Search results

  1. E

    Naomba kujua historia ya Urusi

    Mkuu napenda kuongezea swali kuhusu Vita ya USSR vs Finland maarufu kwa jina la "The winter war" iliyotokea 30 November 1939 hadi 13 March 1940. USSR ilishindwa vibaya na kainchi kadogo ka Finland huku vigogo na wakuu wa kisoviet kama Nikita Khrushchev na Joseph Stalin aka The man of Steel...
  2. E

    Turkey coup: Military attempt to seize power from Erdogan. Social Media blocked!

    Mkuu EU sio sawa na EAC, EU wanataratibu na vigezo vyao kwa nchi inayoomba kujiunga na EU lazima itimize vigezo vyote, kwa uturuki bado inaangaliwa inaweza timiza taratibu na vigezo vyote ndipo iweze kujiunga na EU, sio kama EAC ukiomba tuu kujiunga faster unaruhusiwa wala hakuna vigezo si...
  3. E

    Turkey coup: Military attempt to seize power from Erdogan. Social Media blocked!

    Mkuu, PM wa uturuki ameishutumu Marekani kwa kupanga mapinduzi kwa kuwa kuna kiongozi mmoja wa dini aliyehasimu na mwenye msimamo mkali dhidi serikali ya uturuki ambaye kwa sasa yupo uhamishoni nchini marekani ndio anashutumiwa kula njama na marekani kufanya jaribio la mapinduzi Uturuki na...
  4. E

    Mtu mweusi auawa Marekani na askari mweupe

    Mpaka sasa hakuna kauli yoyote kutoka kwa viongozi wa Afrika. kulaani Mauaji ya watu weusi huko Marekani na Italia
  5. E

    Mtu mweusi auawa Marekani na askari mweupe

    Matukio yanoendelea marekani na nchi nyingine za kimagharibi kwa mauaji ya watu weusi inadhihirisha wazi kuwa jamii ya watu weusi imetengwa na kubaguliwa hata wanyama wanathaminiwa maana kuna haki zao huko ila weusi ni halali kuhukumiwa kifo na polisi pasipo kushtakiwa. Obama was seen as the...
  6. E

    MAREKANI: Polisi watano wauawa huko Dallas

    Hoko Dallas kuna masniper balaaa!! hukohuko si ndo JFK alipigwa risasi na sniper Oswald.
  7. E

    Obama ataka mageuzi katika jeshi la Polisi

    Obama alitaka kurekebisha sheria ya kumiliki silaha kwa watu bonafsi (raia wa kawaida) na sio kwa vyombo vya usalama. Hata ingepita hiyo sheria isingesaidia kitu kuzuia mauaji yanayofanywa na polisi kwa wamarekani weusi. Pia jiulize kwa nini wamarekani wazungu hawauliwi na askari ila ni...
  8. E

    Korea Kaskazini imefanya majaribio ya makombora mawili

    NK naona imewekeza zaidi kwenye mambo ya kijeshi na ndio maana bajeti yao kwa asilimia kubwa inaenda kwa jeshi.
  9. E

    Afrika Kusini yaporomoka hadi nafasi ya tatu kiuchumi Afrika

    Pamoja na kupambana Vita na magaidi wa Boko Haram, Nigeria bado inakua kiuchumi, miundombinu ya sekta ya mafuta kulipuliwa na mdororo wa bei ya mafuta kwenye soko la dunia bado tuu unaiweka Nigeria kuwa kinara wa uchumi Africa. Sipati picha kama bei ya mafuta ingepanda na ugaidi na machafuko...
  10. E

    Nchi 15 hatari zaidi kuishi duniani

    Israel,Palestine, Burundi, Central Africa Republic. Zilitakiwa ziwepo kwenye orodha hiyo ila Russia haikustahili kuwepo. Hii orodha ina biased na imejaa propaganda mfano USA hakuna usalama kwa kuwa wameshindwa kudhibiti matumizi ya bunduki. Kila wakati utasikia watu wamefyatuliwa Risasi na...
  11. E

