Search results

  1. chankicha

    Ilikuwa ni lazima Masogange afe?

    Kutokana na uwezo wako mdogo wa kufikiri sikushangai hata kidogo. Ila ungepata muda kidogo ukafuatilia umafya wanaoufanya gangs walioendelea pale wanapodhulumiana au kusalitiana ungeweza kufikiri nje ya box. Kumbuka kupigana risasi, kikatana mapanga, kuchomana visu, kulishana sumu za kuua...
  2. chankicha

    Ilikuwa ni lazima Masogange afe?

    Tatizo ni kutangulia na huelewi huko uendako pakoje
  3. chankicha

    Ilikuwa ni lazima Masogange afe?

    Hujamuelewa Mshana. Issue ni kwamba hao waliokuwa wanamtumia ni kwa namna gani watakuwa assured kuwa asingeweza kutoa siri zao???? Kumbuka kwamba hawana utulivu katika biashara zao maana msako mkali bado unaendelea soo ni lazina wanajiuliza ni nani analikisha baadhi ya information?? Hata kama...
  4. chankicha

    Ilikuwa ni lazima Masogange afe?

    Nimekuelewa sana na nadhani upo sahihi. Kifo anapanga Mungu ila vipo vifo vingine lazima tujiulize kidogo. Halaf katika kupita pita mitandaoni yasemekana alikuwa anasumbuliwa na pumu ugonjwa ambao hakuwahi kuwa nao kabla......
  5. chankicha

    Kafulila: CAG amekwepa jukumu lake kwa kushindwa kuweka msingi wa zilipo sh 1.5 trilioni

    Mnatakiwa mjue majukumu ya mkaguzi ni nini, kujiongeza maana yake ni nini kitaalam? Auditor sio kwamba akikagua anatoroka na nyaraka bila kutoa mrejesho kwa mkaguliwa. Kawaida akishamaliza kukagua anatoa mrejesho kwa mkaguliwa na kumuonesha nyaraka zinazokosekana ili kama anaweza kuzi submit...
  6. chankicha

    Kafulila: CAG amekwepa jukumu lake kwa kushindwa kuweka msingi wa zilipo sh 1.5 trilioni

    Hv huyu ni yule kafulila niliyekuwa namfahamu kweli? Kwani watu wakiwa ndani cha chama tawala huwa wanafikiri kwa kutumia nn? Kafilila anaweza kujibu shit kwa kiasi hiki? I can't believe aisee.
  7. chankicha

    Serikali ya awamu ya tano inadhoofisha wakandarasi wa ndani

    Hakika wakandarasi wa ndani twafwa. Najipanga kufanya mengine kwa sasa hadi hali itakapobadilika maana haiwezi kuendelea kuwa hv siku zote.
  8. chankicha

    Huyu dogo nahisi alitaka kwenda kufanya jambo baya

    Mbaya sana hii. Watoto wetu wa kiume wako ktk mazingira hatarishi sana. Ila kwa nn watu hatuna huruma?
  9. chankicha

    Nyie jifanyeni tu mpo busy na maandamano na hamjasikia ila, kwa taarifa yenu tu ni kwamba....

    Kwani maandamano yanazuia kuendeleza mapambano dhidi ya UKIMWI? Kwani wewe kujaanza mapambano dhidi yaw UKIMWI? Umechelewa sana wenzio tulishaanza zamani katika ngazi ya familia hadi koo. Sasa tupo kwenye ngazi ya marafiki zetu na wengine wanaotuzunguka hatusubiri tena campaign za rerikali. In...
  10. chankicha

    Diamond chagua kusonga mbele au kuvuta handbrake na kupiga about turn

    Hahahaaa Picha limeanza. Ngoja tusubiri
  11. chankicha

    Kimenuka Rukwa: Waislam watangaza kutokuwa na imani na Rais Magufuli kutokana na hujuma wanazofanyiwa

    Unadhani tatizo ni kibali? RPC na Mkuu wa Mkoa anahusika na vibali?
  12. chankicha

    Jeshi la Polisi lazima tukio la ujambazi, wahalifu watimua na kuacha bunduki ikiwa na bendera ya CHADEMA

    Hii ilikuwa zamani walivyowachafua CUF kule kusini siku moja kabla ya uchaguzi mkuu, hii ni zilipendwa hatudanganyiki tena. Mbaya zaidi hv vyombo vya habari vinatumikaga vibaya. Kwa maigizo yale ya CUF ITV ilitumika vibaya na hiyo dhambi haitawaacha salama maisha yote.
  13. chankicha

    Huyu binti kanidhalilisha mno! I will revenge

    Wewe ni zero kabisa, hata kama angekuwa wa hiyo elfu kumi basi si lazima utongoze!! Wewe ulitaka kubaka acha udhalilike
  14. chankicha

    Timbulo ampongeza Alikiba na kumkosoa Diamond, kisa kolabo na wasanii wa nje

    Mtu akishauriwa mnasema hapendwi ndo mana tutaendelea kuwa wa mchangani tuu.
  15. chankicha

    Rais wa miaka 11 amefikia hapa!!! dunia haina huruma!

    Huyu aliyataka mwenyewe kwa tamaa zake kama unakumbuka kilichotokea. Liwe funzo kwa viongozi wengine wenye tamaa za madaraka kupitiliza.
Back
Top Bottom