Search results

  1. N

    Rais Kagame azidi kuongeza ndege, anunua Boeing 737-800. Pangaboy mpo?

    Na anataka anga yetu arushie ndege zake. Ama kweli ngamia na mwarabu. Lazima atupige kibuti in the future!
  2. N

    Tukishamaliza kumdhalilisha Rais, nini kinafuata?

    Mfalme hana nguo nini? Hadithi za zamani zina mafundisho sana. Someni hata hizi za kitoto, Fairy tales au Hadithi za Esopo au Abunuwas (Kama historia imewashinda)! Read something please, at the end of the day utaambulia chochote kile.
  3. N

    Muhongo: Ukweli utabaki kuwa ukweli - hili la mchanga tume imedanganya, Magufuli asaidiwe

    Hiyo report ya tume imeshakuwa public tuipitie wenyewe. Inawezekana interpretation ya report ikawa ndio culprit kuliko hiyo report yenyewe.
  4. N

    Tukishamaliza kumdhalilisha Rais, nini kinafuata?

    Time will tell. Mmh!
  5. N

    Afisa wa ngazi za juu wa Marekani aionya Tanzania

    Naona vipofu wanaongozwa na kipofu. Interesting!! Tusubiri tuone.
  6. N

    Uwezekano wa kuyashitaki makampuni ya madini kurejesha hasara tuliyoipata huu hapa

    Yeye apambane huko juu acha sisi tutafute hela ya kula. Yaani hili suala la mchanga ni gumu kulielewa wakati watu tunakimbizana na shilingi.
  7. N

    Barrick Gold Corporation yailiza Serikali ya Pakistan

    Sasa mawakili wa serikali kazi kwenu. Research zenu Dr. Godbless amewafanyia.
  8. N

    Kama Dar es Salaam hawamtaki Paul Makonda, basi ahamishiwe Kigoma

    Mwenyewe anataka Dar. Angetaka Kigoma sekunde 1 nyingi, angepewa.
  9. N

    Polepole: Walitaka kumhonga Rais Magufuli Sh. Bilioni 300 ili asifanyie kazi taarifa ya mchanga

    Mbona hizi rushwa zinaishia walitaka? Mitego si iko?
  10. N

    Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil

    Huyo ni mwanamme Kama wanaume wengine rijali, kiongozi au sio kiongozi. Msifukue makaburi!
  11. N

    Tetesi: Uwazi wa RC Makonda na StarTv siri hii hapa nje ndani

    Sounds like The Godfather (mafia style), but what do I know?
  12. N

    Live on Star TV: Je, Daudi Bashite atajibu maswali haya?

    Au aje na viboko. Mwaka huu lazima achape watu. Watu hawa appreciate effort za wakuu wa nchi!
  13. N

    Adam Malima afikishwa Mahakama ya Kisutu na kusomewa shtaka la 'Kumzuia askari kufanya kazi yake'

    Excessive force. It doesn't make sense at all!
  14. N

    Mbunge Lazaro Nyalandu anavyohujumu watu wake

    Hapa ni polisi? Kama hoja zako Zina mashiko chukua hatua za kisheria, vinginevyo unachafua jina la mtu.
  15. N

    Sauti imenijia na kuniambia nimuombee msamaha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam

    Ana uwezo wa kukutana na mtu yeyote au kundi lolote Dar Ana uwezo wa kuandaa maandamano yoyote Yale Anaweza kuhamasisha vijana kwa njia yeyote zaidi ya magazeti na radio/tv yaliyom ban Aongee na wana dsm kupitia Tbc, uhuru nk. Atasikilizwa. Kiki ndio hapati! Yaani utafikiri ha exist!! poleni...
  16. N

    Maongezi vijana wa Tanzania; 96% ni pumba

    Watanzania ni watu wa ovyo ovyo tu, irrespective of umri wao, vyeo vyao na hata elimu zao. Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Sasa Kama Shilawadu inapendwa na katerero inazungumziwa hadharani, what do you expect? Upande magugu uvune ngano?
  17. N

    60% ya watanzania wanatibiwa na waganga wa kienyeji; this is a big shame!

    Umesahau ku mention asilimia inayojitibu yenyewe bila kwenda hospitali. Na hata unapoenda hospitali hao overworked doctors wana misdiagnose magonjwa. Hatukuhitaji bombardier za kubeba watalii tunahitaji hospitali bora zenye vifaa vya kupimia na vya tiba, na tunahitaji madaktari wengi zaidi...
  18. N

    Wanaoshangaa Tanzania kuomba Afrika Kusini huenda wakawa hawajui haya

    Nyerere na sisi hatukutoa mkopo, tulichotoa tulikitoa kwa moyo kwa kuamini uhuru kamili ni mpaka Afrika yote iwe huru. Leo mnadai deni, mkataba uko wapi? Hii nchi ni tajiri sana (Magufuli) leo tunatafuta mikopo. Nikumbushe kwamba kupanga ni kuchagua (magufuli)
  19. N

    Nina mil1na nusu je nikinunua hisa za Voda zinaweza nilipa

    Ebu ziweke fixed deposit account. Mambo si shwari kampuni za simu.
Back
Top Bottom