Search results

  1. mtumweusi

    Huyu dada scorpio me kauteka moyo wangu

    Wakuu salamu kwenu, nimeshindwa kuvulia hili jambo kuna dada humu jf anaitwa scorpio me kauteka moyo wangu nimejaribu kum pm lakini hanijibu.. nimeona ni bora nifunguke kama alivyofanya stereo kwa chemical, na mie nataka nimuweke ndani huyu binti anaeunyanyasa mouo wangu
  2. mtumweusi

    Wivu kwa Ali Kiba kumla meneja wake

    Katika mwaka 2016 stori zilizozagaa mitaani juu ya Ali Kiba kumtafuna Meneja wake Seven Mosha imeutesa sana moyo wangu maana Seven ndio mwanamke ninayempenda kuliko wote. Wakuu nisaidie kumpata huyu mrimbwende.
  3. mtumweusi

    Mguu wa honey faith

    Wakuu nimechanganywa na mguu wa honey faidh ambae ni mdau humu jf nisaidie niweze kupata sura yake..
  4. mtumweusi

    utambulisha

    wana JF naomba mnipokee.. nitakuwa member mtiifu na mwadilifu.. uwii, ila mie ni "male"
Back
Top Bottom