Mambo ya Africa yanaumiza sana kichwa. Kwa nini asiongeze idadi ya watendaji kama anataka kazi zifanyike. Mawaziri zaidi ya kuwa wasemaji au political figure wana kazi gani zingine
Nchi yetu ni shamba la bibi.
Tunahitaji mabadiliko makubwa kwenye sekta ya madini. Najiuliza kwa nini hatukujifunza kwa kuangalia mikataba ya madini kwenye nchi nyingine kama Ghana, South Africa nk. Au sisi ndo wa kwanza kuingia mikataba ya uchimbaji madini hapa duniani?
Ha ha ha, Kwa hiyo inabidi jamaa asubirie maeneo ya kisimani au mtoni na kesho yake. Maana hakuna mawasiliano ya haraka na ya uhakika. Inabidi uwe unajua ratiba ya kuchota maji.
Watanzania wengi mishahara yetu ni chini ya 300,000. hiyo laki 5 ni kubwa sana.
Mtu wa hali ya chini anatumia wastani wa sh 1000 kwenye simu kwa siku. Hapo ataweka sh 500 kwenye line 2 tofauti kwa matumizi tofauti kama internet nk
Matumizi haya ni ya kawaida kwa ajili ya ku beep, sms nk...
Kujenga juu ya beacon au kufungia beacon ndani ya fensi yako ni tatizo linalohusiana na open space. Ila hii ni open space ndogo kwa ajili ya watu kupita
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.