Search results

  1. KaselengeJr

    JE WAJUA?

    Kama haujui Sent using Jamii Forums mobile app
  2. KaselengeJr

    Uvaaji wa sare za kijeshi kwa viongozi wetu wa kisiasa Unazingatia vigezo?

    Nimeona niulize swali hili ambalo limekuwa linanifikirisha kwa muda sasa hususani Mara baada ya viongozi wetu wakisiasa wanapokuwa wamevaa sare za majeshi yetu katika shughuli maalum mbalimbali za kitaifa,ili niweze kupata ufafanuzi. Nilichotaka kukijua ni uvaaji wa nguo hizo kwa viongozi wetu...
  3. KaselengeJr

    Utumishi wa Umma kwa Nadharia hii ya Mwalimu Jk.Nyerere he unachukuliwaje na waajiriwa wa sasa

    UTUMISHI WA UMMA KWA MTAZAMO /FALSAFA HII YA MWALIMU JK.NYERERE UNAPEWA UZITO KIASI GANI NA WATUMISHI WA UMMA WA SASA?
  4. KaselengeJr

    TGNP yamshauri rais Magufuli kuangalia swala jinsia katika uteuzi wake wa viongozi

    Mwishowe TGNP wafunguka na kumshauri Rais JPM,kuzingatia jinsia kama inavyoelekezwa/shauriwa kwenye mikataba mbalimbali ya kikanda na kimataifa pindi afanyapo uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa kusisitiza hilo TGNP walifika mbali zaidi kwa kuchambua idadi ya kina mama walioteuliwa katika...
  5. KaselengeJr

    Hotuba ya Raisi kwenye sherehe za baraza la Eid-El-Fitri inastahili pongezi

    Hotuba iliyotolewa na Mh.Rais wetu Mpendwa Dr.JPM,kwa mtazamo wangu Mimi inastaili Pongezi toka kwa wa Umini na Viongozi wa Taasisi za Dini zote nchini. Ninayo sababu ya msingi iliyonisukuma kupata wasaa na kuchukua fursa hii adhimu kuchangia mawazo na watanzania wenzangu katika nukta hii...
Back
Top Bottom