Search results

  1. hambiliki mwanangu

    Nilianza kucheza karate nikiwa na miaka 4 nahitaji kutoa usugu kwenye vidole

    Pia mkumbushe ya kwamba KARATE au mchezo wa kujilinda kwa kutumia mikono mitupu hautokei CHINA.. Karate ni JAPAN, uandishi wake tu inaonekana hio ni CHAI aseee[emoji23][emoji23][emoji23]
  2. hambiliki mwanangu

    Banza Stone: Mwalimu wa walimu

    Ingekua njema sana pia wenye nyimbo za huyu mwamba wakaziweka humu... Binafsi nautafuta sana wimbo wake wa hujafa hujasifiwa
  3. hambiliki mwanangu

    Njoo tushuke mistari ya za kitambo

    Ahsante prof J Majani na Ulamaa Mmegusa nnapopataka nami kwenye mtazamo nna jambo nataka kuweka Maana kila kukicha mc’s wanaongezeka Nasema very nice yes rap kama dhehebu mc’s kama wafuasi Wingi wa wasanii inaonesha ni dini swafi Yaan imekubalika Waumini tupo wengi lakini bado nina shaka...
  4. hambiliki mwanangu

    Nani kwa Hakika alistaili ufalme wa rhymes ~2004?

    Mtazamo ndio ilianza mkuu!! Na hata ukitafuta magazeti ya kipind hiko ya Global publishers utakuta pale kwenye shindano la mfalme wa rhymes kwa afande wimbo ni mtazamo
  5. hambiliki mwanangu

    Nani kwa Hakika alistaili ufalme wa rhymes ~2004?

    Wew n legend humu ila nastaajabu unavyopotoshwa na huyo jamaa! Katika kinyang'anyiro Msindi alikua amesimama na wimbo wa mtazamo na ndio huo uliompa ufalme. Ile siku anatangazwa jukwaan kua ameshinda ufalme wa rhymes akapanda jukwaan akautambulisha wimbo mpya ambao ni darubini kali.. Na hata...
  6. hambiliki mwanangu

    Kwanini G-NAKO hajawahi kutoa HITSONG?

    Ni ya Dimpoz au ya Vanesa?
  7. hambiliki mwanangu

    Kwanini G-NAKO hajawahi kutoa HITSONG?

    Umemaliza mkuu! Hitsong haiihitaji kuitafuta kweny mitandao, ni utaijua tu taka usitake
  8. hambiliki mwanangu

    Kwanini G-NAKO hajawahi kutoa HITSONG?

    Leta hoja na sio porojo zako
  9. hambiliki mwanangu

    Kwanini G-NAKO hajawahi kutoa HITSONG?

    Sawa kulingana na matakwa yako! Ila kwa mimi bado hajanishawishi ijapokua nilikua nategemea makubwa toka kwake ila ameshindwa
  10. hambiliki mwanangu

    Kwanini G-NAKO hajawahi kutoa HITSONG?

    Hitsong wala hauitaji kuingia youtube uijue! Hitsong ni utaijua tu hata kama sio msikilizaji wa music. Ipi kati ya hizo ina sifa ya kuitwa hitsong?
  11. hambiliki mwanangu

    Kwanini G-NAKO hajawahi kutoa HITSONG?

    😂😂 sawa mkuu! Ila ni mtu ambae namkubali maan ni shabiki wake tokea akiwa ni presenter wa Dume challenge na ule wimbo alioshirikishwa na Dimpoz aliutendea haki but baada ya pale zote alizotoa za kwake hakuna hitsong!! Ukweli uzungumzwe
  12. hambiliki mwanangu

    Kwanini G-NAKO hajawahi kutoa HITSONG?

    Hizo zote hapo hakuna hitsong hata moja mkuu! Mara mia Maua Sama ana ngoma kama iokote ni hitsong, ila hizo zote hazijawah kufikia kua hitsong
  13. hambiliki mwanangu

    Kwanini G-NAKO hajawahi kutoa HITSONG?

    Ila msanii ambae namuona kama anababisha tu kwenye game la music kwa mimi nnavyoona ni Vanesa Mdee, hajawah toa hitsong hata moja
  14. hambiliki mwanangu

    Kwanini G-NAKO hajawahi kutoa HITSONG?

    Kwangu mimi kila nikisikilizaga mama yoyo akili inakwenda mbali sana hasa nikiwaga kweny hustling au hard time hua nauweka huo wimbo!! Ni wimbo ambao unaishi moyon mwangu na siuchokagi aseee
  15. hambiliki mwanangu

    Nani kwa Hakika alistaili ufalme wa rhymes ~2004?

    Wimbo uliompa ufalme wa rhymes Afande ni MTAZAMO na sio darubini ila siku anatangazwa kua mfalme ndio siku alipoitambulisha rasmi DARUBINI had akawa anaombwa na mashabiki aurudie mara kwa mara!!
  16. hambiliki mwanangu

    Magufuli aokoa maisha ya Lemutuz, ilibaki dakika 30 apoteze maisha

    Ndani ya nchi yetu ya kufikirika ya Jamhuri ya "Wadanganyika" kufa kwa stress ni kujitakia tu
  17. hambiliki mwanangu

    Bado una shaka kujua ligi gani bora Ulaya?

    Epl ni manyumbu na kiboko yao ni timu za Spain! Tuangalie fainali ya uefa hakutakua na timu hata moja toka ligue ya manyumbu
  18. hambiliki mwanangu

    Wanawake warembo wanaongoza kuzaa watoto wa wenye sura mbaya

    Post ya 70 imefika ila hakuna hata kapicha ka kutambalizia uzi?
  19. hambiliki mwanangu

    Kuelekea Mpambano wa Watani wa Jadi 'TPL' Simba SC dhidi ya Yanga SC, Tayari ameshafungwa

    Mbona huu utabiri wako hauakisi matokeo halisi? Utabiri halisi ni YANGA 0 - SIMBA 8
Back
Top Bottom