Search results

  1. K

    WAPI WANAJIFUNZA KARATE HASA GOJU RYU ARUSHA MJINI

    Mambo vipi wadau, mi npo mitaa ya sombetini napenda kujua hapa mjini arusha ni wapi wanacheza karate hasa goju ryu? Mwenye kujua anipe msaada please
  2. K

    Nahitaji msaada wa haraka toka kwenu wadau

    Naamin mmeamka salama kabisa. Naombeni kufahamu zaid kuhusu QUALITY ASSURANCE
  3. K

    Msaada kuhusu mshahara kwenye interview

    Naomba kuuliza jamani kwa mwenye majibu au uelewa wowote ule ili walau iwe msaada hata kwa wengine wasiojua. Unapoulizwa katika interview kiwango cha mshahara unaotaka kulipia ukitaja wanakuuliza kuwa ni basic au gross? Hapo wanakuwa Wanamaanisha nini? Na je kwa mtu anayeanza kuingia kwenye...
  4. K

    ANATAFUTA KAZI YA KUUZA DUKA LA DAWA DAR

    Mko poa wadau wa humu,napenda kuwapa pole na majukumu pamoja na mihangaiko ya hapa na pale.... Naombeni kama kuna mtu anahitaji mtu wa kumuuzia duka la dawa za binadamu sehemu yoyote pale hapa Dar tuwasiliane..kuna ndugu yangu anatafuta kazi hiyo ye kasoma nursing na pia ana cheti cha ADDO, ana...
  5. K

Back
Top Bottom