Search results

  1. Mwanaitelejensi

    Sophia Simba anaogopa mahakama??

    Jamani mbona mnasema vibaya mama yangu? alikuwa amekunywa supu anayokunywa Makmba, Chiligati na Wassira hakujua kama aliongea hivyo na wala hakusema kuwa Chadema inapewa misaada kutoka Magharibi bali alikuwa anasema Chadema inataka kufunga milango kwa Mafisadi ili wasiiifaidi nchi amefanya kosa...
  2. Mwanaitelejensi

    Jk, el, ra, wapelekeni chadema mahakamani

    Kwani hawajitaki wee unafikiri mwizi anajipeleka mwenye Polisi? Wakanushe wakati wanajua ukweli na hawawezi kukanusha kwa kuwa wanajua Dr.Slaa ana ushahidi tosha wa kuwakandamiza
  3. Mwanaitelejensi

    Wassira on ITV (kipindi maalum)

    Nasikia hata Masudi na remmy walikuwa na sura za ki-babeface:lol:
  4. Mwanaitelejensi

    Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

    Ulimwengu una mambo kua muyaone
  5. Mwanaitelejensi

    Wassira on ITV (kipindi maalum)

    Amechanganyikiwa huyo wa muitie Bajaji au Pikipiki wamuwahishe Muhimbili kabla hajavua nguo inavyoonekana hata akilala anaiota Chadema inaingia Ikulu, amepungukiwa akili Wasira msaada wa Bajaji unahitajika ITV
  6. Mwanaitelejensi

    Katiba mpya ihusishe na kunyonga au kufunga maisha mafisadi

    Wana-JF Naomba kutoa mawazo yangu kuhusu Katiba Mpya kama ikitungwa basi kisisahaulike kifungu kitakacho komesha RUSHWA a.ka Ufisadi. Na kianze mara moja kutumika na Mafisadi wote kama wakina Chenge, Lowassa, Rostam Aziz, Kikwete, Mkapa, Karamagi na Mafisadi wengine wote walihusika kutuingiza...
  7. Mwanaitelejensi

    Tanzania ipelekwe mirembe kwa nguvu!...ni mwendawazimu anayekataa kusaidiwa.

    Mi naona ni Viongozi wa Chama cha Mafisadi ndio wanatakiwa kuombewa na kupelekwa Mirembe wao ndio wanaotusababishia Matatizo yote tunayojitakia Kikwete ndio anatakiwa kuongoza huo Msafara wa Mirembe akifuatiwa na Makamba, Chiligai, Wasira, Pinda, Lowassa, Anna au Anne, Anye Makimba, Chenge no no...
  8. Mwanaitelejensi

    Tanzania isitishe kupokea misaada toka Japan; Tuwapatie msaada katika saa yao ya giza!

    Serikali yenyewe ya Tanzania inayoongozwa na Mafisadi? Mafisadi wameiba pesa mpaka hazina haina pesa bado wanataka kuiba nyingine halafu Mwanakijiji unasema fisadi Mkwere alifikirie hilo swala la kurudisha misaada wakati wameshaiingiza kwenye maketi yao ya Ufisadi. Kama angekuwapo Rais ndio...
  9. Mwanaitelejensi

    ccm wako kwenye dawa za usingizi

    CCM ndio Nani? au unazungumzia chama cha Majambazi wa Lumbumba?
  10. Mwanaitelejensi

    Gotham city

    Huyu mama ni jeuri kama Mkwere akiwa anaomba kura anayeyekea kama anataHI*^*()(*(*)*):embarassed2:
  11. Mwanaitelejensi

    Lembeli - Ondoeni Mafisadi CCM

    Sio kukosa majimbo kimeshakufa ccm chama kipo njiani kuzikwa, kimebakia jina:lol:
  12. Mwanaitelejensi

    CCM wanahaha kwa kuwa wanajua CDM haifi; Inakua

    Chadema inakuwa na ccm inakufa zinapishana:lol:
  13. Mwanaitelejensi

    Rais Kikwete,tafadhali chagua moja

    Mimi sina hata lakusema kwa jinsi nilivyo na hasira na hiyo Serikali ya Mkwere, Vijana wote hatuna kazi, nchi imejaa utajiri lakini nafasi wamepewa wageni mzawa ukifungua kabiashara TRA hao wametia timu kuja kuua mtaji wako. Mimi wala sijui hii serikali ya Mkwere inataka tuishi vipi. Kila...
  14. Mwanaitelejensi

    Tanzanian mining group opposes U.S. disclosure law; Minister terms the law unfair

    Mi naona bora wasinunue kabisa dhahabu zenyewe hatuna faida nazo, wanaofaidika wengine
  15. Mwanaitelejensi

    Serikali: CHADEMA inapewa pesa kutoka nje kuleta machafuko Tanzania

    :embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2:
  16. Mwanaitelejensi

    Serikali: CHADEMA inapewa pesa kutoka nje kuleta machafuko Tanzania

    Tumeshawazowea ccm, Walisema CUF ilikuwa inafadhiliwa na Waarabu sasa wameungana na CUF ccm wapo kimya. Leo wanasema Chadema inafadhiliwa na West. Kama wana ushahidi watumwagie sio kutema pumba. CCM imekuwa ikipewa misaada mingi sana kwa kupitia Serikali lakini hakuna hata chama 1 kilicho...
  17. Mwanaitelejensi

    Ukweli kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar - 1964

    Unataka kusema kuwa Mapinduzi ya Zanzibar aliyafanya Nyerere au Wanzanzibari? hebu toweni ujinga wenu huko. Nyerere has got nothing to do with this. Na hakuna hata Mtanganyika 1 aliyewahi kufanya Mapinduzi huko ZNZ. Hizo zote ni chuki zenu kwa Watnganyika
  18. Mwanaitelejensi

    Wz'bar waloko Tanganyika ni wafanya Biashara/Watanganyika walojaa Z'bar shughuli zao nini?

    Halafu wewe Kijana kila siku lazima uweke uozo wako hapa kuhusu Muungano, kama umechukizwa na muungano andamaneni au uvunjeni sio kuja kupandikiza chuki zako binafsi hapa JF. Nimekufuatilia kwa makini kila unapotoa trend zako hapa unalalamika kuhusu Muungano. Huu Muungano hauna faida na sisi...
  19. Mwanaitelejensi

    TUICO - TANESCO wawasha upya moto wa dowans

    Kazi imeanza:smash:
  20. Mwanaitelejensi

    Tatizo kubwa-1: Cdm = ccm; let me be open...chadema katika hili mmeangushwa and you will die

    Nikiwa na habari za Ki-Intelejensia na za uhakika kuwa Vijitoto vya Mafisadi vimeambiwa kuwa vielekeze nguvu zao kwenye mitandao ili kukisafisha chama chao na huku Mifisadi mikubwa ikitumia Magazeti na TV's Kujisafisha wakati hawasafishiki. Kwa hiyo Wana-JF mvumilie kipindi hichi cha Mafisadi...
Back
Top Bottom