Search results

  1. Onduru Ogy

    TARURA: Nimebambikiwa parking fee ya masaa manne baada ya kupark kwa dakika tano!!

    Kama wamefanya hivyo itakuwa ni jambo jema. Naamini wamejifunza kitu iwasaidie kuboresha na kuja na mfumo unaoeleweka.
  2. Onduru Ogy

    TARURA: Nimebambikiwa parking fee ya masaa manne baada ya kupark kwa dakika tano!!

    Huo mfumo wa Tarura ni wa kipumbavu sana maana mtu anaweza kukaa barabarani kila gari akiona namba anaiandikia tu parking fee. Hata details za aliyeandika na aliyeandikiwa poja na mahali ilipo hiyo parking hawaweki na hata mtu hujulishwi kama umeandikiwa. Yaani hii post yako imesababisha...
  3. Onduru Ogy

    Laiti kama kule Hai angekuwepo mwanaume kama Saidy Mwamwindi

    Walikutana na mtu ambae yuko kwenye game kitambo Brother Zakaria heshima nyingi kwake tafadhali!
  4. Onduru Ogy

    Laiti kama kule Hai angekuwepo mwanaume kama Saidy Mwamwindi

    Mwamindi alikuwa anajiweza hawa wateule wa CCM wanayanyasa maskini mbao hawana hata gari Bunduki n.k
  5. Onduru Ogy

    Rais Samia ni kiboko ya wasiojulikana, toka ameingia wanaharakati wanapata usingizi

    And the logic ni kwamba mama anamjua na alikuwa nyuma yake.
  6. Onduru Ogy

    Maono yangu kutoka Temple Mount: Ipo siku CHADEMA itaongoza Tanzania

    Tanzania ni Nchi huru. Hakuna taifa litaamka na kwenda kuamua mshindi wa uchaguzi wa nchi nyingine. Tambua kwamba hapo unaambiwa hakuna jiwe litabaki bila kugeuzwa. Hizi ni hadithi za Yesu na wafuasi wake siyo Tanzania na wananchi wake. Kama Magu alisema yeye ni jiwe kwelikweli haimaanishi...
  7. Onduru Ogy

    Waziri Bashungwa na Dkt. Abbas muwe makini na kiki ya Yanga itawatokea puani

    Hao jamaa ni kichwa maji kweli, wanatanguliza maslahi yao binafsi ya kujipendekeza hawaangalii public interest
  8. Onduru Ogy

    Tukumbushane "table manners" mbovu

    Wewe unaishi nchi gani? Yaani watu waagize kitimoto kilo halafu kila moja awe na sahani yake?
  9. Onduru Ogy

    Naombeni stori za njaa ya 1988 na Elnino ya 1998

    Nakumbuka kabla ya njaa kulikuwa na shibe. Sasa siku moja tukiwa tunalinda ndege shambani tukaletewa chakula, baada ya kula na kushiba tukatupa ugali. Ikapita miaka kadhaa njaa ikaja. Njaa ilivyokuwa kali tukakumbuka ule ugali tuliotupa miaka kadhaa iliyopita ilibidi tirudi kuutafuta ule ugali...
  10. Onduru Ogy

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kama umemkata utakuwa umeharibù kura au unamaanisha umeweka tiki kea Lissu tu?
  11. Onduru Ogy

    Live Uefa Super Cup: Bayern Munchen Vs Sevilla Fc

    Hivi hii game inaonyeshwa na DSTV?
  12. Onduru Ogy

    Ninahisi nimebugi, nataka tuandikishiane nimpe milioni 5 ya msingi. Anipe mwanangu atakapofikisha umri

    Angalia huyo mjaluo kama chimbikonlake siyo kenya utapigwa hela zako ma atasepa. Vinginenyo wajaluo makubaliano ya mahari hufanywa na baba mzazi wala siyo ndugu wa mke. Mama mkwe yeye anapewa blanketi na hela kidogo kama laki mbili. Unachukua ndugu zako kama wazazi wanakaa meza mona na mzazi...
  13. Onduru Ogy

    Uchaguzi 2020 Wanasheria, Tusaidieni. Je, kuna uwezekano wa Tundu Lissu kuenguliwa na NEC kugombea Urais kwa kutumia kigezo cha Uadilifu wa Mke wa Kaisari?

    Kwani NEC na CCM wana utofauti yoyote? Unategemea CCM afuate sheria na tataribu kumteua mpinzani wake huku akijua uwanjani hawezi hata kucheza pasi mbili bila kutoa boko anategemea ujanja wa refa.
  14. Onduru Ogy

    Uchaguzi 2020 Wanasheria, Tusaidieni. Je, kuna uwezekano wa Tundu Lissu kuenguliwa na NEC kugombea Urais kwa kutumia kigezo cha Uadilifu wa Mke wa Kaisari?

    Kwani NEC na CCM wana utofauti yoyote? Unategemea CCM afuate sheria na tataribu kumteua mpinzani wake huku akijua uwanjani hawezi hata kucheza pasi mbili bila kutoa boko anategemea ujanja wa refa.
  15. Onduru Ogy

    Salamu za Rambirambi za kifo cha Benjamin Mkapa toka kwa Rais Paul Kagame na Rais Yoweri Museveni zimenigusa sana

    Hizi Rambirambi hawezi pita nazo Steve nyerere au yule aliyepita na za Tetemeko na za Korona?
  16. Onduru Ogy

    Utalii: Ni muda muafaka wa kuifanyia mabadiliko noti ya elfu kumi

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] itakuwa Atlas ya noti
Back
Top Bottom