Search results

  1. M

    Humphrey Polepole ahubiri kuwa 2042 ndiyo mwisho wa Dunia na kurudi Yesu mara ya pili

    Nimemuangalia, then naona yupo vizuri sana katika kutafakali Biblia, ana macho sana ya rohoni na hekima ya kuupima wakati. Nashukuru, maana crip yake imeniongezea kitu fulani , ambacho kitanivusha kama nikizingatia. Hongera kwake.
  2. M

    Fani zenye ajira kwa sasa, vijana someeni fani hizi

    Ndio kazi zilizobaki kwa sasa, hamna namna, ngoja nijipange nami!.
  3. M

    Make Kilimanjaro great again Serikali za majimbo ziruhusiwe tunacheleweshwa

    Kwahiyo icho ndicho mlichojadiri Christmas hii huko Kilimanjaro. Mpate serikali ya Majimbo ili baadae mjitenge. Hamuoni kwamba Wachaga mnakufa Kimawazo. Sifa zenu zinawadidimiza. Kama Kilimanjaro ni mkoa wenye fursa bora, kwanini Treni za umeme (SGR) zinajengwa kuelekea Central...
  4. M

    Kilimo cha Vanilla nchini Tanzania

    Morogoro, Matombo eneo la juu la milima ya Uluguru zinakubari sana, zinatoa masuke makubwa sana kwenye migomba ya ndizi. Tatizo madalali wanalalia sana.
  5. M

    Kilimo cha Vanilla nchini Tanzania

    Mhhh, mwaka huu, Morogoro(Matombo), Vanilla imekuwa haieleweki bei. Wakulima wa Vanilla Matombo walichukuliwa vanilla zao na kuambiwa kutokana na Corona, bei haieleweki kwenye soko la dunia. Baada ya mwezi wakaletewa elf 5,000 kwa kilo, alafu wakaongezewa elf 9,000/=. Kwahiyo mwaka huu vanilla...
  6. M

    Wasichokijua Wengi Kuhusu Marko 10: 25 katika Biblia

    Sawa, unavyoamini wewe. Naeshimu mawazo yako pia.
  7. M

    Wasichokijua Wengi Kuhusu Marko 10: 25 katika Biblia

    Uwe Padri, Askofu, Mchungaji, Unatoa pepo, Maadam wewe ni tajiri, unaangukia kwenye kanuni ile ile ya huwezi kumtumikia Mungu na Mali, either uambatane na Mungu au Uambatane na Mali zako. Mungu ni mwaminifu, maneno yetu mengi ya kupambana labda alimaanishe vingine haimsumbui. Kumbuka tajiri...
  8. M

    Wasichokijua Wengi Kuhusu Marko 10: 25 katika Biblia

    Hakuna hao watu duniani hapa, (Uwezi kutumikia mabwana wawili). Matajiri hawawezi kuiteka Mbingu, b'coz , fedha zao ukamilisha tamaa zao zote ziwajiazo. Na kila wakifanyacho duniani, kina mapungufu mengi ya Ki-Mungu, bali kimejaa heshima na tabia za Kidunia. Matajiri wanaonekana kama wacha Mungu...
  9. M

    Wasichokijua Wengi Kuhusu Marko 10: 25 katika Biblia

    Mungu ni kama Kanuni(Formula), Ukiipata dunia na kuipenda (utajiri na sifa za kidunia) basi unakosa mbingu, maana wewe ni wa dunia. Lakini ukiikosa dunia hata kuichukia( Shida na maangaiko mengi) na ukamjua kidogo Mungu na Masia wake ,basi unaipata mbingu. Chagua ni lako.
  10. M

    Nimekutana na wahitimu 2 wa chuo kikuu wakifanya ujasiriamali Kariakoo mtaa wa Kongo kwa mtaji usiozidi elfu hamsini. Aibu kwa taifa

    Kama watu watasoma na kufika level ya degree na wazazi wao ni masikini, basi lazima wakaajiriwe. Maana wameshavuka hatua au umri wa kutafuta kwa njia ambayo mtu alieishia darasa la saba ameanza nazo. Kama tunataka graduates wajiajiri wakimaliza elimu yao, basi tuwaambie mapema wakiwa form 4, na...
  11. M

