Search results

  1. M

    Mie nilidhani Mbowe tu ndio halipi kodi, kumbe hata Manji

    Nimeshtushwa na taarifa kuwa mfanyabiashara mkubwa na Diwani wa Mbagala CCM na Mwenyekiti wa Klabu bingwa ya soka Tanzania na mmliki wa Quality Group Mh. Yusuf Manji nae halipi kodi. Tunakuomba Diwani Manji hebu lipa hiyo Trilioni 1 unayodaiwa ili nchi ipige hatua kimaendeleo...
  2. M

    Mizengo Kayanza Peter Pinda ni Waziri Mkuu mstaafu wa mfano

    Wa mfano wa kukubali matokeo ya uteuzi wa uraisi kirahisi
  3. M

    Chama cha Mapinduzi(CCM) wamtoa machozi Eric Shigongo, wamwambia kunywa maji

    Watanzania wanaongoza Kwa unafiki aisee
  4. M

    Wakili Albert Msando wa ACT kuwatetea akina Lipumba

    Lipumba nae atangaze kuhamia ccm
  5. M

    Tukumbushane dawa za zamani, naanza na chloroquine

    Kuna Dawa ilikuwa inaitwa MB
  6. M

    Naomba kuwajua viongozi wa mbio za mwenge tangu 1961

    Nenda ccm Lumumba Ole sendeka anayo orodha
  7. M

    Kuzuia mikutano kunawanufaisha wapinzani kuliko CCM

    Mkuu hoja yako INA mantiki hata Mwenyekiti wao mstaafu alitamka kuwa ccm inapaswa kufanya mikutano ili kuwarudisha wanachama wake waliohamia upinzani
  8. M

    Tujikumbushe mojawapo ya kazi za Eric Shigongo alizowahi kuifanyia CCM

    Shigongo masikini kwanini wewe Na mtikila mlimsingizia kamanda Lowassa? Dhambi ya uongo inakutafuna
  9. M

    Godbless Lema: Shujaa wa "maono" ameponzwa na utoto?

    Sema mchana usiku utalala
  10. M

    Lema, Mbunge anayekitia chama hasara

    Labda ccm ndio inapata hasara
  11. M

    Ole Sendeka: Kama kweli Shigongo anaidai CCM afike ofisini, sio kulalamika mitandaoni

    Afike Mara ngapi? Mbona madai yake yako kwenye majalada hapo ofisini
  12. M

    NAUMWA NA KICHWA CHA PEMBENI NA KISOGONI NAOMBA USHAURI

    Ndugu zangu naomba ushauri wa matibabu .Nilikuwa naumwa Typhoid nikatumia vidonge 84 Kwa wiki 2.Wakati naendelea Na matibabu nilianza kusikia maumivu ya kichwa upande wa kushoto Na kulia Na nyuma ya kichwa.Ninaomba msaada wenu kwani nimemeza Dawa za maumivu sijapata nafuu
  13. M

    CHADEMA hawana chao utawala wa Rais Magufuli

    Mtasema yote chadema IPO mbona unaizuia kufanya mikutano iruhusu ndio ujue IPO au haipo
  14. M

    Makonda awafunika viongozi na wabunge wote wa Dar

    Afadhali ahangaike dar iliharibiwa Na CCM open space zote wamejenga ofisi za ccm
Back
Top Bottom