna kichwa cha habari " Wateja benki zilizofilisiwa kulipwa si zaidi ya Sh1.5 milioni" ukisoma hii taarifa inasema kama ulikuwa na akiba kwenye bank zilizofilisiwa utapata Tsh 1,500,000/= hata kama ulikuwa na akiba zaidi ya hiyo. Naomba tujadili ili...
  5. K

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Naombeni kujua wapi naweza pata mobile phone accessories kwa bei ya jumla yani, chargers, usb cables, head phones, chaji za simu za gari, memory cards, flash disks na computer accessories kwa bei nzuri na viwe durable
  6. K

    Bonite Arusha kuna tatizo gani ?

    Ni ukweli usiofichika kwa wafanyabiashara wa mjini? ili kuweza pata Fridge la Bonite inaweza chukua zaidi ya mwaka. Mara ya kwanza nilifikiri utani ila mimi binafsi nilijionea, nilihitaji fridge ya bonite kwa ajili ya dukani kwangu, wakaniambia natakiwa kuwa na crate za soda kama 15 ambazo...
  7. K

    Serikali iangalie mfumo wa upangaji kodi wa TRA kunusuru biashara

    Naomba kabla ya yote nimpongeze Mh. rais kwa kazi kubwa yakuhakikisha serikali inakusanya kodi ili kuweza kuleta maendeleo katika taifa. Na ni wajibu kwa mwananchi yeyote kulipa kodi hili linaumuhimu mkubwa sana katika taifa. Nikirejea kwenye kauli ya rais aliyoitoa hivi karibuni kwamba ni bora...
  8. K

    Rais Magufuli: Tetemeko halijaletwa na Serikali, watu wafanye kazi

    kwa uwelewa wangu michango ilikuwa inaenda kuwasaidia wahanga wa tetemeko kama ujenzi wa nyumba zao zilizoharibika, chakula na matibabu pamoja na ujenzi wa shule na huduma zingine muhimu. Kama kulikuwa na mpango tofauti na huo ni bora wachangiaji wangepewa tarifa mapema kabla yakuchangia. nasema...
  9. K

    Mheshimiwa Rais Magufuli, Haki huinua Taifa

    Busara ndo kitu muhimu katika uongozi, lazima uangalie pande zote za shilingi ukiruhusu na kuwapa haki yao kikatiba ya kufanya siasa utapungukiwa na nini? na je wakizuiwa na ikatumika nguvu kubwa na watu wakaumia utakuwa umepata nini? kwa maana hata kwenye mataifa makubwa tumeona nchi zikiingia...
  10. K

    UKAWA Vs SERIKALI, kwa staili hii sioni mshindi

    Ni ukweli, nikiangalia mambo yanavyoenda naona upinzani wanaanza kupata umaarufu na kukubalika zaidi, ni vyema serikali ikaacha vyama vya siasa vikafanya kazi yao, na wao wakatimiza wajibu wao lakini kupiga marufuku na kuzuia watu kuonesha hisia zao au kuongea mtazama wao ambao unatofautiana na...
  11. K

    Kila nikiikumbuka ESCROW siitaki kuisikia CCM!

    KWANINI UKAWA NA SIO CCM ESCROW NA RUSHWA NYINGINE - AMBAZO ZIMELIINGIZIA TAIFA HASARA USIRI WA MIKATABA AMBAZO NDIO MOJA ZA SABABU ZAKULETA UMASIKINI AFRICA (WORLD BANK) KULINDANA KWA VIONGOZI HASA WAKATI WA KASHFA KUBWA ZINAZOLIINGIZIA TAIFA HASARA BUNGE KUTOKUWAJIBISHA SERIKALI CCM KUSHINDWA...
  12. K

    TANESCO: Uzalishaji wa umeme umeshuka kwa asilimia 81

    Yani kwa shirika la tanesko lilivyo na wizara ya nishati ukizingatia na kauli zinazotolewa na viongozi wa ccm, na hali ya mgao wa umeme unaoendelea nchini unahitaji kuwa mwendawazimu kuwapigia ccm kura october.. ccm mmefeli mtihani big time, yani kuanzia mwezi wa sita hadi leo October mnakuja...
  13. K

    Tatizo la kukatika katika umeme kuikosesha kura CCM

    Kwa hali ilivyo ni aibu kubwa kwa ccm, haiwezekani kuanzia mwezi wa sita nchi iko kwenye mgao wa umeme wakutisha alafu bado waziri na viongozi wa tanesko kwao ni business as ussual. Umeme umeathiri uchumi kwa taifa hili kwa kiwango kikubwa sana kuna viwanda vimepunguza wafanyakazi mpaka hivi...
  14. K

    Haya yanayofanywa na Waziri Simbachawene na TANESCO kwa manufaa ya nani?

    Ndugu wanajamii, ni wiki sasa tangu tulipotangaziwa mgao wa umeme umeisha lakini mpaka hivi sasa na Iddi hii, Arusha kuna mgao wa hatari kuna mahali leo ni siku ya tatu hakuna umeme ulirudi alfajiri ili tunyooshe kanzu zakuendea msikitini kuswali nakukatika, hali imezidi kuwa mbaya kwa kiasi...
  15. K

    Nimeamini TANESCO inatumika kisiasa

    Hivi hakuna namna yakuwashtaki hawa watu, hii imekuwa zaidi ya karaa, ni ujinga uliopitiliza hatuwezi kufanywa kama watoto wadogo kiasi hiki. Yani kila siku nikudanganywa tu
  16. K

    Tatizo la ccm kuendelea kupoteza mvuto ni hili

    watu wengi wanapenda kuilinganisha ccm na vyama vingine vya siasa, hili ni sawa kabisa kwa sababu vyote ni vyama vya siasa ila kuna tofauti kubwa ambayo hata wanachama na viongozi wa chama hiki hua hawapendi au huwa wanakwepa lawama, hili limekuwa gonjwa sugu katika kukiimarisha chama ndio maana...
  17. K

    Uongo wa TANESCO mwisho leo - September 14, 2015

    Watu wako kisiasa sana wakati huu lakini tatizo la Umeme ni kubwa kuliko linavyochukuliwa, Nchi bila umeme wa uhakika uchumi ndio unazidi poromoka na sekta nyingi zimeathirika likiwemo soko la ajira ndio linazidi didimia. Hatua zisipochukuliwa za haraka nchi inazidi kuangamia. Raisi na baraza...
  18. K

    Wapi naweza pata makaratasi (rims) kwa bei ya jumla na ni bei gani kwa Carton?

    Naomba kuambiwa wapi naweza nunua makaratasi (rims)kwa bei ya jumla na ni shilingi ngapi kwa carton 1 naomba ushirikiano wenu,
  19. K

    TANESCO, tangazeni rasmi kuwa mgao wa umeme umeanza

    Huku Arusha umeme upo kama kawa, tofauti na jana na siku zingine,
Back
Top Bottom