kulwa sholoma
Member
- Mar 21, 2016
- 34
- 79
Mko poa wadau wa humu,napenda kuwapa pole na majukumu pamoja na mihangaiko ya hapa na pale....
Naombeni kama kuna mtu anahitaji mtu wa kumuuzia duka la dawa za binadamu sehemu yoyote pale hapa Dar tuwasiliane..kuna ndugu yangu anatafuta kazi hiyo ye kasoma nursing na pia ana cheti cha ADDO, ana uzoefu wa kazi na pia ni mdada mwenye umri wa miaka 23...kwa mtu mwenye uhitaji au kama una ndugu yako mwenye uhitaji tuwasiliane kupitia 0685415859.....
Natanguliza shukrani kwenu na nina imani kuwa mtalifanyia kazi ombi hili ili kijana mwenzetu apate kazi...Mungu awabariki sana