Search results

  1. Platinum Consultancy

    Ushirikishwaji wa wadau katika utekelezaji wa mradi

    Mradi huwa na mafanikio pale unapofikia/timiza malengo yake mahsusi na pia lengo kuu (project objectives/Project goal) na kukidhi matakwa ya wadau (meeting stakeholders’ expectations) kwa maana hii wadau wanakuwa na ushawishi mkubwa sana katika kufanikiwa au kutofanikiwa kwa mradi. Wadau ni...
  2. Platinum Consultancy

    Nguvu za ushindani katika biashara (Competitive Forces Model)

    Habari zenu wadau. Ni matumaini yetu kwamba nyote mu wazima wa afya. Kwa mara nyingine tena tungelipenda ku-share nanyi juu ya kile kiitwacho Nguvu za Kiushindani Katika Biashara (Competitive Forces Model). Kwanza kabla ya yote ni vyema ndugu msomaji ukafahamu maana ya neno INDUSTRY, hichi ni...
  3. Platinum Consultancy

    Mpango mkakati na dunia isiyotabirika (Strategic planning process in unpredictable world)

    Habari za majukumu wapendwa. Ni matumaini yetu kwamba nyote mu-wazima na mnaendelea vyema na majukumu ya ujenzi wa Taifa letu tukufu la Tanzania. Leo tungelipenda ku-share nanyi juu ya mada tajwa hapo juu. Mafanikio halisi ya biashara au kampuni yoyote ile kwa kiasi kikubwa hutegemea uwepo wa...
  4. Platinum Consultancy

    Ni kwa namna gani bidhaa au huduma zako ziwe na ubora ?

    Habari njema mdau, pia tunashukuru kwa pongezi zako kwetu. Unamaanisha "Project Proposal" ya mradi usio wa kibiashara/kifaida au "Business Proposal" kwa ajili ya mradi wa kibiashara? Kama ni kwa ajili ya mradi usio wa kibiashara, contents hutegemea na matakwa ya mfadhili wako (Kwa maana...
  5. Platinum Consultancy

    Ni kwa namna gani bidhaa au huduma zako ziwe na ubora ?

    Habari zenu wapendwa, Ni matumaini yetu kuwa nyote mu wazima, leo tungelipenda ku-share nanyi juu ya dhana ya ubora wa bidhaa/huduma na jinsi gani kuhakikisha huo ubora Biashara nyingi zinafilisika na kusitisha huduma kutokana na kushindwa kumhakikishia mteja (customer) ubora anaoutarajia...
  6. Platinum Consultancy

    Uchambuzi wa tatizo katika mradi (Project Analysis)

    Ni matumaini yetu kwamba nyote mu-wazima jukwaani hapa, na mnaendelea vyema na majukumu ya kitaifa. Leo tungelipenda ku-share nanyi juu ya uchambuzi wa tatizo katika mradi wa maendeleo ya kijamii (Problem analysis) Uchambuzi wa tatizo ni moja miongoni mwa vipengele katika uchambuzi wa...
  7. Platinum Consultancy

    Fahamu Mkakati wa Kibiashara (Business Strategy)

    Habari mdau. Tutafute kwa mawasiliano yetu hapo juu. Gharama zetu zina range kuanzia Tsh 150,000 mpka 300,000
  8. Platinum Consultancy

    Fahamu Mkakati wa Kibiashara (Business Strategy)

    Habari mdau, Ahsante kwa swali lako Kwa mtu anayeanza biashara mikakati yaweza kumfaa pia, ila itatokana na asili ya bidhaa/huduma (nature of the product) atakayotaka kuingiza sokoni. Kimsingi kuna vipengele vinne vya kuzingatia/kufahamu: Waweza kuja na bidhaa mpya katika soko ambalo siku...
  9. Platinum Consultancy

    Fahamu Mkakati wa Kibiashara (Business Strategy)

