Search results

  1. MAENE

    Wanawake acheni kuvaa mawigi

    wigs za kawaida ambazo sio za gharama sana kiukweli zinasaidia sana(zinaokoa pesa nyingi tunazotumiaga)coz nywele za mwanamke mpaka zitunzwe na zipendeze ni gharama sana..mara dawa,steaming,mafuta ya kukuza,ya mba,mara uzisuke ili zikue na huwezi suka twende kilioni ukaenda kazini au sehemu...
  2. MAENE

    Msaada: Sehemu nzuri kuweka pesa bila kupungua tofauti na benki

    Nakushauri tafuta viwanja au mashamba uwekeze huko hutajuta..yaani miaka michache ijao utauza kwa faida kubwa sana.ardhi inalipa sana. Bank weka fedha chache tu za dharura na kukuwezesha kupata basic needs zako,zinazozidi wekeza kwenye ardhi.
  3. MAENE

    Maisha flani hivii, yani life style flani hivi

    Binadamu wengi wana tatizo la kupenda kuishi defn za watu wengine about what is life na hawataki kuishi kulingana na defn zao za what is life nadhani hapa ndo tatizo linapoanzia na hii yote ni kutokana na KUTOJIAMINI.once unapojikubali lazima uishi maisha unayoyamudu. Mie nimechagua...
  4. MAENE

    kitu gani hukukasirisha na kukuudhi job?

    1.Sipendi tabia ya mtu asiye na cheti kizuri kujihamihani,yaani ni shida baadhi akishaona umemzidi elimu na mpo kitengo kimoja muda mwingi atatumia kujihami.sijui wanadhani huwa wanafiriwaje.nawashauri wajikubali na solution waende kujiongeza kuliko kuwa kero kwa wenzao.sio wote lakini...
  5. MAENE

    Dawa ya NYONGO au Heartburn

    Nyongo mkuu
  6. MAENE

    Dawa ya NYONGO au Heartburn

    Salaam. Nisaidie kufahamu 1)kazi ya nyongo kwenye mwili wa binadamu ni nini? 2)Mtu akitapika nyongo kuna umuhimu/faida ipi?(yaani leo kwa mara ya kwanza nimetapika nyongo,sasa nimejikuta nina shauku ya kujua )
  7. MAENE

    Tulianzisha kanisa feki pamoja, anafosi nimuoe, vinginevyo anamwaga mboga

    Usiendelee kujivunia uovu.wahi kutubu uachane na huo utapeli,Mungu atakurehemu.kinyume na hapo tegemea kuvunjika shingo na hutapata wa kukuponya
  8. MAENE

    Je, nyumba yako iko Earthed katika vifaa vyenye mabati?

    Mie nyumba yangu niliweka mapema na bado umeme haujafika huku.mpaka nikamaliza finishing umeme tayari hope nitakuwa safe.
  9. MAENE

    Mishahara Sahihi Kulingana na Level za Elimu, zingatia wakati wa kutafuta kazi

    Kwa uzoefu wangu nimekuja kugundua watu wengi wanaoiba maofisini hawakuwa na hiyo tabia na hawapendi kabisa.haya mambo yanaumiza sana....nafahamu kaka mmoja alikaa mtaani 4 yrs hajapata kazi.siku kapata kazi mahali lakini ndo hivyo take home yake ilikuwa 250,000 na kazi alikuwa anafanya kwa...
  10. MAENE

    Mishahara Sahihi Kulingana na Level za Elimu, zingatia wakati wa kutafuta kazi

    yaani kwa huu unyonyaji wa waajiri mfanyakazi usipokuwa mwangalifu unaweza kutengenezewa mazingira ya kuwa MWIZI kabisa na wakati haukuwa na hiyo tabia.Ee MUNGU akatuvushe salama.
  11. MAENE

    Ajira Utumishi - Recruitment portal

    Msaaada Wakuu. hiyo picha ninayotakiwa kuattach naweza kujipiga mwenyewe kwenye simu yangu kama passport then nikaiweka nikatuma au inakuwaje?
  12. MAENE

    Gari la mkopo laibiwa

    akili nyingine za ajabu kabisa.unachukuaje mkopo wa gari kwa kuweka dhamana nyumba? hii nyumba itakuwa ya uridhi na sio jasho lake.hapo ndo alichemka.
  13. MAENE

    Nimeogopa

    No one can make you inferior without your permission
  14. MAENE

    Maisha mazuri ni yapi?

    kwangu maisha mazuri ni 1,kuishi maisha ya amani.ie kuwa na hofu ya Mungu 2,Malengo yangu kutimia.full stop
  15. MAENE

    Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Ooooh kumbe bajaji kwa wiki ni 15,000/=
  16. MAENE

    William Wanyonyi: Binadamu anayejiita Mungu na Kuabudiwa kama Mungu

    kwa hiyo huyo wanaemuamini kama mungu wao akifa watamwabudu nani?
  17. MAENE

    Serikali chukua hatua kabla hayajatokea maafa pale Ubungo

    Ni kweli hatua zichukuliwe mapema kulinda maisha ya watu pale.
Back
Top Bottom