White House spokesman mocks Trump for Tanzania gaffe

Erijo

JF-Expert Member
Dec 28, 2015
453
379
Mtangaza nia ya kugombea uraisi wa Marekani kupitia chama cha Republican, Bwana Donald Trump ameshidwa kutamka jina la nchi yetu (Tanzania) na badala yake ametamka "Tanzaynia"
Trump alikosea alipokuwa anahutubia mapema leo wakati akitoa sera yake ya kimataifa (foreign policy). Msemaji wa Ikulu ya Marekani bwana Josh Earnest, akamtania Trump kwa kumwambia “Apparently the phonetics aren’t included on the teleprompter,”

source: White House spokesman mocks Trump for Tanzania gaffe
 
Hapa naona kipindi cha Skypapers kwenye Tv ya skynews wanamlima Trump kwamba hana uelewa wa siasa za kimataifa na wakatoa mfano wa namna alivyoitamka Tanzania "Tanzanya"!!!
 
Back
Top Bottom