    Habari za majukumu wapendwa. Ni matumaini yetu kwamba mko vizuri katika hali zote, tunashukuru kwa hilo. Leo tungelipenda ku-share nanyi juu ya mkakati au mikakati ya kibiashara (Business strategy) MKAKATI WA KIBIASHARA (BUSINESS STRATEGY) Asili ya kufikiri kimkakati katika biashara (strategic...
  10. Platinum Consultancy

    Fahamu kuhusu usimamizi wa miradi (Project Management)

    Habari mdau. Kwa "percentage wisely" tunatoza 0.5 ya value ya mradi (hapa ni kwa miradi ambayo thamani yake ni zaidi ya Mil 100) , kwa "flat rate" tunatoza 200,000 mpaka 300,000 (hapa ni kwa miradi ambayo thamani yake ni pungufu ya mil 100) "But.....there is a room for bargaining" Kwa maelezo...
  11. Platinum Consultancy

    Fahamu kuhusu usimamizi wa miradi (Project Management)

    Habari mdau, Ahsante kwa swali lako. Kuna njia nyingi za kufanya kile kinachoitwa "knowledge and skills utilization" inaweza ikawa utilized kwa maslahi binafsi au kwa maslahi ya jamii. Sisi tumeamua ku-utilize ujuzi na taaluma yetu hii kwa jamii, na ndio maana tunatoa huduma ya kuwaandikia...
  12. Platinum Consultancy

    Fahamu kuhusu usimamizi wa miradi (Project Management)

    Habari mdau, Kuhusu Project Monitoring and Evaluation, tunazitolea semina pale kunapotokea uhitaji. Karibu sana
  13. Platinum Consultancy

    Fahamu kuhusu usimamizi wa miradi (Project Management)

    Habari mdau, Ni kweli kwenye Schedule, tunamaanisha TIME, katika specification, hapa tunamaanisha "description of project objectives" (ambazo siku zote hupaswa kuwa SMART), japo Project Scope pia yaweza maanishwa as among project specifications. Tumepokea ushauri wako juu ya matumizi ya...
  14. Platinum Consultancy

    Fahamu kuhusu usimamizi wa miradi (Project Management)

    Kinondoni(Ada Estate) , mkabala na yalipo makao makuu ya Bakwata, ndipo tufanyiapo shughuli zetu.
  15. Platinum Consultancy

    Fahamu kuhusu usimamizi wa miradi (Project Management)

    Ahsante kwa swali lako mdau. Kwa sasa bado hatujaanza hiyo huduma, ila kama mpo organized tunaweza kuwafuata na kukufundisheni (Ikiwa mpo ndani ya Dar es Salaam) Karibu sana mdau
  16. Platinum Consultancy

    Fahamu kuhusu usimamizi wa miradi (Project Management)

    Tunashukuru kwa swali lako mdau. Uwezo huo tunao, fuatilia jibu tulilompa mdau Mwananchi Mwandamizi, tuna imani litakidhi pia kiu yako. Karibu sana
  17. Platinum Consultancy

    Fahamu kuhusu usimamizi wa miradi (Project Management)

    Tunashukuru kwa swali lako mdau Viambatanisho katika proposal inategemea na matakwa ya mteja, ila kiujumla hujumuisha -Project description (hapa inajumuisha Problem justification, project goal, project objectives, project methodologie/strategies, stakeholders analysis n.k) -Project budget...
  18. Platinum Consultancy

    Fahamu kuhusu usimamizi wa miradi (Project Management)

    Habari, Ni matumaini yetu kwamba nyote mu wazima wa afya na mnaendelea vyema na majukumu ya kitaifa. Leo tungependa ku-share nanyi juu ya miradi (Projects) na usimamizi wake kiujumla (Projects Management) USIMAMIZI WA MIRADI (PROJECT MANAGEMENT) ni utumiaji wa taaluma, ujuzi na zana za...
Back
Top Bottom