Search results

  1. B

    Lowassa anasafishwa!

    Eeeh bwana kwa taarifa yako hata kama Migiro yuko UN hawezi kuwa na influence yoyote ya kumuunganisha Lowassa ilo haliwezekani kabisa...kwani kuna watu kibao wenye uzoefu sana ambao Lowassa kwao ni mtoto...sana sana ana uzoefu wa hapo Tanzania lakini anga za kimataifa hamna kitu....wala...
  2. B

    Mashaka Wa Takukuru Kiboko!!!

    Ndugu Mrisho Kabla ya kuandika habari ni vyema ufikirie mara mbili na sio kuja hapa kutuletea majungu. Kila kitu kinaeleweka wazi ile ripoti ya Mwakyembe imeweza kutufumbua macho tuliokuwa tumelala. Mambo ya sijui kuna ushindani wa kuchafuana ndani ya TAKUKURU sisi hayatuhusu. Cha muhimu ni...
  3. B

    Baraza jipya la Mawaziri kujulikana Feb 12

    Kuna tatizo mbona kunakuwa na habari tofauti...wengine wanadai ni leo saa 4.00 asubuhi na kwamba wahandishi wa habari wanatakiwa wawe wamefika Ikulu ndogo ifikapo saa 3.00 asubuhi...sasa tushike lipi... :(:confused:
  4. B

    Mkewe Lowassa analia

    Kinachomliza hiki hapa....
  5. B

    In DEFENCE of LOWASSA (Warioba & Butiku on it)

    Hapa naomba tuwe wazi kabisa...ukijaribu kuikosoa ripoti ya mwakyembe tafadhali uwe umeisoma ki-uhakika. Ndugu yangu ripoti inasema kwa hali inavyoonyesha kuna uwezekano mkubwa sana kwamba bwana mkubwa Lowassa alishiriki kwa njia moja au nyingine...na ile ni ripoti ya kamati teule...sasa yeye...
  6. B

    Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

    Hamna kitu huyo....ni kutapatapa tu..yeye anachotakiwa kujibu ni yale yaliyomo kwenye ripoti. Na kama amejidai kununua hayo magazeti siyo rahisi kwamba atanunua yote.... Cha muhimu atuelezee kati yaliyoandikwa kwenye ripoti yapi sahihi...aweke bayana kwamba ana uhusiano wowote na hiyo...
  7. B

    Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    Count your life by smiles not tears, count your age by friends not years
  8. B

    Wembe uliomnyoa Wassira watumika kwa Lowassa

    Halafu anasema cement imepanda bei kwa sababu viwanja vya mpira vinajengwa Afrika Kusini...jamani mfuko wa cement kwa Dar es salaam ni Tsh. 16,000 na zaidi kidogo...sasa mtu aliyeko Mwanza na Kagera ataununua kwa kiasi gani si itakuwa elfu 50 za Tanzania. Kwa kweli iko kazi sasa. Miaka 2...
  9. B

    Wabakwa hadi kufa!

    Watoto wabakwa hadi kufa, mtuhumiwa mmoja mbaroni Na Andrew Gasper, Singida
  10. B

    This day wamepotosha picha kumfanya rais aonekane mjinga?

    Jamani picha ya THISDAY na CITIZEN ni tofauti moja inaoyensha Rais akipokea hundi toka kwa Mr. Ali Mufuruki (Yeye ni mweusi) na ndo maandishi na namba vinaendana. Lakini hiyo nyingine inaoyesha Rais akipokea hundi toka kwa Mkurugenzi wa Benki ya Duania kwa nchi za Tanzania na Uganda (yeye ni...
Back
Top Bottom