Search results

  1. N

    Sufi zinapatikana wapi na gharama zikoje?

    Habari za muda huu wakuu.. Nmekuja kwenu kuomba msaada wa kuelekezwa wapi Sufi znapatikana na gharama zikoje Nina plan kuanza project ya kutengeneza mito. Karibuni kwa Mawazo mbarikiwe.
  2. N

    Natafuta shule nzuri za private wilayani kahama

    Habarini za muda huu wakuu. Nimekuja kwenu nahitaji msaada Nina wadogo zangu nawasomesha naulizia shule nzuri za private wilayani kahama mkoa wa shinyanga ambapo watapata elimu bora. Mbarikiwe
  3. N

    Tatizo la chunusi

    Habari za Jumapili wakuu, Nimekuja kwenu nina tatizo moja, nina mchumba wangu ninampenda sana kwakweli ila ana tatizo la chunusi ambapo hili swala linamkosesha raha na hata Mimi pia. Natamani amgepata kitu cha kumsaidia msichana wangu anauso wa mafuta kiasi ameshajaribu kutumia mpaka zile...
  4. N

    Kauli ya rais kuhusu ajira

    Ilikuwa 22-06-2016 ilitoka kauli hii, ''NASITISHA AJIRA KWA MWEZI MMOJA AU MMOJA NA NUSU, HAITAZIDI MIEZI MIWILI'' sasa miezi mitatu itatimia kesho kutwa. Msema kweli mpenzi wa Mungu. #Natafakariiiii.......
  5. N

    Sijamuelewa Simbachawene kuhusu ajira za walimu

    Wakuu habari... Kwa alichokisema Simbachawene janaa aisee ina maana tangu Februari wanaujua ukweli wameficha na wanakanusha. Sasa kama sababu ni walimu wa arts si waajiri wa sayansi jamani. Hii serikali nisaidieni kuielewa....
  6. N

    Ajira Serikalini zitafunguliwa lini?

    Nawasalimu ndugu zangu.kumekua na matamko mbalimbali juu ya swala la ajira hatimaye raisi akafunga milango mwezi na nusu umeisha ivo..." Haitazidi miezi miwili" lakini mara issue ya vyeti feki inaibuka napata shaka sana juu ya ili mwenye kuelewa juu ya hili tafadhari maana upotoshaji umeenea ...
  7. N

    Natafuta supermarket au maduka nisupply bites.

    Mimi ni mjasiriamali mdogo natafuta duka au supermarkets ambazo naweza kusupply bites.kwa yeyote mwenye kufahamu tuwasiliane. Bidhaa nazo tengeneza ni visheti,halfcake,bisi,Karanga za mayai crips. Siku njema.
  8. N

    Uhusiano kati ya stress na hedhi kwa wanawake

    Habari za jumapili wanajamvi? Ningependa kuuliza juu ya uhusiano uliopo kati ya msongo wa mawazo na kupata siku za mwezi mwanamke mwenye kufahamu juu ya hili Tafadhali. Nina dada yangu ambaye amepata matatizo kikazi kwaiyo karudi nyumbani. Ana mawazo sana... Na imetokea mwezi huu hajapata siku...
Back
Top Bottom