    Daktari asema Nyama, maharage mekundu hatari kwa afya

    Tumeona tafiti nyingi kuhusu nyama nyekundu ikihusushwa na kusababisha magonjwa mbalimbali na sababu za kisanyansi zimetolewa. Kwa upande wa tafiti kuhusu maharage hususani mekundu bado sijaona tafiti yeyote. Je huyu Dokta ametoa maelezo ya kina kuhusu athari na magonjwa yanayoweza kutokea...
  12. E

    Chuki za Roy Hodgson kwa wachezaji wa Leicester city kuiondoa England mapema euro 2016

    England hakuna mpira ila kuna promo tuu ndio maana ligi yao ni maarufu duniani ila haina ubora wowote kulinganisha na Laliga, Bundesiliga nk... Promo nyingi kutoka kwa media za kiingereza ndo zinafanya ligi yao iwe na umaarufu. Wingereza hakuna wachezaji wenye uwezo na vipaji vya hali ya juu...
  13. E

    Chuki za Roy Hodgson kwa wachezaji wa Leicester city kuiondoa England mapema euro 2016

    Hata sijui ni historia ipi wanayoivunia maana hawajawahi kushinda kombe la Euro tangu lianzishwe mwaka 1960. sasa zimepita fainali 24. England haijawahi kuchukua ubwingwa. England wamewahi kuchukua kombe la dunia Mara moja, mwaka 1966 ambapo walikuwa wenyeji na waliifunga West Germany 4-2...
  14. E

    Kwanini waafrika wachache sana wamechukua tuzo ya Noble?

    Mkuu waafrika tuko nyuma katika nyanja za sayansi, biashara na uchumi hivyo hatukidhi vigezo vya kupata tuzo hiyo. Katika nyanja za sayansi wanapewa watu waliogundua mambo mbalimbali ya kisayansi na yaliyohakikishwa (approved) kisayansi mfano Ugunduzi wa dawa/chanjo ya magonjwa. Biashara na...
  15. E

    Kwanini Tanzania tulikuwa upande wa Biafra (Nigeria)?

    Vita Kati ya Nigeria na jimbo la Biafra vilianza mnamo 6 July 1967 na kuisha 15 January 1970. Huku Nigeria ikishinda na kudhibiti jimbo hilo. Biafra ilikuwa ikiungwa mkono na Ufaransa, Tanzania, Ureno, Afrika kusini, Ivory Cost, Gabon, Zambia, Uhispania
  16. E

    Bernie Sanders ndiye Raisi ajaye wa USA

    (Trump) He had never been considered as a potential next president even amongst republicans and the game is already over. US elites and the "Real Governers" had already decided who will be the winner of presidency game .They intend to pretend having another change in the line for the next eight...
  17. E

    White House spokesman mocks Trump for Tanzania gaffe

    Mtangaza nia ya kugombea uraisi wa Marekani kupitia chama cha Republican, Bwana Donald Trump ameshidwa kutamka jina la nchi yetu (Tanzania) na badala yake ametamka "Tanzaynia" Trump alikosea alipokuwa anahutubia mapema leo wakati akitoa sera yake ya kimataifa (foreign policy). Msemaji wa Ikulu...
  18. E

    Korea Kaskazini kulipua bomu la nyuklia

    Mkuu nadhani hukunielewa vizuri, hoja yangu imejikita kwenye double standards za USA katika sera zao za kimataifa, lengo langu sio kushuhudia mauaji katika vita bali ni kuhoji uhalali wa baadhi ya maamuzi ya USA. Ukisema NK hakuna kitu kinachoweza kuwafanya USA wasiivamie sio sahihi, kwani USA...
  19. E

    Iraq ilivyokuwa na ilivyo sasa, wazungu noma

    Ni kweli Mkuu, Uadui wa Iran na Saudi Arabia umetokana na tofauti za hitikadi za kidini na kupaliliwa na Marekani, Washirika wote wa Marekani wote waliopo mashariki ya kati hawana uhusiano mzuri wa mojakwa moja na Iran
  20. E

    Iraq ilivyokuwa na ilivyo sasa, wazungu noma

    Mkuu nimekuelewa, hebu nielimishe vizuri asili ya chuki baina ya waarabu
Back
Top Bottom