Search results

  1. B

    Mwenye hii adaptor aniuzie

    Habari wakuu, Mwenye hii adaptor hapa chini naomba aniuzie, hii imeungua na mashine imeisha chaji nashindwa jinsi ya kuichaji.
  2. B

    INAUZWA Nauza laini za uwakala.

    Habari wakuu, Nauza laini za uwakala, ziko mbili ya tigopesa na airtel money. Zote naziuza kwa Tshs.300,000/= ama kwa moja moja tigopesa nauza Tshs.180,000/ na airtel money nauza Tshs.120,000/= pia kama unachukua zote nakupa na simu ya samsung ya laini 2 kwa ajili ya kuanzia biashara. Maongezi...
  3. B

    Samsung grandprime+ inauzwa

    Habari wanajukwaa, Nauza simu aina ya Samsung galaxy grandprimes plus. Simu ni used. Sifa zake: 1. Ina kioo cha inchi 5 2. Memery ya ndani GB 8 3. R.A.M 1.5GB 5. Kamera ya nyuma 8MP,ya mbele 5 MP. Bei Tshs.150,000/=, maongezi yapo. Napatikana Dar es Salaam, Simu yangu 0787 745 005.
  4. B

    INAUZWA Jikokoa linauzwa

    Habari wakuu, Nauza majiko ya kisasa yanayotumia mkaa kidogo kutoka kampuni ya burnstoves. Yapo matatu na kila moja nauza Tshs.100,000/= kama una pungufu unaongea. Nipo Dar es Salaam, Namba yangu 0787 745 005.
  5. B

    Samsung grandprime plus inauzwa

    Habari wakuu, Nauza simu yangu aina ya Samsung grand prime plus ikiwa na sifa zifuatazo: 1. Kioo cha inchi 5 2. Laini 2 za kukata 3. Ina 4 G Lte 4. Kamera ya mbele 5 MP 5. Kamera ya nyuma 8 MP 6. Internal memory 8 GB, RAM 1.5 GB. 7. Operating system: Android 6.0 (Marshmallow) 8. Uwezo wa...
  6. B

    Bluetooth mobile printer

    Habari wakuu, Hivi kwa hapa Dar Es Salaam bitapata wapi printer kama hii hapa chini?
  7. B

    Machine ya max malipo ama selcom inahitajika

    Habari wakuu. Nahitaji moja kati ya mashine hizo hapo juu, mie niko Dar Es Salaa. Kama unayo njoo PM ama weka namba yako nikupigie. Bei tutaongea
  8. B

    Tecno W3 LTE Inauzwa

    Nauza Tecno W3 LTE yenye sifa zifuatazo. Kioo size yake ni inches 5. Battery 2500mAH inakaa muda mrefu. Ina uwezo wa 4G LTE. Internal Memory 8Gb. R.A.M 1GB. Kamera ya nyma 8 Mp. Kamera ya mbele 2 Mp . Haina mchubuko hata kidogo. Bei yake Tshs.120,000/= Kama waitaka text/whatsapp/piga...
  9. B

    Vyeti vimeokotwa

    Hello team, Nimeokota bahasha yenye vyeti vya Sunday Lameck, vyeti vyenyewe ni: Cheti cha kuzaliwa number 000464555 kilichotolewa mwaka 09/11/1989 Cheti cha mafunzo kutoka FPCT YOUTH CENTRE chenye number FPCT/6640/07/0095 kilichotolewa mwaka 2008 Cheti cha elimu ya kidato cha nne kutoka...
  10. B

    Vyeti vimeokotwa

    Hello team, Nimeokota bahasha yenye vyeti vya Sunday Lameck, vyeti vyenyewe ni: Cheti cha kuzaliwa number 000464555 kilichotolewa mwaka 09/11/1989 Cheti cha mafunzo kutoka FPCT YOUTH CENTRE chenye number FPCT/6640/07/0095 kilichotolewa mwaka 2008 Cheti cha elimu ya kidato cha nne kutoka...
  11. B

    Msaada tutani

    Habarini wana jamvi, Juzi kati nimenunua tv ya samsung flat screen,ni ya mtumba ila katika ku-google nikapata kujua kuwa ina tuner 3 yaani DVB-S,T na S, nikajaribu ku-search chaneli ikanigomea maana ile sehemu ya search ilikuwa faint nikaingia tena mtandaoni kusaka madini wakasema iko katika...
  12. B

    Namtafuta mtu anaitwa mbezi fundi

    Habari wakuu Namtafuta huyu member wa jami forums anaitwa mbezifundi, naomba aje PM ama anipigie namba 0767304455
  13. B

    Msaada mwenye softcopy wa vitabu hivi............

    Habari wana jukwaa Naomba mtu yeyote mwenye soft copy ya vitabu hivi: Project Management by K. Nagarajan Financial Management by Prasanna Chandra, Prasanna, anisaidie ama hata kama unavyo kama hard copy sio mbaya ukiniuzia. Asanteni
  14. B

    Mtungi wa gesi unahitajika

    Habari wana jukwaa Kichwa cha habari chajieleza,naomba kwa yeyote anayeuza mtungi wa gesi wa kilo 12 aniuzie. Kama unao ni-pm pamoja na bei unayouza. Mie napatikana Dar es salaam.
Back
Top Bottom