Search results

  1. K

    Hivi ni mimi tu haya maisha yanataka kunikataa?

    Mmmh Mzee angalia usije ukajinyonga maana hayo makolokolo ni mengi usitumie nguvu nyingi kutatua vitu vilivyo nje ya uwezo wako mzee,misaada hutoka kwenye ziada wa muhimu ni baba na mama Yako.wengine wale kwa kutumia macho pia punguza kuhonga kwani umeoa watoto wakusingiziwa wa kazi Gani...
  2. K

    Tumefunguliwa Kesi Kisa kuzuia kura Bandia, na Mimi nimefungua kesi dhidi ya Askari

    Hapo unapoteza muda wako bure,kwa hiyo ulitaka kushinda.
  3. K

    Mtu mmoja akamatwa baada ya kushambulia Kanisa Katoliki Zanzibar

    Amekamatwa halafu jina halijulikani? Ingekuwa mkristo ndiye kaingia na kuvunja mlango,
  4. K

    Hivi ndivyo itakavyokuwa pale unapoanza kufa

    Uongo mtupu,no hadithi ya kutunga.
  5. K

    Non alcoholic wine

    Inaitwa St Maria wine
  6. K

    Vijana mliomaliza vyuo kwanini mnavuta bangi?

    Duh hii kali, wewe uliwaona wapi,mbona unaishi karibu na kituo cha Polisi,kamata weka ndaniiii.
  7. K

    Kwa umbali namwona Hayati Magufuli akija kutoka uwinguni

    Mungu amekuja kupitia nani? acha kabisa utani,mwache Mungu aitwe Mungu.
  8. K

    Mchina jela miezi mitano kwa kuua tembo 511, Mtanzania jela miaka 60 kwa kukutwa na meno ya tembo na kiboko

    Swala miaka 22 tembo miaka 5 Mungu anawaona,hii nchi kuna jambo halijakaa sawa.
  9. K

    Nchi hii imepitia madhira makubwa sana. Eti na hawa ni viongozi wa dini

    Kuhusu Musiba huyu bwana kuna wakati mdai wake alimtaka amuombe radhi kama sikosei aligoma.Maaskofu lazima wamtetee ndiyo kazi yao ningeshangaa kama askofu atasema kinyume hata mimi nashauri amsamehe kama atajutia kosa lake na kuomba msamaha.Kwa hali ya kawaida hata nani hawezi kupata hiyo hela...
  10. K

    Kati ya Polisi na Lissu ni nani wa kuwasaka waliotaka kumuua Lissu??

    Miaka 6 toka ashambuliwe ni muda mrefu sana Nina shaka hata wahusika tukio hili siyo wengine wamekufa na wengine wamefukuzwa kazi, usihofu iko siku tena nihivi karibuni tamati ipo.
  11. K

    Baada ya Kukemea Ushoga tukemee hata Imani Potofu zote za Magharibi, nazo ni Mbaya Kama Ushoga, naongelea manabii wa uongo kina Zumaridi/Babu Loliondo

    Thibitisha kuwa Zumaridi ni muongo,kila mtu siku hizi anajiita nabii huwasemi kumbuka Imani ni jambo tofauti.Kasema alienda mbiguni sasa uongo wake upo wapi.
  12. K

    Lema: Mahabusu wa Kesi za Ugaidi Arusha wakaa Gerezani muda mrefu kutokana na Uhaba wa fedha Mahakamani

    Kwa hiyo ukiwa upande wa Lisu inakuwa gaidi?mbona Chadema wako upande wa Lisu, acha hizo, hao Mashehe CCM ndiyo wanaojua kwa nini wako mahabusu kwani aliyewaweka ni mwenyekiti wao yaani mkuu.
  13. K

    Jambo jema CCM haikufia mikononi mwa Shujaa Magufuli bali iliimarika zaidi!

    Sasa kwa taarifa tu CCM ilisha kufa cku nyinyi sana anaye ifufua ni mama Samia hii ndiyo ÇCM original isiyo ogopa uchaguzi Wala katiba mpya,Mimi namsifu Rais wa sasa na mstaafu Mwinyi .naiona CCM ikirudi kwa watu mdogomdogo na kupita kwa kishindo 2025,wanaompinga mama ni waliozoea vya...
  14. K

    Umoja Party: Najitolea kujenga Ofisi

    Umoja party ndiyo nini,ni chama kukopa au?
  15. K

    Ni sababu zipi zilizopelekea Dkt. Livingstone kufa kwa mateso na mwili wake kusafirishwa kwa kudhalilishwa kutoka Zambia mpaka Uingereza?

    Pole sana ndugu,ugonjwa wa maralia uliua watu sana mpaka wakati wa vita kuu ugonjwa huu bado ilikuwa hatari sana mpaka dawa ya chloloquine ilipopatikana.miaka ya Akina David Livingstone ni miaka ya giza sana.
  16. K

    DC Mstaafu Simon Odunga akosoa vikali jinsi Kumbukumbu ya Hayati Magufuli ilivyofanyika

    Sasa itoke kuomboleza halafu kesho uende kupokea kupokea maandamano ya kukupongeza miaka 2 tangu kuingia madarakani hapo vp.
Back
Top Bottom