Search results

  1. Sumti

    John Mongella: Mimi ni Mtoto wa Mjini nimezaliwa Kariakoo, nawasihi vijana msitishwe na yoyote, kwenye kusaka Dola hatutabembelezana!

    Nadhani wewe ni chizi mara tatu ya Mdude. Mdude hafichi kitu wala halambi miguu ya mtu. Anaongea facts. Sio chawa.
  2. Sumti

    Unadhani kwanini Mbowe na Mnyika wanang'ang'ania CHADEMA kushiriki Uchaguzi Mkuu kwa Tume ile ile ya Uchaguzi?

    Nakuunga mkono. Alieharibu ni Mh. Mbowe kwa kutosimamia kile alichokiamini kwa muda mrefu. Kitendo cha kutoka gerezani na kulegea pasi na kupingwa na walio wengi kwenye chama chake, kumeleta shida sana katika kusimamia misingi ya chama chao. Sasa hivi wanahangaika tu, hawajui washike lipi...
  3. Sumti

    Pale Lugalo jeshini njia panda ya Kawe panajengwa mradi gani?

    Mkandarasi wa ujenzi wa mwendokasi Morocco -Tegeta, ndio anaweka karakana yake pale.
  4. Sumti

    Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya Wahanga na kuzaa gharika

    Lengo la kufunga ni kupata njaa ili yale maumivu ya njaa yalete toba ya kweli wakati unamwomba Mungu akusamehe na kukuhurumia dhambi zako. Hawa watu wengine ambao kwao funga imegeuka kuwa badikiko la ratiba ya kula na sio kufanya toba wana shida kubwa sana. Kabla ya mfungo walikuwa wanakula...
  5. Sumti

    Demokrasia ndani ya vyama pinzani

    Hivi mnataka Mbowe atoke ili mfanye nini? Nawaambia mtatamani Mbowe arudi siku chama kikishikwa na Lissu au Heche.
  6. Sumti

    Halima Mdee ndiye Mtu Pekee aliyekuwa Sahihi kumpokea Uwenyekiti Mbowe

    Ni kwa sababu ananunulika na CCM mnahitaji watu kama hao. Halima hana tofauti na Zitto na wengine wanasiasa malaya malaya. Heche kwangu mimi ndie chaguo sahihi baada ya Lissu.
  7. Sumti

    Afrika tuwape wazee Urais, ni hatari kuwakabidhi vijana mamlaka makubwa

    Itoshe kusema hoja yako haina mashiko na umetumia low key kufikiria.. tumetawaliwa na wazee kwa muda mrefu sana, wametuletea nini? Kama unadharau vijana kwamba hawawezi kutoa huduma ya utawala, hao wazee ni nini wameweza? Itoshe tu kuwa akili zenu CCM zinawaza utumbo always. Katiba bora na...
  8. Sumti

    Changamoto zilizokuwa zimeibuliwa na wanainchi na kubebwa na upinzani kama agenda, zimetatuliwa sawa sawia na serikali ya awamu ya 6 ya CCM

    Watu kama nyie mnatuchelewesha dana kupata maendeleobya kweli. Wakati mwingine huwa nafikiri kwamba nyie sionraia wa nchi yetu na kwa hiyo hamna cha kupoteza. Ni changamoto zipi ambazo zimetatuliwa kwa kiasi cha mwendelezo? Hakuna, tunajidanganya tu. We need to be more serious vijana. Acheni...
  9. Sumti

    Kamishna wa Uhamiaji Manyara amejibu hoja Kisomi; ni kweli katika macho ya sheria gari na bendera siyo mali ya CCM; CHADEMA kuweni makini na hii move

    Kwa taarifa yako, siku ikikamatwa yenye rangi na bendera ya chadema, ndio watakoleza na kukinukisha chama. Acha kujitoa ufahamu. Gari ina jina na umiliki wa kada wa CCM, utaachaje kuihusisha? Vijana mtakufa masikini kifikra. Wenzenu huko Afrika Magharibi wameamka tayari. 20k zisiwadumaze akili.
  10. Sumti

    Msemaji Mkuu wa Serikali: Pato la kila Mtanzania ni Tsh. 3,048,681

    Mshahara wangu ni 327,000/= Ninakatwa mkopo 122,500/=. Take home baada ya makato na michango 154,415/= 154,415 X 12 = 1,852,980/=. Wenzangu mna siri sana. Yaani mnachukua mara mbili ya ninachokipata kwa mwaka. Daaaah
  11. Sumti

    Ni janga na aibu kwa taifa kuwa na vijana aina ya Mdude Nyagali

    Sioni tofauti kati yako mlamba viatu na chawa na huyo mdude nyagali. Mdude 3 Wewe 0
  12. Sumti

    Mchakato wa Kupata Tume Huru ya Uchaguzi Uanze Sasa

    Mbona mnatuchanganya nyie zambarau? Si mlisema mmeridhishwa na hatua za kisheria kuhusu mabadiliko ya sheria za uchaguzi? Daaaaah
  13. Sumti

    Alichobakiza Mbowe sasa hivi ni kupotosha na kugombanisha serikali na wananchi, hana lingine

    Kijana mwanaume mzima unajadili watu wanaokupambania uwe na kesho nzuri. Hizo 7k unazopewa wewe za uchawa kuna wenzako hawapati. Mbowe anawatetea muwe huru unaleta mambo ya kike. Hatari sana.
  14. Sumti

    Zipi faida na hasara za kukuza gharama za ujenzi wa nyumba kama alivyofanya Mwijaku?

    Hata kama mkuu, ila haiwezi fika hiyo 1.3b. Gharama imekwenda sana labda ni 700M mpaka furnitures ndani. Ila asante kwa maangalizo yako, ingawa wengine watasema wewe ndio Mwijaku mwenyewe maana sio kwa maswali dadavuzi namna hiyo.
  15. Sumti

    Uteuzi: Rais Samia Christine Gideon Mwakatobe kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC)

    RAIS SAMIA CHRISTINE GIDEON MWAKATOBE. Heading haijakaa sawa mkuu, ingawa nimekuelewa.
  16. Sumti

    Mkuu wa Mkoa Songwe ni Mtanzania? Jina kama Mkongo au Mrundi?

    Ni mjomba wake na Joseph Kasavubu, wazee wa Boma DRC.
  17. Sumti

    Kumbe shemale

    Hii Q--Bar ilikuwa maeneo yapi pindi hilo? Enzi ya Mzee Kikwete hii.
Back
Top Bottom