Search results

  1. K

    Picha na matukio; Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa Vatican Roma

    Ni vizuri ndugu yangu Barghash akafahau kuwa Roma ni serikali kama serikali nyingine yoyote duniani,kwa hiyo ziara ya PM ilikuwa ya kiserikali sawa na ambavyo angehudhuria kuapishwa kwa Kenyata/Laila na haina uhusianao na ukatoliki.
  2. K

    Hatari: Mke amfumania mumewe akilawitiwa!

    Huyo ni mumewe na wamezaa wote, wakae pamoja walijadili, wasameheane,ndoa iendelee. Mume atubu amrudie Mungu
  3. K

    Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...

    Vitisho vina ukomo, hata vya Ghadafi vilifika mwisho. Ni kweli Dr. Ulimboka katekwa na kaumizwa vibaya sana. Madaktari tusiogope vitisho, haki haipatikani kwenye sahani
  4. K

    Nini kirefu cha L.L.B na L.L.M

    An LL.B. is the award of the degree of Bachelor of Laws. LL.B. is a Latin word. It stands for ‘Legum Baccalaureus’, signifying 'Bachelor of Laws'. In Latin abbreviations, the plural form of a word is indicated by doubling the letter- hence ‘LL.’ is short for Laws.
  5. K

    Bei hii pale muhimbili ( moi )yamkatisha tamaa mgonjwa

    Hii kweli inauma hasa kwa sababu sisi wadanganyika hatupendi kujiridhisha na jinsi mambo yanavyokwenda. Huyu jamaa ni sawa na kwenda hotelini ukaomba ugali samaki ukaletewa bill ukakimbia bila kuuliza kama kuna chakula kingine. Kila mtanzania anayekwenda MOI kwa nafasi yake anapatiwa matibabu...
  6. K

    Marende declares Kibaki nominations unconstitutional.

    Marende ameonesha njia kwa maspika wa mabunge yetu. Katiba inataka uteuzi wa vigogo hao ufanywe kwa kushauriana....Kwetu hapa tunabadili kanuni ili mradi matakwa yetu buinafsi au ya kundi flani yatimizwe. Mliopewa ridhaa watumikieni waliowatuma
Back
Top Bottom