Search results

  1. uberito

    Naomba mrejesho kwa mtu ambaye kanunua bidhaa kutoka kwa hawa jamaa

    Wakuu habri zenu Naomba mrejesho kwa myu ambaye kanunua bizaa kutoka kwa hawa jamaa ni kwel amepata au ni magumashi tu
  2. uberito

    Lesi ya udereva ya tanzania inaweza tumika hata nchi za nnje

    waku habari zenu, kama kichwa kinavyosema hapo nilikua naomba msaada kwa anayefahamu kuhusu matumizi ya leseni yetu ya udereva.
  3. uberito

    NEW MUSIC Ramadee ft johmamin furaha yetu

    waungwana kwa ambaye amwusikiliza huu wimbo aje kidogo tuujadili binafsi nimevutiwa na jmaa anavyouimba ni anajua zaid kuombs sizan kama kuna msanii wa bongo kwa upande wa RnB anamkuta uyu jamaa nimeshindwa weka audio hapa ila kuna kipande kidogo
  4. uberito

    Msaada jaman anatomy inaumiza kichwa

    Habar zenu wandugu Kwa wale waliosomaga MD nilikuwa naomba wanipe uzoefu waliwezaje kulimudu Ili soma mana Ni sheedah.
Back
Top Bottom