Search results

  1. M

    Vyuo vya Wildlife Management Online Courses Tanzania

    achana na hiyo kozi, WILDLIFE MANAGEMENT ndio kitu gan...jina tu la kozi tu limekosewa ingetakiwa kuwa Ecological Resource Management
  2. M

    Wanaotaka kuanza kusoma CPA, karibuni tushauriane

    CPA imejarahisishwa sana
  3. M

    Nichukue kozi gani kati ya hizi kwa level ya Masters?

    parasitology, the study of animal and plant parasitism as a biological phenomenon. Parasites occur in virtually all major animal groups and in many plant groups, with hosts as varied as the parasites themselves. Pale SUA huwezi kupewa nafasi to lecture Parasitology kama hujala BVM
  4. M

    Nichukue kozi gani kati ya hizi kwa level ya Masters?

    hujapiga veterinary medicine na bado unataka masters ya parasitology ikupe nafasi ya kulecture kweli? jitafute kwanza upate uelekeo.....to be honest kufanya masters kabla hujapata ajira aukafanya kazi iwe private au serikalin huwezi jua hasa unachokisomea kinakupeleka wapi kama unaham ya...
  5. M

    Kitendo cha Walimu wengi Kuomba Kazi kuboresha Daftari la mpiga kura Basi ni kielelezo tosha Maslahi ya Walimu ni Duni...

    Kwan walimu wana mishahara midogo kuliko wengine? Mfano Degree mwalim na mhasibu nani mwenye mshahara mkubwa?
  6. M

    Wafanyakazi serikalini vaeni mpendeze kama sekta binafsi

    Wewe ni mjinga tena sana , Agha khan ni ile ya UPANGA isiyopokea BIMA za NHIF za kawaida,kauzile hao manesi wa center za Aghakhan mfano Aghakhan Kimara wanalipwaje, Pili kuna aghakhan ngapi, Uliza HINDU mandali au shree hindu Arusha wanalipwa sh ngapi Ukinitajia Aghakhan upanga mshahara wa nesi...
  7. M

    Vijana kufanya kazi ya saidia Fundi mwisho mwaka mmoja tu zaidi ya hapo unatakiwa uwe fundi au uachane nayo

    mdogo wangu amekuwa saidia fundi kwenye electronics kwa miaka miwili na sasa ana ajira nyeti kwenye kampuni tamu na mshahara upo juu.......haijalishi muda gani mtu takuwa chini ya mtu fulani muhimu ni apate skills zinazohitajika Personally nilikuwa saidia fundi (kujitolea kwenye kampuni ya...
  8. M

    Wafanyakazi serikalini vaeni mpendeze kama sekta binafsi

    kaulize huyo nesi kwa wahindi analipwa sh ngapi kama sio 200,000
  9. M

    Wafanyakazi serikalini vaeni mpendeze kama sekta binafsi

    Hapa kuna watu wana tabia ya kudharau kila kitu cha serikali ila wanakesha wakimwomba MUNGU wapate kazi serikalini
  10. M

    TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

    wavivu kusoma tujuzeni....kwa hiyo wanae wooote walikufa....au ni wale wa kiume tu? wa kike wapo na ni wangapi? Maumivu aliyoyapata yanazidi hata mali alizokwapua
  11. M

    Biashara ya Forex kwa Kiswahili Free course 2024

    jamaa ana tengeneza mabilioni kwa sekunde ila ana muda wa kubishna JF wiki nzima
  12. M

    Mungu anafanya kazi kwa wanaojitoa kwa ajili ya wengine na kwa wanaomshukuru

    Ni kweli ila utakuta kwenye uzao wao hata mababu kuna mmoja alitenda hayo mbele za MUNGU hivyo wajukuu mnatembea na baraka za babu
  13. M

    Kama umetafuta kazi bila mafanikio kwa muda mrefu ukakosa, ukioa utapata kazi ndani ya mwezi mmoja

    endelea kuamini mafanikio ni akili ya mtu....pale kwenye mawaziri ni yupi mwenye akili kiasi hicho? Mameneja na supervisors au wakuu wa idara unawaona ni watu wenye akili.....mafanikio ni roho hivyo bahati ni sehemu ya hiyo roho. Leo upewe wewe uwaziri tuone utakaa miezi mingapi bila...
  14. M

    Kama umetafuta kazi bila mafanikio kwa muda mrefu ukakosa, ukioa utapata kazi ndani ya mwezi mmoja

    Wakati naolewa mume wangu hakuwa na kazi na alikuwa amesota sana....miezi saba baadae akapata kazi .....yule angekuwa na kazi mwanzoni asingenioa....bahati yake niliishikilia mimi
  15. M

    Musukuma: Tuanze na V8 za Mawaziri kuweka mfumo wa gesi ili kubana matumizi

    hapo ndipo shida ilipo unakaa foleni masaa matatu
  16. M

    Mpina ampongeza Rais Samia kwa kumuondoa January Makamba TANESCO, alihusika na ufisadi wa kutisha

    Magufuli ni mfuu na tunafuraha sana....i Angalabu nimefurahia kifo cha Dikteta
  17. M

    Mpina ampongeza Rais Samia kwa kumuondoa January Makamba TANESCO, alihusika na ufisadi wa kutisha

    Magufuli ni mfuu na tunafuraha sana....itoshe kusema hivyo
  18. M

    Picha: athari ya mvua Huko mtaani kwako Hali ipoje?

    Niko kwa MANING NICE ndio kwanza tumeipita RUFIJI hakika MAGUFULI alikuwa laana juu ya nchii....kuna maji mpaka unahisi kuwaona mamba kwa uoga
Back
Top Bottom