Search results

  1. chinchilla coat

    Serikali: Julai 30 mwisho wa Uingizaji wa vifaranga vya Kuku nchini

    Nimeaema unashangaa nini wakati hiyo sio jipya? Na ni kweli ina nafuu kuliko ya jiwe maana serikali imetoa notisi na watu wanaweza kujadili na serikali ikasitisha ama isipositisha angalau mtu hautachomewa vifaranga vyako ukiwa hujui lolote
  2. chinchilla coat

    Rais wa nchi mojawapo ya Afrika mashariki anakopa sana

    Serikali ipi ilikuwa ya kushangiliwa?
  3. chinchilla coat

    Rais wa nchi mojawapo ya Afrika mashariki anakopa sana

    Hata hivyo wanaolalamika ni wafuasi wa jiwe aka wanyonge
  4. chinchilla coat

    Rais wa nchi mojawapo ya Afrika mashariki anakopa sana

    Sirro? Kumuondoa Sirro kuna shida gani ? Maana Mabeyo alistaafu
  5. chinchilla coat

    Serikali: Julai 30 mwisho wa Uingizaji wa vifaranga vya Kuku nchini

    Hadi uzalishaji wa vifaranga wajasiriamali wa ndani wanahitaji kulindwa? Hivi kuna ntu mtu ataagiza vifaranga nje ambavyo ni gharama zaidi kama kuna wazalishaji wazuri wanawe kutosheleza soko? Mbona tunakuwa tunadeka sana? Hadi kuzalisha vifaranga tulindwe?????
  6. chinchilla coat

    Serikali: Julai 30 mwisho wa Uingizaji wa vifaranga vya Kuku nchini

    Unashangaa hili wakati kipindi cha jiwe, vifaranga vilikuwa vikikamatwa na kutiwa moto? Tena kulikuwa hakuna hata hiyo notisi ya siku 30, ni ghafla tu
  7. chinchilla coat

    Jumbe makini kumi na moja(11) za mkumbushe mwanao ninazo zikubali

    Ndugu nao hugeuka vilevile na kuna muda rafiki anaweza kuwa loyal kwako kuliko hata ndugu....i have been through it
  8. chinchilla coat

    Kilimo kiko hatarini, Vijana wamekimbilia mjini kuwa Wamachinga na Madereva bodaboda, Wazee ndio wanaozalisha

    Kilimanjaro hakuna fursa , kule kilimo ni cha kahawa na ndizi ambazo zote zimeshuka sana bei
  9. chinchilla coat

    Kilimo kiko hatarini, Vijana wamekimbilia mjini kuwa Wamachinga na Madereva bodaboda, Wazee ndio wanaozalisha

    Waishi tu mjini ila wasilaumu serikali eti kwa nini isizuie wakulima kuuza mazao yao nje ya nchi ili wanunue kwa bei rahisi
  10. chinchilla coat

    Kwa kauli hii ya IGP Wambura, Lissu na wengine nawashauri futa wazo la kurudi nchini

    Unazingua mkuu... mbona kaongea tu kawaida hapo? Na kuua viongozi wa upinzani mpaka rais aamue, polisi hawawezi kujiamulia jambo kubwa kama hilo bila go ahead ya Rais Au unadhani Sirro ndio alijiamulia mwenyewe shambulio kubwa kama lile la Lissu!!?
  11. chinchilla coat

    Jumuiya ya Afrika Mashariki bila uongozi wa mzungu itakuwa ni genge la maigizo yasiyo na tija

    wameongeza Sudan, Congo, Burundi, Rwanda wakati ya awali ilikuwa haijawa integrated vizuri Bado wanataka kuiongeza na Somalia... Jumuiya za maana kama EU hawaongezi wanachama hovyo hovyo tu
  12. chinchilla coat

    Serikali kuzuia mazao kuuzwa nje kutadumaza kilimo na kuvuruga uchumi

    Tuunze nje tukuze mitaji ya kufanya umwagiliaji
  13. chinchilla coat

    Kenya yahofiwa kukumbwa na yaliyoitokea Sri Lanka

    Nimeona hii habari kwenye ukurasa wa chombo kimoja cha habari huko Kenya. Kuwa wachambuzi wa masuala ya uchumi na siasa wanahofia Kenya inaweza kukumbwa na kilichoitokea Sri Lanka sababu hali ya nchi hiyo inaelezwa kufanana na ile ya Sri Lanka. Sri Lanka ni nchi iliyoelemewa na madeni na...
  14. chinchilla coat

    Serikali kuzuia mazao kuuzwa nje kutadumaza kilimo na kuvuruga uchumi

    Njia ya kushusha bei ya vyakula ni kuongeza uzalishaji basi, na hii inamaanisha watu wengi zaidi walime
  15. chinchilla coat

    Je, Adam aliumbwa akiwa na maumbile ya kiume?

    Sasa mbona wanadai kosa lake (kula tunda) ni kufanya ngono na Eva?
Back
Top Bottom