Search results

  1. HarakaPrinting

    Wananchi wa Dar wanabomolewa kwa kuwa hawakuchagua CCM

    Sheria huwa haiangalii chama wala dini, kama umejenga kwenye njia ya maji sheria inakuondoa na sio sababu ya matokeo ya uchaguzi... Hata kama Lowasa angekuwa Raisi bado sheria ingewaondoa hao walio mabondeni. Bora waondoke leo kuliko kuzika watu mafuriko yakija
  2. HarakaPrinting

    Kwa Mahitaji ya letterHead, businessCards, ID Cards, flyers, banners, LOGOS etc

    Habari za Jumapili na weekend ndugu, jamaa na marafiki? Kesho ni siku nyingine tena, karibu haraka ili upate huduma zifuatazo, waweza tuma picha/artwork/draft ya chochote unachotaka na sisi tutakiweka kwenye muonekano bora kwa karatasi au visual..... Biashara yako hutegemea zaidi kile watu...
  3. HarakaPrinting

    Serikali isitishe hili zoezi la bomoabomoa

    Sheria yasemahe kuhusu ujenzi ndani ya mita 60 kwenye mito na bahari?
  4. HarakaPrinting

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Nimeumia sana najua hata Abro hakutaka mtimua ila ndio hivyo asingeweza ondoa timu yote. Morinho nilikupenda
  5. HarakaPrinting

    Kwa wenye Ofisi na Stationery, Maduka etc

    Kwa mahitaji yako wasiliana nasi au tutembeleee ofisini kwetu
  6. HarakaPrinting

    Kwa Mahitaji ya letterHead, businessCards, ID Cards, flyers, banners, LOGOS etc

    Hapana sio kwa BENNY. Sisi twajihusisha na Printing pekee
  7. HarakaPrinting

    Kwa Mahitaji ya letterHead, businessCards, ID Cards, flyers, banners, LOGOS etc

    Samahani mkuu, nilikuwa offline kidogo. bei zetu ni 600 kwa A3 Moja (Kuanzia 5) Chini ya ni 1000
  8. HarakaPrinting

    Kwa Mahitaji ya letterHead, businessCards, ID Cards, flyers, banners, LOGOS etc

    Ndugu mteja, ili kulinda siri za wateja wetu hatuwezi weka kazi zao hapa. Unakaribishwa kutembelea ofisi zetu au kuwasiliana nasi kupitia mawasiliano hapo juu. Asante sana
  9. HarakaPrinting

    Kwa Mahitaji ya letterHead, businessCards, ID Cards, flyers, banners, LOGOS etc

    Habari Wana Jamii Forum, Haraka Digital Printing ni Kampuni ya Kitanzania iliyosajiliwa Tanzania na kufanya shughuli zake kwa kufuata sheria za Tanzania. Tunajihusisha na Kufanya designing ya artwork, LOGO pamoja na kuprint. Tunaprinting vitu vifuatavyo kwa bei nzuri na ukapata bidhaa bora...
  10. HarakaPrinting

    Hodii Wenyeji

    Nimeingia hapa baada ya Muda wa kuwa msomaji mgeni
Back
Top Bottom