Search results

  1. Musa Ndambo

    Nifanyeje ili niirejeshe pesa yangu iliyokatwa na instagram

    Hapa maana yake ni kwamba hela zako zimewekwa kwenye prepaid wallet ya Instagram Sio kwamba zimetumika! Tangazo litaporuhusiwa, pesa itakatwa kutoka kwenye hii ‘prepaid wallet’ ya Instagram Hivyo usiwe na shaka, pesa yako bado ipo
  2. Musa Ndambo

    Hatima ya Uchaguzi wa Kenya kwa Siasa za Upinzani Tanzania

    Uchaguzi wa Kenya unafanyika leo tarehe 9/8/2022 Uchaguzi wa huu una maslahi mapana si tu kwa wa-Kenya bali ukanda mzima wa E Africa, Tanzania tukiwa miongoni mwao Wakati wa uchaguzi wa 2017 CDM walisamama na Uhuru, akashinda. Mgombea wa CCM, bwana Odinga akiangukia pua Matokeo yake ndiyo...
  3. Musa Ndambo

    Nina milioni 100 naombeni wazo la biashara

    Habari Mkuu Naomba tuongee hii vizur, nashindwa kukuPM Can you pls PM me
  4. Musa Ndambo

    Tanzania, mmedhibiti mijadala kwenye radio na Televishen, wanaharakati na wapinzani wamehamia space na zoom mmewafuata kuomba mic; It's Shame

    Umeita Habari zenye manufaa kwa nchi? Sio kwa ubaya, ila naona wewe ni punguani Yaani kipindi cha JPM Habari zilizokuwa zinarushwa huko TBC and the likes ni zile zenye manufaa kwa nchi? Habari za kina nabii Titto zilikuwa zinarushwa kwenye utawala Gani? Au zenye manufaa ni zile ambazo JPM...
  5. Musa Ndambo

    Tanzania, mmedhibiti mijadala kwenye radio na Televishen, wanaharakati na wapinzani wamehamia space na zoom mmewafuata kuomba mic; It's Shame

    Nilisema kitu fulani Twitter, nikapewa Block Chahali ana Roho nzuri na (huenda) anatamani kuona Tanzania inasonga mbele Ila The guy is a Slow learner, he doesn't see things when they are coming until when it's too late Mifano ni mingi sana Chahali alikuwa akimuunga mkono JPM hadi 2018...
  6. Musa Ndambo

    The World is a flat plane and not a globe

    Kwahio Mkuu unataka kutuaminidha kwamba Imani yako kwamba Earth ni Globe ni mawazo yako wewe? Sidhani kama ni kweli, kila mmoja kasoma sehemu ila suala la kuamini kipi kati ya hayo linabaki kuwa juu yako Hakuna mwenye mawazo yake binafsi juu ya hizi nadharia mbili Sent using Jamii Forums...
  7. Musa Ndambo

    Msaada: Shipping agent wa China anayeaminika nisaidieni tafadhali

    Mkuu hio dola moja per KG ni agent yupi naomba nimjue tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Musa Ndambo

    Ushauri unaponunua vitu kutoka China ( Alibaba)

    Shipping method ipi unayotumia hapa Mkuu nahitaji kuagiza kama KG 10 Tu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Musa Ndambo

    Pendekezo: Kiswahili kitumike kama lugha ya kufundishia ngazi zote za elimu, ili tukomboke kifikra

    Naomba kuuliza, Tuchukulie ni kweli hicho kiswahili kikaruhusiwa kuwa Lugha ya ufundishiaji Je tutapata wapi 'contents' za kufundishia huko vyuoni? Au unataka kutuaminisha kwamba walimu kama kina Dr Bashilu wanauwezo wa kuandaa maudhui ya watoto huko vyuoni? Tuache utani, suala la Kiswahili...
  10. Musa Ndambo

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mkuu sijapenda hii tabia Kama unachannel nzuri ya masomo juu ya FX ni vema ungeandaa uzi wako wenye mjumuiko wa manufaa kwa wasomaji Tabia ya kutangaza channel yako kwenye nyuzi za wengine si za kistaarabu
  11. Musa Ndambo

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Cha msingi ni kubadili hizi mentality tulizojiwekea ili tuweze kusonga mbele
  12. Musa Ndambo

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Hongera Mkuu Yatupasa tuipeleke FX kwa kila mwenye uhitaji.
  13. Musa Ndambo

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Naona sina uelewa juu ya hili, tusubiri wenye kujua watolee ufafanuzi.
  14. Musa Ndambo

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Sijajua unamanisha nini Mkuu, broker wote wanaruhusu hio.
Back
Top Bottom