Search results

  1. regam

    The English of the Tanzanian President Magufuli

    Unamaana Yule aliyepita alifanikiwa kutembeza bakuli la msaada kwa sababu inglishi yake ilikiwa nzuri?
  2. regam

    The English of the Tanzanian President Magufuli

    Hivi english ya maraisi wa nchi nyingine unazijua? Pamoja na kwamba wako ulaya, lakini english ya wakuu wa nchi za ujerumani, Italia, Spain nk ni mbovu zaidi ya unavyofikiri. Nenda Asia ndo utachoka kabisa. Mfano mzuri ni huyu rais wa vietnam aliyetutembelea hivi karibuni Tanzania. English si...
  3. regam

    Picha: Madhara ya Magufuli Kuwatishia Wakuu wa Wilaya/ Mikoa

    Ni mwanae huyo aliyebebwa
  4. regam

    Picha: Madhara ya Magufuli Kuwatishia Wakuu wa Wilaya/ Mikoa

    Doing the same thing in the same way expecting a different outcome
  5. regam

    Lumumba hapakaliki, CCM kwafukuta

    Kuna jambo huwa linanikasirisha mimi. Ukimualika kiongozi kwenye shughuli mf kuwa mgeni rasmi lazima umpe bahasha(pesa). Hii nayo ni kero kwelikweli.... Hotuba yenyewe unamuandalia halafu unampa posho wakati ipo ndani ya majukumu yake.
  6. regam

    Magufuli afyeka 50 waliokuwa kwenye orodha ya kushiriki ziara ya Madola

    Kazi ya mabalozi wetu nje ya nchi ni nini?
  7. regam

    Original Samsung Tab4 10.1 inch kwa laki5 tu!

    Kwa anayehitaji same model mie ninayo ila nauza laki 6. Sms au whatsup 0719123216
  8. regam

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nauza Samsung Galaxy Tab 4 10.1. Ni nzuri sana, inafanya kazi vizuri. Bei 600k. Sms au whatsup 0719123216
  9. regam

    Samsung Galaxy Tab 4 for sale

    Laki sita ndugu
  10. regam

    Samsung Galaxy Tab 4 for sale

    Almost new. Model SM-T531, capavity 16Gb, memory 4Gb. Screen 10.1, ina screen protector, nice cover, for price and more info whatsup me 0719123216
  11. regam

    Naomba Ushauri: Nataka ku-import mizinga ya kisasa ya nyuki toka China

    Mzinga unaendana na saiz ya nyuki. Unaweza leta mizinga nyuki wakashindwa kuingia na ukapata hasara. Kuna jamaa kaagiza mizinga kama 100 kaiweka misungwi na hakuna nyuki hata mmoja kaingia kwa sababu ya size.
  12. regam

    Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

    Hii post imetengenezwa leo saa 23:30 kana kwamba ilikuwa 31.3.2011. Jaribu kufuatilia mtiririko wa matukio utaona ni kweli ninachoandika. Haina ukweli wowote kabisa.
  13. regam

    Pombe inavyoharibu ubongo wabinadamu

    knowyourlimits.info/know…-effects-alcohol
  14. regam

    Rais Kikwete: Sina mgombea Urais

    Inanukumbusha wimbo wa Bob Marley unaoitwa ' Who the cap fit, let them wear it'
  15. regam

    Uongozi wa UKAWA 2015 utakuwa hivi

    SAFU YA UONGOZI WA UKAWA KUANZIA NOVEMBER 2015 Rais: Dr Slaa Makamu wa Rais: Prof. Lipumba Waziri Mkuu: Mbatia Mawaziri Sheria: Lissu Ujenzi: Magifuri Mambo ya Ndani: Lema Vijana na Ajira: Mnyika Viwanda na Biashara: Mbowe Madini: Serukamba Hebu wekeni mapendekezo yenu hapa kwenye safu ya...
  16. regam

    Kutoka Ukumbi wa Mlimani City: Mkutano wa January Makamba Kutangaza nia ya Urais

    Naanza kuamini kwamba Jk lilikuwa chaguo la Mungu ili tuondokane na dhulma ya CCM tuliyoipata kwa miaka mingi
  17. regam

    Zitto amlipua Rugemarila wa Escrow

    Kwani zzk hakuwa mbunge wakati zabuni hiyo unapita? Kwa hiyo nae alikaa kimya tuuu? Aache ubwege wake. Alisubiri hadi aingie act ndo aseme?
  18. regam

    Mkulima na mwandishi

    MWANDISHI: Wewe unawalisha ng'ombe chakula gani?, MKULIMA: Ng'ombe yupi Mweupe au Mweusi? MWANDISHI: Ng'ombe mweupe MKULIMA: Ninamlisha nyasi na viguta vya mahindi, MWANDISHI: Na mweusi?? MKULIMA: vilevile nyasi na viguta vya mahindi, MWANDISHI: ahaa sawa,na sehemu ya kulala ni wapi? MKULIMA...
  19. regam

    ACT-Tanzania kufanya Mkutano Mkubwa Tegeta Jumapili; Zitto Kupewa kadi

    Ni sawa umefiwa na mke au mme halafu baada ya mwezi unaoa au kuolewa. Ni wazi kwamba huyo unayeolewa/ kumuoa alikuwa mchepuko wako. Yaani ulikuwa unasalitu ndoa yako kabla ya kufiwa
Back
Top Bottom