Search results

  1. dre4691

    Sijawahi kutumia Condom kwa zaidi ya miaka 20 nilipoanza kufanya mapenzi

    Una nyumba ngapi? Magari? Biashara ngapi? Unaingiza sh ngapi? Mdogo wangu manaume asifiwi kwa kufanya ngono sana hasa katika ulimwengu ambao ngono ni cheap. Najua mpaka sasa utakuwa ushajua faida ulizopata ni ndogo kuliko hasara
  2. dre4691

    Hongera Bill Nass na Nandy kwa kufunga ndoa

    Una miliki demu unakuja porwa na wenye cheo na uchumi Mwenye cheo na uchumi anakufa unarudishiwa makombo unaanza kufakamia makombo as if sio makombo Ama kweli wanaume tunapungua sikuhizi Ndo nini hiki kupenda kitonga au
  3. dre4691

    Sijawahi kuona nchini yenye amani na usalama kama Zambia

    Japo mi mkristo ila unachosema nu kweli Jamii za kiislamu zina ustaarabu sana kwenye biashara na mambo ya wizi wizi sio mkubwa kuliko jamii za kikristo. Huo ni ukweli kabisa
  4. dre4691

    Je, ni Speed gani kubwa zaidi ushawahi kutembea na gari au pikipiki?

    160km Nikaanza kupata mawazo ya hivi ikidondoka hapa Nikarudi 100 chapu kupunguza wenge kwanza
  5. dre4691

    Nataka kuvunja ndoa yangu na ndoa ya baba mkwe, naomba ushauri wako kabla janga halijatokea

    Koo mbili zenye laana zimekutana. Wewe umetoka huko na laana za kwenu za kutamani hadi mzazi wa mke wako Mkwe wako nae ana laana ya kutamani mume wa mwanao Kifupi nyie mnataka kuendeleza kizazi cha LAANA Na watoto wako ndo kabisaaa watakuja kumgonga mkeo sasa wewe chukulia masihara hivyo...
  6. dre4691

    Suala la Gender

    Kwamba wewe kwenu ulikuwa kazi yako kula na kulala Ulikuwa ufyeki nyasi Ulikuwa ufagii wanja Ulikuwa huendi kuchota maji Maana usigekuwa ulikuwa unalelewa kimayai wewe then unataka kuleta uzi wa kutujumuisha wote
  7. dre4691

    Mimi Mzee wa "USIOE" mapenzi yamenishinda, siyo kwa kununa huku kwa wanawake

    Hiyo kwa sisi tuliooa tunaita ‘njia ndefu’ Njia ndefu ni nini?njia ndefu ni style ya wanawake kutaka jambo/kuomba jambo bila kusema moja kwa moja hivyo wanatumia njia ambayo kimsingi ni ku catch attention yako yote kwa kuku torture kisaikolojia mpaka wewe ndo uanzishe maongezi then anasema...
  8. dre4691

    A conversation with my little cousin

    Relax It’s all about votes[emoji23][emoji23][emoji23]
  9. dre4691

    A conversation with my little cousin

    1.Hamna mwanaume wa kueleweka anayeweza kuja kusaidiwa na utajiri wa mwanamke 2.Umri unatupendelea wanaume 3.pisi kali ya o-level ukikutana nayo chuo unajisemea hivi ndo huyu niliyokuwaga na mpenda mbona hana uzuri wowote[emoji28][emoji28][emoji28].Hii ni kweli sana 4.kutesa kwa zamu
  10. dre4691

    Tetesi: Madiwani kulipwa mshahara wa Tsh 1,000,000 kwa lipi?

    Mbona million 1 ni pesa ya kawaida sana kwq cheo na majukumu ya diwani
  11. dre4691

    Ndoto zimekuwa na nafasi muhimu katika maisha ya watu. Njoo nikutafsirie ndoto yako

    Mimi naota mambo yanatotokea mbele hasa hasa hatari zinazokuja mbeleni Nilivyokuwa mdg nilikuwa naota na pambana na wanyama hasa nyoka na fisi anaingia ndani ya nyumba kupitia kwenye pembe ya nyumba then anakuja kitandani basi tunaanza kupambana mpk anakimbia Achana na wachawi ambao karibia...
  12. dre4691

    Mrejesho: Kanifukuza ndani

    Huyo anajiuZA unge bargain tu Ungemwambia nina 50k ila njoo ghetto bila pichu.. Akikataa unamwambia basi sawa Ame assume hela yako haina thamani ila mwili wake ndo una thamani?[emoji1787]
  13. dre4691

    Mpenzi wangu hataki kunielewa na yupo tayari kuachana na Mimi kisa mtumishi mwenzie

    Huyo mwanamke atakusumbua badae Na kwa ujinga wako kwakuwa umeona kufanya kazi kwake ndo kigezo cha yeye kuwa mke basi atakusumbua zaidi. Mwanaume yeyote anayetafuta mwanamke kwa kumuangalia status yake ya kimaisha basi bado hajajua nini cha kuangalia kwa mwanamke wa kuoa. Elimu na kaZi ya...
  14. dre4691

    Kipi kitatokea endapo nitamuoa mpenzi wa rafiki yangu?

    Code za kiume zinakataa Ila kwakuwa vijana wa siku hizi mna umama mwingi we muoe tu Ila akianza kumpiga mashine mkeo usimuone km snitch sababu u snitch ulianza wewe
  15. dre4691

    Naombeni msaada wenu namna nzuri ya kumkomesha huyu mwanamke!

    Dogo kuwa makini ukichimba shimo maana unaweza kuingia mwenyewe kwanza… Unakuta mwenzako ana virusi vyake nae anakusubiri kwa hamu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23]
  16. dre4691

    Naombeni msaada wenu namna nzuri ya kumkomesha huyu mwanamke!

    Una miaka mingapi? Namuomba Mungu isiwe zaidi ya 25..
  17. dre4691

    Msaada wa namna ya kumfanya mwanamke wangu amsahau EX wake

    Kwani we unaona hizo ni akili zake??? Hivi unadhani anatuelewa tunavyomwambia hao wana lao jambo?Zaidi ya kung’ang’ania kumtetea Mpenzi wake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  18. dre4691

    Msaada wa namna ya kumfanya mwanamke wangu amsahau EX wake

    Kabla sijasoma msaada ni KUMUACHA Sasa narudi kusema nijue loser umeandika nn
  19. dre4691

    Sina hamu kabisa ya kuoa na umri unazidi kwenda

    Kuja mambo mengi 1.Una trauma ambayo hutaki ku admit una historia mbaya na wanawake au mwanamke uliyezaa nae ni km hatoshi kuwa mkeo au una soma taarifa mbaya mbaya kuhusu mahusiano. 2.Una jini mahaba Mke wangu ameshawahi kuwa na jini mahaba ni balaa sana ni vile tu mimi nina nguvu ya asili...
Back
Top Bottom