Search results

  1. K

    Plot4Sale Kiwanja Nyashishi, Mwanza

    Kiwanja nakiuza mil 5( maongezi yapo) Ukubwa wake ni hatua za miguu 25 upana, 25 urefu. Kipo Nyashishi nyuma ya Mwabebeya shule ya msingi, documents zilizopo ni karatasi ya serikali ya mtaa Bado hakijapimwa, umeme upo. Kutoka barabara kubwa mpaka kwenye kiwanja kwa boda boda ni elf 1000...
  2. K

    Nahitaji kuanza biashara ya maharage. Mwenye uzoefu wa masoko na changamoto zake anijuze

    Wazo zuli, lakini maharage yana aina tofauti tofauti lazima uangalie unataka kuuza maharage ya aina Gani? Na utaka kuuza kwa level ipi?? Jumla au reja reja
  3. K

    Plot4Sale Nauza kiwanja cha Nyashishi-Mwanza

    Hiyo ni ofa yangu njoo na ofa yako, ndy tutajua kama ni shamba au kiwanja
  4. K

    Plot4Sale Nauza kiwanja cha Nyashishi-Mwanza

    [emoji3167]‍🦯[emoji3167]‍🦯[emoji3167]‍🦯[emoji3167]‍🦯
  5. K

    Plot4Sale Nauza kiwanja cha Nyashishi-Mwanza

    Cha buhongwa siuzi
  6. K

    Plot4Sale Nauza kiwanja cha Nyashishi-Mwanza

    Hiyo barabara niya mtaa imepita mbele ya kiwanja
  7. K

    Plot4Sale Nauza kiwanja cha Nyashishi-Mwanza

    Nimetum picha 3 sijui kwako zimefunguka ngapi
  8. K

    Plot4Sale Nauza kiwanja cha Nyashishi-Mwanza

    Ukiwa serious na biashara inabidi uweje boss???
  9. K

    Plot4Sale Nauza kiwanja cha Nyashishi-Mwanza

    Mara yako ya mwisho kufika mwanza ni lini??
  10. K

    Plot4Sale Nauza kiwanja cha Nyashishi-Mwanza

    Sio mwenyeji sana maeneo yale, mm nilinunua kiwanja na sasa nimeamua kukiuza
  11. K

    Plot4Sale Nauza kiwanja cha Nyashishi-Mwanza

    Nimenunua kingine buhongwa
  12. K

    Plot4Sale Nauza kiwanja cha Nyashishi-Mwanza

    Kiwanja nakiuza mil 5( maongezi yapo) Ukubwa wake ni hatua za miguu 25 upana, 25 urefu Kipo Nyashishi nyuma ya Mwabebeya shule ya msingi, documents zilizopo ni karatasi ya serikali ya mtaa Bado hakijapimwa, umeme upo, kutoka barabara kubwa mpk kwenye kiwanja kwa boda boda ni elf 1000
  13. K

    Biashara gani naweza kufanya kwa mtaji wa laki nane katika mji wa Kahama?

    Kama unaweza fanya biashara ya boxer, Kuna boxer zikuhizi zinavaliwa na wadada na wakaka, Kuna boxer za BSG na Timberland zinakamba zinakaa PC 12 kwenye dozen 1 hizi boxer ni chambuu,( hazifanani rangi) ukichukua kuanzia dozen 10 wanakuuzia kwa 380,000 Ina maana utapata dozen 1 kwa sh 38,000...
  14. K

    Naomba kuuliza kuhusu chimbo zuri la kununua mitumba balo za mitumba

    safi sana kaka, mimi nipo karagwe mkoa wa kagera, baada ya kupata changamoto kwenye biashara ya vifaa vya simu na m-pesa Nimefikiria mwaka huu nifanye biashara ya mtumba kwa kuanza na Tshirt kufungua belo grade 1 pamoja na simple jacket , maana kwa huku naona biashara ya mtumba bado iko chini...
  15. K

    Nina milioni 100 naombeni wazo la biashara

    Habari, umesema Una 100mil sawa, je hiyo pesa unataka kuweka yote kwenye biashara moja??? my take hy pesa igawanye mara 3! 1. Tafuta eneo la karibu na bahari ambalo unaweza kununua au kulikodisha Kwa makubaliano maaalum, kisha tengeneza barabara mfano wa mji barabara hizo ziwe na alama zote za...
  16. K

    Vidole vyangu havisomeki kwenye machine za biometric

    Hapo kuna sababu 2 za msingi mikono yako ni milaini sana imeathiliwa na lotion Kali unazotumia kujipodoa, au mikono yako ni migumu sana imeathiliwa na kazi ngumu unazofanya
  17. K

    Jitegemee vs Makongo back 2000

    Jiteute!! Pale kulikuwa na mkisi, arando, pengo, kumaliga, ndyamkama, Bruno, tall, madam Leticia afande wa kike alienyongorota, afande chale, mtoka mbali, Mr kwembe, Mr fusi, babu shimba yaani ulikuwa ukiingia kwenye 18 hawakuachi lazima uumie
Back
Top Bottom