Search results

  1. e2n

    Badala ya kuwaondoa trafiki wanatakiwa waongezwe na kuwaongezea mafunzo

    Afande vp inaonekana wanataka kuharibu mipango yako
  2. e2n

    Mwanafunzi aumizwa vibaya baada ya kuchapwa fimbo 20 na walimu 6 Jangwani Sekondari

    Huyu mtoa mada nadhani atakuwa bwana wa huyo mwanafunzi na ndiye anaye mharibu mtoto wa watu maana amepata wapi taarifa zote mpaka afya yake?
  3. e2n

    Jela miaka 15 kwa wizi wa betri za Bombadier

    Asante mkuu
  4. e2n

    Jela miaka 15 kwa wizi wa betri za Bombadier

    Kweli mkuu
  5. e2n

    Jela miaka 15 kwa wizi wa betri za Bombadier

    Asante mkuu nimekusoma vzr
  6. e2n

    Wito Kwa wana JamiiForums kuhusu ukosoaji wa Rais Magufuli

    Pascal mayalla unathibitisha kweli wewe ni great thinker. Vijana tunatakiwa walau kuchukua busara zako walau hata nusu tu ili tuweze kufika mbali
  7. e2n

    Jela miaka 15 kwa wizi wa betri za Bombadier

    Swali hizo betri wameziibaje? Ina maana ndege hazilindwi? Mbona jambo la ajabu sana
  8. e2n

    JF imetaka kunipeperushia njiwa wangu

    Plz nipe ID yake
  9. e2n

    Serikali Mkoani Shinyanga yakamata kadi 267 za "ATM" za Watumishi wa Umma kwenye Taasisi ya kukopesha fedha

    Subiri nakachukue kikadi changu kwa Dany( kibiti) kasije kamatwa na serikali.
  10. e2n

    Dar: Hii mvua mbona siielewi, tangu asubuhi inanyesha tu

    Huku Rufiji inanyesha kama dar
  11. e2n

    Natafuta mbia wa kufanya biashara ya mbao na magogo

    Kwa mtu anayeijua biashara hiyo anajua nafasi yangu iko. Asante kwa mawazo yako.
  12. e2n

    Natafuta mbia wa kufanya biashara ya mbao na magogo

    Nipo Rufiji kama upo tayari tuwasiliane tu mkuu
  13. e2n

    Natafuta mbia wa kufanya biashara ya mbao na magogo

    Salamu wana jf. Kwanza kabisa nipende tu kuanza Uzi wangu kwa kumshukuru mungu na wema na fadhiri zake. Anazotupa pumzi na uhai wake. Pili niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi nipo mkoa wa pwani kuna furusa nimeiona inalipa sana hususani kwa sisi vijana ambao tunatafuta maisha. Nataka...
Back
Top Bottom