Search results

  1. D

    Naibu Spika wa bunge la 11 na UKAWA

    Awali ya yote ningependa kutoa pongezi zangu za dhati kwa Mh Dr Tulia Ackson Mwansasu Naibu Spika wa Bunge la Tanzania kwa namna anavyo ongoza bunge letu hili la 11. Baada ya uteuzi wake watanzania walio wengi walikuwa na hofu juu ya utendaji wake katika bunge hili ambalo 60% ni vijana,ni bunge...
  2. D

    Msimamo wa UPDP juu ya utendaji wa Rais Magufuli

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI HONGERA RAIS MAGUFULI KWA MSIMAMO WAKO JUU YA MSAADA WA MCC Ndugu wana habari,Awali ya yote ningependa kuwashukuru kwa muitikio wenu wa kuja kusikiliza msimamo wa chama chetu kuhusu kile kinacho itwa msaada wa MCC. Mmekuwa mkifanya hivyo kwa muda wote pale mnapo...
  3. D

    Msimamo wa UPDP juu ya utendaji wa Rais Magufuli

    MSIMAMO WA UPDP JUU YA UTENDAJI WA RAIS MAGUFULI Awali ya yote ningependa kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dr John Pombe Magufuli kwa ujasiri alio uonyesha wa kupambana na ufisadi uliokuwa umekisiri katika taifa letu. Watanzania kwa ujumla wetu tuna paswa kumuunga mkono...
  4. D

    Kwanini Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa huwa anawakimbia wanahabari?

    Hivi una tegemea mbowe ana upeo gani wa kuongea na waandishi wa habari?
  5. D

    UKAWA, mbona mpo kimya wabunge wetu kupewa mafao makubwa kiasi hicho mil 230 kila mmoja?

    Hapa naona tofauti ni chama tu hawa ukawa wale ccm....tusitegemee chochote kwa hawa watu wote ni wachumia tumbo tu. Zitto mpk leo anaonekana msaliti kwa sababu ya posho hzi hzi,ambazo mbowe alizipinga awali baaadae akawandumila kuwili kwa wananchi. anaenda chukua posho.
  6. D

    UKAWA, mbona mpo kimya wabunge wetu kupewa mafao makubwa kiasi hicho mil 230 kila mmoja?

    UKAWA ni mamba aisee Lissu ,Lema ,Mnyika na vilaza wengine kama hao uwa wanakuwa wakali sana kwenye baadhi ya vitu ila hapa wapo kimyaaa kama vile hawapo. pia mkuu wao nae kimya hawa ni mamba tu....Naanza kumuunga mkono Zito kwa sasa.
  7. D

    UKAWA, mbona mpo kimya wabunge wetu kupewa mafao makubwa kiasi hicho mil 230 kila mmoja?

    Bak tumia akili mbona walivyokiwa wanapinga uchakachuaji wa katiba walionyesha wapo serious? na kwenye hili ambalo ni dhambi kubwa wapo kimya?
  8. D

    UKAWA, mbona mpo kimya wabunge wetu kupewa mafao makubwa kiasi hicho mil 230 kila mmoja?

    :banghead::mad:POSHO ZAWAUNGANISHA CCM na UKAWA Tayari bunge limeisha andaa waraka kwa ajili ya kuupeleka kwa Rais aweze kisaini ili kupitisha posho zinazo itwa kiinua mgongo zenye thamani zaidi ya Mil 230 kwa kila Mbunge. Katika hali iliyoendelea kushangaza na kupima uadirifu wa wabunge wa...
  9. D

    UKAWA, mbona mpo kimya wabunge wetu kupewa mafao makubwa kiasi hicho mil 230 kila mmoja?

    Tayari bunge limeisha andaa waraka kwa ajili ya kuupeleka kwa Rais aweze kisaini ili kupitisha posho zinazo itwa kiinua mgongo zenye thamani zaidi ya Mil 230 kwa kila Mbunge. Katika hali iliyoendelea kushangaza na kupima uadirifu wa wabunge wa ukawa ni kwenye hili baada ya kukaa kimya kabisa...
  10. D

    Pattern za smart phone

    Thanks Na Lee....maana iliomba password ya Gmail nikawa nimesahau
  11. D

    Pattern za smart phone

    Huawei 330
  12. D

    Pattern za smart phone

    Anae jua jinsi ya kurejesha smartphones pattern anisaidie kuna mtu kachezea sim yangu ika ji lock
  13. D

    Maria Sarungi, Mawazo yako daima ni lulu ya Taifa

    Maria Sarungi bip up sana....uwepo wapo ndani ya ACT wazalendo utawatia hamasa wanawake wengi kujiunga kwa wazalendo.
  14. D

    Kwanini Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa huwa anawakimbia wanahabari?

    hana cha kuongea... unahisi Mbowe ana points gani kwenye jamii yetu?
  15. D

    Tundu Lissu rudi Shule

    Ahsante mwanasheria kwa kutuletea ufafanuzi wa jambo hili... chimwechimwe
  16. D

    Kitendo alichofanyiwa Diamond hakikuwa sahihi kabisa

    Tambua asilimia kubwa ya sisi wa tz ni mazuzu. Tunarusha makopo kwa Diamond kwa wivu tu na si kingine. Uwa hatuna kawaida ya kusifia vijana wanao tutangaza kama Diamond
  17. D

    Dr. Shein kumrithi Kikwete

    Du...mimi siafiki kwa sheiin
  18. D

    Haijawahi kutokea... Zitto afunika Kasulu mjini, CCM, NCCR Matumbo moto!

    Zitto Zuberi Kabwe......umetisha sana endelea kukimbiza kama kawaida yako. Updates (A).Amini ninachokisema mkuu kwani mm sina kadi ya chama chochote, anasema yeye hatagombea ubunge na hajasema yeye ni lazima agombee urais lkn kama atapewa ridhaa yuko tayari kwani anajua anaweza na kama...
Back
Top Bottom