Search results

  1. castieltsar

    Dkt. Kigwangalla: Mo Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri, nimeamua kumpuuza!

    Hahahaha wapumbavu wanaongeleaga watu na kufikiria watu ....inahitaji hekima na uwezo mkubwa wa akili ya maana kukuza mali ....wote tunajua upumbavu wa wanasiasa hasa hasa wakwetu
  2. castieltsar

    Wamiliki wa Mabasi na mafuso hutoa wapi hela?

    nikufahamishe tu unaowaona wanaaagiza mabus mengi wako in business for 7+ years wako na reputation kwanzia ndani ya nchi mpaka nje ya nchi kwenye kampuni za mabus wako na njia zao nyingi za kupata mitaji either ya pesa au mabasi yenyewe ......kuna kupata mikopo(pesa au mabus yenyewe) through...
  3. castieltsar

    Hivi Wasichana wa Arusha wengi hawajitambui au ni ulimbukeni?

    uache mambo ya kishoga....kama mtu hafai kwenye circle yako endelea na maisha yako ila isifikie hatua ya kupangia watu maisha....everybody has choices.....
  4. castieltsar

    Chama, mchezaji wa game ndogo anapowafunika Lilepo na Shelulile

    "chama was born for simba "quoted unknown
  5. castieltsar

    Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

    Wanajisahaulisha tukio la neema mushi wa kimara kumchoma visu then moto umo ndani ....ukiingia 18 za mtu hutabaki salama
  6. castieltsar

    Dr. Hamisi Kigwangalla aibua upya mjadala wa uwekezaji wa Mo Dewji. Ni wapi Anakosea?

    Kigwangala na mo wanatuchezea mind game tu kutuondoa tusiongelee wachezaji vibaya wakapoteza morali tukaeni tufikirie
  7. castieltsar

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jana ulituma account ya twitter nikaend cheki mkeka ulikuwa wa odd 1000 nikashuka. Kwenye replies nikakuta watu wameedit wana utuma upya kuna mmoja ulikuwa na odd 64 ivi nikauchukua kama ilivyo nikaweka kuamka leo ni timu moja tu imezingua ....wanaigeria ni wapambanaji kila sehemu tukatae...
  8. castieltsar

    Harmonize una cha kujifunza, kutoka kwa Mwijaku na H-Baba

    Maana ya machawa ni kupush agenda zao sioni shida wakiwa wanahama kwaa ajili ya maslahi
  9. castieltsar

    Baada ya dreva taxi ( Mangi) kumtapeli mzee Sekeni Sanga Wakinga walijiapiza lazima wawe Matajiri kuliko Wachagga

    Hawa wachuuzi wajuzi wakinga wanapambana ila kwa wachaga bado sana ....tutajieni big fish wakikinga maana hata siwafahamu
  10. castieltsar

    Msione mtu anamn'gang'ania mtu kuna vitu havielezeki

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yupo hai apo ndo kimbembe japokuwa anamke ila kama akija mkoani mipango yake nikupasha kiporo apo ndo mtiti
  11. castieltsar

    Simba tuendelee kuwaombea Njaa Etoile du sahel wako nafasi ya tatu ligi yao

    Bado simba na yanga zingetawala tu
  12. castieltsar

    Inasemakana mashoga ndio chimbuko la ugonjwa wa monkey pox

    Duuuuu watu 80000 sio mchezo wenzetu wamezidi
  13. castieltsar

    Inasemakana mashoga ndio chimbuko la ugonjwa wa monkey pox

    Kitambo sana uku sababu tunaficha hatuwezi jua ukubwa wa tatizo ndo maana kila siku tuna sikia watoto wanafanyiwa udhalilishaji wa kingono
  14. castieltsar

    Kuna watu wanatembea na mizigo mizito kichwani ukipata nafasi wasikilize

    Haya mambo tokea kitambo sana yalitokea dunia ina mambo yake paliko na wengi pana mengi
  15. castieltsar

    Je, benki unaweza kufungua akaunti ya kuweka madini?

    Bank wanafanya hivyo hata bot wanafanya hivyo .....hizi bank hata mkataba ,wosia unaweza kwenda uweka kule ila haiji bure
  16. castieltsar

    TANZIA Mmiliki wa baa maarufu Magomeni, Hussein Macheni ameaga dunia ghafla nyumbani kwake

    Kwani kufungua baa ndo nini .....mbona makanisa na misikiti wanapokea pesa za michango na sadaka kutoka kwa hao. Watu na sio hao tu ....moyo wa mtu unabaki na jinsi alivyo mkumbuka muumba wake usijikute mtu wa kuhukumu saanaa......
  17. castieltsar

    Msione mtu anamn'gang'ania mtu kuna vitu havielezeki

    Daaaah mimi ni huyu mnyamwezi (hakunaga mnyamwezi alieniachaga salama) single mother shombe shombe dahhhh yaaan kanizidi miaka mitatu na ni mtoto wa mjini haswa ila ukorofi wake ninavyoadisiwaga akifika kwangu anavyotulia kama uji wa juzi penzi analonipa (tunalopeana ) duuuuuh japokuwa nia yangu...
  18. castieltsar

    Gambo kumshutumu Katibu Mkuu UVCCM haijakaa sawa

    Subirini siku Lema aje kwa wale machaliii ndio mtajua amsha lake Lema kinachombeba ni muhuni ...mark my words
Back
Top Bottom