    Kabila la Wanyakyusa wanaongoza kwa matatizo ya kifamilia

    Wameukamatia uchumi wapi ndugu yangu, mbona kwa sasa makabila yote tunakutana kwenye interview na tunakosa !?. Kama wameukamatia uchumi, kwanini wasijiajiri kama wahindi ?. Au uchumi wa kujiuza ?, nieleweshe. Alafu elimu pekee, haitengenezi matajiri wenye uchumi mkubwa kwa wingi mimi ninavyojua...
  12. M

    Kabila la Wanyakyusa wanaongoza kwa matatizo ya kifamilia

    Ni watu ambao wanakubali udhaifu wao, lakini hawawezi kuubadili uwe wa faida. Pale Kyela au Uyole wanasemwa au wanashikwa matako hadharani lakini wametulia tu. Ili atulie na wewe Mnyaki unatakiwa 1. Akiongea unyamaze tu(mwisho analia yeye anakuomba msamaha), 2. Akianza ugomvi wewe mpigie magoti...
  13. M

    Kabila la Wanyakyusa wanaongoza kwa matatizo ya kifamilia

    Ukiona mwanaume ameoa (mnyaki), muonee huruma sana. Maana lazima awe na presha maishani. Sio wanawake wa kuoa, wanaongea sana, unyenyekevu zero kwa mumewe, kila anaetongoza anapewa, wajuaji sana, na ni wagomvi tu. Ukitaka kuamini nenda pale Uyole, nanenane, kyela au Tukuyu, alafu kaa kijiweni tu...
  14. M

    Hivi Congo ina bahari au haina bahari

    Republic Democratic of Congo inayo bahari na bandari katika bahari ya Atlantic, eneo la ukanda mdogo kusini magharibi mwa nchi hiyo. Bandari yao inaitwa Boma, ambayo ipo pembeni ya maporomoko ya mto Congo unapoporomoka kuingia baharini. Eneo la bahari na fukwe lenyewe ni dogo, hivyo inaifanya...
  15. M

    Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wangu Dkt. Magufuli kuna kitu ambacho haukukifanya kitakuangusha tu kwenye Uchaguzi huu

    Naomba na Kufunga kwa Mungu, ili amruhusu Yesu arudi tu. Inatosha. Naipenda nchi yangu, lakini mimi na watu mtaani tupo kwenye dhiki kubwa sana. Mungu amuamshe kiongozi wetu akumbuke wananchi wake, maana wote wema na wabaya wapo kwenye ugumu.
  16. M

    YANGA yakasirishwa na SIMBA SC, kumsajili BM33, watoa tamko

    Simba wamechungulia kule TFF, kujua kama kuna Mkataba kati ya Yanga na Morison, wamekuta hakuna. Wamesainisha !!!!. Maana Yanga walipeleka Makataba wa Morison TFF na kuusajiri(Kazi ya TFF ni kusajiri Mkataba tu) ambao huyo Morison mwenyewe hautambui na hakuusaini. The contract between parties...
  17. M

    Ni zipi sifa za mnufaika wa TASAF?

    Aaaaaah, uku Tabata, wanaonifaika ni wajumbe wa mtaa, Baba wenye nyumba na wenye maduka. Wanaoenda kuandikisha ni wengi, ila masikini uondolewa na wahusika wenyewe, alafu wenye unafuu wa maisha wanapewa unafuu. Bongo ni noma sana.
  18. M

    Nimechukua maamuzi magumu katika safari yangu ya kusaka utajiri

    Ramani hii hapa, Panda gari mpaka mbeya au Songwe, tafuta njia ya Wilaya ya Ileje(Mkoa mpya wa Songwe) mpaka wa Tanzania na Malawi, huko kuna waganga wakali sana kwa ndagu, mimi nakuambia utapata hela mpaka utakua unalia mwenyewe. Utaanza Mdogo mdogo na mashariti sio magumu, ila damu utalipia...
  19. M

    Nimechukua maamuzi magumu katika safari yangu ya kusaka utajiri

    Amen kaka ! Nimekuelewa. Ubarikiwe sana.
  20. M

    Mkandarasi wa ujenzi wa SGR Tanzania, Yapi Merkezi adaiwa kuwa na hali ngumu kiuchumi

    TUOMBENI MUNGU, MRADI UISHE. maana una faida kwetu, kututoa sehemu moja kwenda nyingine.
Back
Top Bottom