Search results

  1. M

    Abu Dhabi yaendelea kujiimarisha katika kukuza sekta ya utalii, Uarabuni

    Abu Dhabi. Kutokana na utamaduni uliojengeka kwa nchi za Falme za Kiarabu, uwapo wa vivutio na ukarimu kutoka kwa wenyeji ni mambo ambayo yameifanya Abu Dhabi kuwa sehemu muhimu kwa utalii. Milango imefunguliwa na watalii wanakwenda kujionea vivutio, huku wakiwa na uhakika wa kupata huduma...
  2. M

    Wa milioni 7 kwa dakika kupanda tena kizimbani

    TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) leo inatarajiwa kuwapandisha kizimbani wafanyabiashara wawili akiwemo Mohamed Mustafa Yusufali ‘Choma’ aliyewahi kutajwa kuwa anajipatia Sh milioni saba kwa dakika moja kwa njia za udanganyifu katika mapato ya serikali. Choma na mfanyabiashara...
  3. M

    Etihad cargo starts twice weekly flight to Brussels airport

    Makamu wa Rais wa Huduma wa Shirika la Ndege la Etihad, Sajida Ismail (kushoto) na Makamu wa Rais wa Uhusiano wa shirika hilo, Calum Laming wakipokea tuzo za Skytrax World Airline ya World Best First Class Airline, World’s Best First Class Onboard Catering na World’s Best First Class Airline...
  4. M

    Etihad cargo starts twice weekly flight to Brussels airport

    Etihad Cargo has commenced a new twice weekly A330 freighter service to Brussels Airport in Belgium further strengthening the connectivity options and economic ties between Abu Dhabi and Brussels, and adding freighter capacity to its existing passenger service. The airline already flies a daily...
  5. M

    Wanafunzi wa vyuo vikuu Tanzania wapongeza mradi wa Huawei 'seeds for the future'

    Shenzhen, China. 08 Juni 2016. Wanafunzi kutoka vyuo vikuu vya hapa nchini ambao walikwenda China kuhudhuria mafunzo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), wameipongeza Kampuni ya Huawei Tanzania kwa kuanzisha mradi huo wenye lengo la kuongeza ufanisi kwenye masuala ya TEHAMA nchini...
  6. M

    Joseph Mbilinyi (Sugu) kuchunguzwa kwa kosa la kutukana wabunge

    BUNGE limeielekeza Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, kufanya uchunguzi kuhusu kitendo cha kukidhalilisha chombo hicho na Kiti cha Spika, kinachodaiwa kufanywa na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ kwa kuonesha kidole cha kati cha mkono wake, kuashiria matusi. Mbilinyi...
  7. M

    Wasomi nchini wapongeza bajeti

    WASOMI nchini na wadau mbalimbali wameunga mkono Bajeti ya Serikali ya mwaka 2016/17. Pia, wameunga mkono hatua ya serikali ya kuanzisha mfumo wa kuwakata kodi wabunge katika malipo yao ya kiinua mgongo baada ya kutumikia ubunge kwa miaka mitano. Wamesema kama wabunge wataonekana wakati wa...
Back
Top Bottom