Search results

  1. mwita burure

    MSAADA JINSI YA KUREGEST TOTAL VIDEO COVERNT

    Msaada hapo tafadhari file la total video covernt now nikicki halufunguki wananiambia please register your total video covernt
  2. mwita burure

    Msaada wa jinsi ya ku flash simu kwenye PC

    Ndungu wana jf habari za wakati nina sm ina matatizo kidogo nilikuwa naomba kuna uwezekano kuiflash kwenye pc yangu mnielekeze niiflash au lazima niende kwa fundi aniflashie msaaada tafadhari
  3. mwita burure

    Msaada jinsi ya kuunganusha data za simu na PC

    Ndungu wana jf naomba msaaada jinsi ya kuunganisha data za kwenye cm zitymike kama modem kwenye pc
  4. mwita burure

    Msaada: Zinapokaa video za kwenye PC baada ya kuziconvert

    Ndungu wana jf nimekovernt nyingi kwenye pc yangu but cha ajaabu sioni file zipokaa msaaada hapo please
  5. mwita burure

    Msaada: Profile za NACTE

    Habari za wakati wana jf kuna ndungu zangu walifanya application nacte through CAS na application dedline ilikuwa ni tr 13 august baada ya dedline kila mmoja alipo ingia kwenye profile yake alikuwa system is runnig for selection be patient ila baada ya siku mbili walipoigia kwenye profile zao...
  6. mwita burure

    Msaada namna ya kutumia app ya whatsapp & instragram kwenye pc

    ndungu wana jf habari za wakati naomba msaaada wenu please je kuna utaaramu wa kudownlod app ya WhatsApp and instragram kwenye pc please mwenyewe ufahamu anielekeze
  7. mwita burure

    Tatizo la uume kusimama muda wote

    Ndungu wana JF, Hivi tatizo la uume kusimama kila wakati ni nini? Maana hali imekuwa ya kudumu pia huwa napata shida hususani pale inaposimama nikiwa class or kwenye mkusanyiko tatizo ni nini doctor?
  8. mwita burure

    Namna ya kuweka pin kwenye PC

    Habari za za saa hizi wana jf naomba msaaada jinsi ya kuweka PIN KWENYE pc
  9. mwita burure

    Msaada juu ya Techinician certificate in primary education & ordinary diploma in primary education

    Habari za muda huu wana jukwaa kuna kitu kinanitatiza kidogo katika application za NACTE especily upande wa education awali mfumo ulipo funguliwa kwa walioaply upande wa education ulikuwa ni ordinary diploma in primary education durution ilikuwa 3yrs both private and government baada ya majibu...
  10. mwita burure

    Msaada kuhusu selection NACTE

    Ndugu wana jf natumaini hamjambo Nina matatizo kidogo katika profile yangu. Niliapply NACTE kozi ya Afya na Education na walipotoa selection sikuwemo ikanibidi KUEDIT vyuo. Baada ya siku kama sita yani leo nimesearch index no yangu nakuta nipo selected lakini profile wameandika wait for...
  11. mwita burure

    Msaada wa namna ya ku edit profile binafsi ya NACTE

    Ndungu wana jf mm niliaply NACTE coz zifuatazo 1 diploma ya Afya 2 diploma ya education 3 IT ufaulu DIV III 24 CIV CIV D ENG C HIST D GEO D KISW C PHYS F CHEM C BIOS C B/MATH C lakini sijapata selection jana nimedit ikakubali leo nilipo fungua profile nimekuta nimekuta vyuo vya Afya na IT...
  12. mwita burure

    NACTE wazidiwa na milano ya IT

    Habari ndugu wana JF, Hawa nacte kweli wamezidiwa sana IT wao wameshindwa kufanya kazi walau hata "Profile" zifunguke Bora wakaazime China
  13. mwita burure

    Nifanyeje jamani kwa haya matokeo

    Habari wana jf nimehitimu kidato cha nne mwaka Jana na ufaulu wangu upo hivi DIV III 25 CIV D HIST D KISW C ENG C CHEM C PHYS D BIOS D GEO D B/MATH D je second selection lakini sizani kama ntachukuliwa pia nawaza kwenda private lakini nilitamani sana kusoma sayansi nifanyeje coz nacte wanaweza...
  14. mwita burure

    Msaada namna ya kupata password za profile yako NACTE

    Ndugu wana jf nilijichanganya nikaristore cm bila kuopi password zangu zilizokuwa kwenye cm nitafanyeje ili nizipate msaada please contact 0758494651
Back
Top Bottom