Search results

  1. Paka_Shume

    TANZIA: Wakili maarufu Nyaga Mawalla afariki dunia

    Nimeweza Kuongea na ndugu wa karibu na ame confirm kwamba jamaa alifariki jana Nairobi Hospital ambapo alikuwa amelazwa kwa almost two weeks. Alikuwa ameenda Nairobi kwa sababu dawa zake alizokuwa anatumia zilikuwa hazifanyi kazi, kwa hiyo madaktari wakawa wamebadilisha dawa zake. Alipokuwa...
  2. Paka_Shume

    Mhe. Nimrod Mkono asaini kumwondoa waziri Mkuu!

    Ingawa Mkono si msafi, nampongeza kwa kuweka politics on the side na kuweka maslahi ya taifa mbele. Naon amesoma alama za nyakati. On my opinion naona hili swala lina mkono wa JK, kwani ameona hakubaliki na sasa akaona ni bora akimaliza kipindi chake amalize na CCM yake(meaning iondoke...
  3. Paka_Shume

    Bashe alivyoukwaa uenyekiti wa UVCCM kwa njia za panya

    Sijui swala la urahia wa Hussein Bashe, lakini nilichotaka kusema kwamba I did get an opportunity ya kukaa na Bashe pamoja na Benno kwenye kikao. Huyu kijana Bashe ni balaa, hapo kichwani yuko vizuri sana. Kutokana na maongezi yaliyokuwa yanaendelea, mtu yeyote angechuja jinsi Benno kuwa...
  4. Paka_Shume

    Lawyer Mwale ashikiliwa na polisi Arusha kwa wizi wa mabilioni serikalini

    Huyu Hakimu Mwale juzi juzi alikuwa involve kwenye maswala ya mgogoro wa kanisala la Kianglikani Arusha, ambapo alikuwa akitetea kutosimikwa askofu mpya kwa sababu za kugushi cheti cha kumaliza form 4. Alionekana kama mtetezi wa waumini na kupinga maovu na ufisadi wa kidini. Kumbe na yeye ni...
  5. Paka_Shume

    Umeme wakatika tena sehemu kubwa ya nchi?

    Kwanza ata ingekuwa kweli hizo sio breaking news maana tumeshazoea, those are just daily news.
  6. Paka_Shume

    Lets make Rostum Aziz the next President of Tanzania!

    If JK can be able to run 42 million mouths, what else can go wrong? He has been an incompetent leader period. Kujichekesha hata kwenye majanga ya taifa. At least a business person can see we get money worth out of our mining sector.
  7. Paka_Shume

    Niliahidi kuja Tz...mh! nilioyaona!

    Kazi kweli kweli......LMAO!
  8. Paka_Shume

    UVCCM: Hussein Bashe amjibu Nape kiaina

    Nani kakwambia Bashe ni msomali, mama yake ni mnyamwezi. Na Bashe kazaliwa Tabora. Acha ubaguzi ndugu.
  9. Paka_Shume

    UVCCM: Hussein Bashe amjibu Nape kiaina

    Kaka Bashe chukua tano, mambo uliyoyasema ni kweli kabisa. Tunahitaji vijana wenye miongozo kam ya kwako. Walitaka kuku maliza lakini haita wezekana.
  10. Paka_Shume

    Tabora: Dk Slaa ataja orodha mpya ya mafisadi!

    Jamani list bado haijaanza kutoka? Tupeni habari mlioko jikoni, sasa huku twahamu.
  11. Paka_Shume

    Kikwete chonde chonde.....waziri wa fedha....

    Kuna habari zinasema Membe kupewa Wizara wa Fedha na nafasi yake kuchukuliwa na Mbunge wa Bumbuli January Makamba. Pia Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu wa zamani Mh Edward Lowassa kurudi katika baraza jipya na kushika Wizara Ya serikali za mitaa.
  12. Paka_Shume

    Felix Mrema, Edward Lowassa na Rostam Aziz wamsupport Andrew Chenge Kupitia Bank M

    Yaleyale yakufunga paka kengele...Cheyo ndio aliyemshauri Mkapa kuundwa kwa TAKUKURU wakati akiwa Waziri wa Sheria. Na Mkapa akampa get go, kwa hiyo watu wote waliko huko ni yeye ndio aliwaingiza, kwa hiyo ni vigumu kumshutumu na skendeli zote. It is sad lakini ndio ukweli..
  13. Paka_Shume

    Hivi kuna watu bado wanatembelea blog ya Michuzi?

    Blog ya Michuzi ilikuwa imepata muda mzuri wa kushine wakati huu wa kipindi cha uchaguzi. He has been so biased to the ruling party CCM bila kuficha. Kama mwandishi he has to be fair kwa both parties na kutoa report na meendeleo ya vyama bila kuwa na upande wowote. Kama kaamua yeye ni mpenzi wa...
  14. Paka_Shume

    Kuanguka kwa CCM - Unabii Utatimia!

    Unabii wako Mkjj umetimia. Umenikumbusha sana barua aliyoandika Martin Luther King kwa wafuasi wake, akiwa jela huko Burmingham Alabama. Aliwatia moyo kuendeleza mapambano na kutabiri mengi ambayo tumeyaona yakitokea nchini Marekani kwenye harakati za civil rights mpaka sasa Obama anashika nchi...
  15. Paka_Shume

    Lawrence Masha - Mfano wa Ulevi wa Madaraka. Ajitangaza mshindi Nyamagana!

    hapo halipo leo akiiona hii video anabwabwaja machozi. Its a classic and a lesson to all CCM leaders who thought they will rule us to the end of time. "Its a new day, its a beautiful day".
  16. Paka_Shume

    January Makamba threatens Lisa Rockeffeller

    I knew it was him once he started arguing with Lisa about the dates JK was in the US, Duu ngoja nichukue popcorn....patamu hapa.
  17. Paka_Shume

    Elections 2010 PICHA: Kampeni ya mwisho ya Dr. Slaa jijini Mbeya

    " A pictures speaks a thousand words" Mungu ibariki Tanzania.
  18. Paka_Shume

    Kukemea ufisadi kwamponza Sumaye

    CCM wanajua kwamba wako kwa ajili yao binafsi na ndio maana wanajaribu kila njia kustick pamoja, maana as individual hawawezi kusimama. Ndugu Sumaye tuko na wewe, wamejuaje unawasema kama sio kwamba ni wanafanya maovu uliyayataja? Nakushukuru kwa ujasiri wako kutamka na kukemea maovu, kwani...
  19. Paka_Shume

    Nikikutana na Kikwete

    Du jamaa lazima aliona Kiza mbele, cha kunishangaza zaidi madaktari wake walimruhusu kurudi kukwaani. whenever their is concution or loss of consious, it take a while kupata fahamu zako zote. wengine inawaaffect siku nzima. Sasa yeye kurudi jukwaani na kuanza kuongea, wataalamu watakwambia...
Back
Top Bottom